Hii kweli aibu kwa super power.Hebu waza huyo Misri ambaye yeye na Iran ni wanyonge wa Israel, sasa huyo Misri anaizidi Ukraine kijeshi, hako ka-Ukraine kamemkaba supapawa anayesifiwa huku JF kila siku.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii kweli aibu kwa super power.Hebu waza huyo Misri ambaye yeye na Iran ni wanyonge wa Israel, sasa huyo Misri anaizidi Ukraine kijeshi, hako ka-Ukraine kamemkaba supapawa anayesifiwa huku JF kila siku.
Kwani umesikia Urusi anaugomvi na mtu. Yeye shida yake ni Ukraine (his brothers and sisters) hivyo atapambana nao kidogo kidogo. Leo tu kamgonga 40 missiles kulipiza tukio la kigaidi alilofanya juzi jmosi.
Unayemsifia saa hii anapumulia kwenye mashine!! Baada ya ukraine kujaribu kukishambulia kituo cha meli za kivita cha urusi huko crimea bila mafanikio kwa kutumia drones, urusi imechakaza makombora usiku wa kuamkia leo kwenye majimbo yote nchini ukraine!!! Ukraine iko kwenye giza! Zile mbwembwe za ujerumani kupeleka missile air defense haikufua kitu! Saa hii kila kona ni malalamiko kwenye ulimwengu wa nchi za magharibi.
Pitia hapa ujisomee mwenyewe!
Airstrikes on critical infrastructure reported across Ukraine
Some 40 incoming Russian missiles were detected, according to an official
![]()
FILE PHOTO. Power outages are seen in the center of Kiev on October 25, 2022. © Photo by Paula Bronstein / Getty Images
Officials in Ukraine reported Russian attacks on critical infrastructure on Monday, with one claiming that some 40 missiles had been detected in the air.
All Ukrainian regions sounded the alarm in the morning, with the media reporting explosions in several parts of the country, including the capital Kiev. Anton Gerashchenko, an aide to the interior minister, urged people to take cover in shelters, claiming on social media that “at the moment, there are already 40 [Russian] missiles” incoming at targets in the country.
Some hits have been confirmed by regional officials. Kiev Mayor Vitaly Klitschko reported that strikes on the capital had caused a partial blackout and disrupted the water supply. He said that due to damage to energy infrastructure, some 350,000 apartments were without power.
Kharkov Mayor Igor Terekhov, said there were two airstrikes, which targeted a “critical infrastructure site.” The city’s metro system also suspended work.
Wote tulitegemea Urusi ataifumua Ukraine kwa siku tano, hata hao Magharibi walikubali kumpa Zele hifadhi ila akagoma kutoka, akasema apewe silaha sio lift ya kutoroka nchi, kapambana kishujaa, kumbe Urusi wadude yao huwa ya maonyesho tu ila uhalsia on the ground hamna lolote.
Marekani mwoga sana! Hajawahi kuvamia nchi bila mbeleko ya aidha Uingereza au Ufaransa!! Kibnaraka wake ukraine muda huu yuko kwenye giza baada ya uchokozi wake mpya kwewnye kituo cha meli za kivita za urusi huko crimea! Urusi imechakaza majimbo yote nchini ukraine na muda huu wanaugulia kipigo!! Ona hapa!Yeye hujifanya mbabe kwa vitaifa vidogo majirani zake, ila huwa makini sana hajawahi kugusa kataifa mwanachama wa NATO.
Yaani mi sikuelewi unachotaka Urusi afanye. Mwambie Marekani na wenzie watupe jiwe North Korea kanchi kadogo sana aache kupiga vinchi vidogo.Yeye hujifanya mbabe kwa vitaifa vidogo majirani zake, ila huwa makini sana hajawahi kugusa kataifa mwanachama wa NATO.
Mkuu unamshambilia mwenzako bure tu, Kuna madude yanatumwa uko Ukrein sio mtu ameenda tu kule KWa mafunzo ya miezi 4,5,6, anaweza kuyaendesha mkuu, so mengine lazima yatue nchi husika ambao wameyafanyia majaribio KWa mda mrefu, Sasa akija nalo mtu mmoja au wawili TOKA nato ,je Nato inakua imehusika au la? Jibizana KWa fact na wakati huo mwatupa ilim mkuuHayo majeshi ya NATO yapo ulingoni kwa kutumia silaha za Ukraine? Unaota wewe. Kama NATO wangekuwa ulingoni hapo basi mpaka sasa mambo yangekuwa negative zaidi kwa Russia.
We jamaa majibu yako...dah!Hehehe haya madude huwa mnaaminishana wapi haswa, vijiweni au kwenye misikiti...
Egypt hakuwa peke yake kwenye vita hii alishirikiana na Jordan, Syria and Egypt (then known as United Arab Republic).Wapumbavu ni wengi, Hii vita marekani asingeiweza, marekani alichezea kichapo kwa Vietnam.
