StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 4,153
- 4,301
Hahahahaaaaaa akitoka huyu atakuja mwingine atawaita wahisani,kisha ajaye atawaita wawekezaji....Mzunguko utajirudia.Ndiyo. Mzee Nyerere aliwaita mabeberu wakaiangusha bei ya zao la mkonge halina bei hadi leo. Alipokuja Mzee Mwinyi akabadilisha jina wakawa wahisani au wafadhali, Mzee Mkapa akawaita wawekezaji. Mzee Kikwete akawaita wadau wa maendeleo sasa awamu hii tunaanza kurudi kule kule kwa Nyerere ambaye walimtaiti mpaka akaukimbia urais
Mikakati ya China kujikwamua inaendana na ya kwetu hapa?.Big vision goes together with big mission.China walifanya Technology transfer.Je,vipi kuhusu sisi?China imeendelea sana
Ilipewa misaada?
Badilisha mtazamo
Umatonya ni fikra mgando
Wewe ndio mshamba wewe kwa akiri yako unazani wazungu wote wanatutakia mema, umesahau hao wazungu ndio walifawanya watumwa babu zetu na kuwatesa tangu lini kupe akawa na mapenzi mema acha ujinga lazima tuwaseme wajue ili sindano iwaingie akiri yako umeiaminisha bila mzungu huwezi hata kama anakunyonya wewe una mkumbatia tuuuuuuu.China hawakufanya ujinga huu. Walimweka karibu zaidi mzungu na kumuibia teknolojia ndiyo maaana wakafikia hapo walipo. China hawakufuata “isolationism”
Sikubaliana na umatonya, lakini huu ni ushamba ambao utaligharimu Taifa.
Kujitegemea ni jambo muhimu tena la kulipigania kwa nguvu zote.Tatizo,mikakati.Huwezi kuwa tajiri kwa kujenga uadui na matajiri.Hizo mbinu za utajiri utajifunzia kwa masikini wenzako?Wewe endelea kuota tu, eti maendeleo yatakuja na ufadhili. Tumefadhiliwa tangu tulipopata uhuru, lakini 2015 hapajakuwa na meandeleo yoyote. Nchi zilizokuwa nyuma ka,ma Korea Kusini, malaysia, Vietnam, etc zote zimeendelea kwa kutumia pesa za ndani tu. Wewe bado unatamani na kung'ang'ania kufadhili. Wewe ni sawea na baba wa familia anayeshindwa kulisha familia yake akitegemea misaada na kuhemea kutoka kwa ndugu na marafiki. ebu angalia kutegemea kwetu mapato ya ndani kumetufikisha wapi katika miaka mitano (UCHUMI WA KATI).Mtu mwenye aklili na kutaka kuendelea ataendelea tu kwa kutotegemea misaada peke yake. Kwanza hata hiyo misaada huwa ina masharti ya kuturudisha nyuma wakatyi mwingine. Jitegemee kwanza, mikopo iwe ni pla two.
hivi wewe ukitaka kuanzisha biashara (kujiendeleza) utategemea misaada tu. Kabla hata ya kupata mkopo inabidi waangalie uwezo wako wa kuwalipa, na una nini cha kuchukuwa ukishindwa kulipa.
Wewe ni mwingine ambaye akili yako inakutosha wewe tuu na siyo zaidi ya hapo.Wewe ndio mshamba wewe kwa akiri yako unazani wazungu wote wanatutakia mema, umesahau hao wazungu ndio walifawanya watumwa babu zetu na kuwatesa tangu lini kupe akawa na mapenzi mema acha ujinga lazima tuwaseme wajue ili sindano iwaingie akiri yako umeiaminisha bila mzungu huwezi hata kama anakunyonya wewe una mkumbatia tuuuuuuu.
Kivipi mkuu, naona unawayawaya.Wewe akili zako hazikutoshi hata wewe mwenyewe.
Hii iko wazi...Swali lako kuwa ni kwasababu chadema “wameshindwa”
Ubepari uliokomaa(Monopoly capitalism).ni sawa na IMperialist, imperialism limetoka na neno Empire( emperior or empress) mtawala anaetawala nje ya mipaka ya nchi zingine. British empire rule Tanganyika. Uingereza ndio mabeberuMkuu..
Unasema ubeberu ni ubepari iliokomaa?!!
Na IMPERIALISM ni nini?!!!
Je si tusi kumuita mtu imperialist?!!
Sijui tunafurahishana tu hapa....
Kwani ulishawahi kuwa na hoja za maana?Sasa ndiyo hoja ambayo umeisoma? Halafu unashangazwa napokwbia kuwa hazikutoshi hata wewe. Hakuna mambo ya ushabiki wa vyama. Jenga nchi.
Kumbuka hii kauli neno uzalendo imeibuka sana hii miaka ya karibuni yaani kama hili taiga lina raia wa aina mbili tuseme waliowazalendo na wasiwazalendo.Unapoteza utu wako Kwa sababu ya fedha? Wakati unao uwezo wa kujenga uzalendo ukapata fedha tu Kama kila mtazania ataelewa umuhimu wa Uzalendo