Ni sawa na kusema Israeli alimpiga Egypt, wakati uhalisia ni marekani na Israeli walimpiga Egypt.
Ingekuwa anapigana na NATO, angelikuwa amezishambulia nchi wanachama, kwani hilo ni onyo la Putin, maana alisema, ole atakayeingilia!Nipe jibu Russia anapigana na Ukrain au na NATO??
Mimi binafsi nafikiri lugha iliyotumika kuelelzea kilichotokea kweny meli za kivita za urusi imenishinda kutafsiri kwa usahihi; nilichoolewa ni kuwa baada ya mashambulizi ya Ukraine kwenye meli hizo Urusi wamelazimika kuzisongeza mbali zaidi ambako kunawatoa Urusi kwenye uwezo wa kufikisha mashambulizi kwenye Target, aidha imamlazimu Rusia kukiuka makubaliano ya kuruhusu usafirishaji wa grains kutoka UkrainUnayemsifia saa hii anapumulia kwenye mashine!! Baada ya ukraine kujaribu kukishambulia kituo cha meli za kivita cha urusi huko crimea bila mafanikio kwa kutumia drones, urusi imechakaza makombora usiku wa kuamkia leo kwenye majimbo yote nchini ukraine!!! Ukraine iko kwenye giza! Zile mbwembwe za ujerumani kupeleka missile air defense haikufua kitu! Saa hii kila kona ni malalamiko kwenye ulimwengu wa nchi za magharibi.
Pitia hapa ujisomee mwenyewe!
Umendika vizuri mkuu, binafsi siwezi kukupinga au kubali maana aya mambo WENDA wenye upeo mkubwa katika Mambo Magum Kama hii vita mnaelewa mwasema nini ,sie twatoa mtazamo wa wa juu juu tu, so msije tutukana ila tuelimishen tu, binafsi naomba vita ikome hata kesho
Marekani mwoga sana! Hajawahi kuvamia nchi bila mbeleko ya aidha Uingereza au Ufaransa!! Kibnaraka wake ukraine muda huu yuko kwenye giza baada ya uchokozi wake mpya kwewnye kituo cha meli za kivita za urusi huko crimea! Urusi imechakaza majimbo yote nchini ukraine na muda huu wanaugulia kipigo!! Ona hapa!
Airstrikes on critical infrastructure reported across Ukraine
Some 40 incoming Russian missiles were detected, according to an official
![]()
FILE PHOTO. Power outages are seen in the center of Kiev on October 25, 2022. © Photo by Paula Bronstein / Getty Images
Officials in Ukraine reported Russian attacks on critical infrastructure on Monday, with one claiming that some 40 missiles had been detected in the air.
All Ukrainian regions sounded the alarm in the morning, with the media reporting explosions in several parts of the country, including the capital Kiev. Anton Gerashchenko, an aide to the interior minister, urged people to take cover in shelters, claiming on social media that “at the moment, there are already 40 [Russian] missiles” incoming at targets in the country.
Some hits have been confirmed by regional officials. Kiev Mayor Vitaly Klitschko reported that strikes on the capital had caused a partial blackout and disrupted the water supply. He said that due to damage to energy infrastructure, some 350,000 apartments were without power.
Kharkov Mayor Igor Terekhov, said there were two airstrikes, which targeted a “critical infrastructure site.” The city’s metro system also suspended work.
Yaani mi sikuelewi unachotaka Urusi afanye. Mwambie Marekani na wenzie watupe jiwe North Korea kanchi kadogo sana aache kupiga vinchi vidogo.
Point yangu hakuna nchi inayotaka vita for the sake ya vita. Ila usalama wao unapohatarishwa vita huwa ni last resort. Sasa wewe unataka urusi tu iamke na kumpiga nchi isiyona sababu yeyote.
Kwa nini hao unaona wananguvu na wasiwe wa kwanza kutupa kombora Urusi (iliyochoka na isiyo na nguvu) waone majibu yake yatakuwaje.
Hakuna nchi inayotaka vita vya aina yeyote ile na mbaya zaidi hakuna nchi inayotaka vya na nchi zenye nyuklia
We jamaa majibu yako...dah!
Hata kama mtu ulikuwa na stress ni lazima zikate😅
Wewe mwenyewe unajua wazi Ukraine yuko juu ya mabega ya NATO ila umeamua tu kujitoa ufahamu.
Hivi afghanistan ni namba ngapi mkuu? Maana hata haikuwa na support lakiniMnaoishabikia Urusi muendelee kupata aibu, kataifa namba 22 kamezingua hadi basi tu.
I wish Ukraine wangepewa silaha za masafa marefu, pangenoga sana, jamaa wanajituma kama sisimizi.
Kwa ambavyo wamemchosha Urusi ni dhahiri NATO wakitia guu pale, Urusi atafutika.
Globalfire
Ungejibu tu hoja kwa hoja acha yada-yadaHehehe haya madude huwa mnaaminishana wapi haswa, vijiweni au kwenye misikiti...