Kuwakumbushia tu, Ukraine ni namba 22 kwa uwezo wa kijeshi, hata Misri wanaifumua

Kuwakumbushia tu, Ukraine ni namba 22 kwa uwezo wa kijeshi, hata Misri wanaifumua

Hii kweli aibu kwa super power.
Kama kuna aibu kwa super power basi aibu kubwa ni kwa Marekani na NATO maana marekani ilivamia Afghanistan na kuikalia kwa miaka 20 lakini hawakuweza kuwashinda Taliban na mwisho wa siku walikimbia huku wakiacha lundo na silaha zao nyuma!! Sasa timu USA msijifanye hili hamulijui!
 
Humu hakuna mwenye uelewa mkubwa, wote tunashuhudia ka pamoja mambo ambayo hatukukusudia, kwa mfano lile limsafara ya Urusi kwenda kufyeka Kyev, nilipoliona nikajua ndio basi kwaheri ya Zele na mji wake, ila leo bado jamaa yupo anaongoza nchi, hivi ni vita ambavyo vimeshangaza ulimwengu hata Marekani hawakutegemea Ukraine watajituma kihivi.
Sawa ila Mengine yako juu ya uwezo wangu , nikutakie kutupa wengine elim bora
 
Hiyo Ukraine nilijua itafutwa ndani ya siku tano, leo bado mpo huku mnatupigia makelele.
Je Marekani aliifuta Taliban kwa siku ngapi? Usijifanye hujui kuwa Marekani kapigana na Taliban kwa MIAKA 20 na mwisho wa siku Marekani alikimbia na kuacha malundo ya silaha nchini Afghjanistan!! Njoo hapa useme kama hilo haulijui!! Taliban haikuwa na sapoti ya nchi yoyote kama ambavyo Ukraine ina sapoti ya nchi zote za NATO!! Urusi haipigani na Ukraine tu bali inapigana na NATO wanaotumia damu ya askari wa Ukraine!!
 
MK 254 njoo hapa utuambie jinsi ambavyo Marekani aliifuta Taliban kwa siku tano kama ubavu huo unao!!! Achilia mbali somalia ambako pia alikimbia kwa aibu!!
 
Ni kujitoa ufahamu tu kunakoweza kumfanya mtu aamini kuwa ukraine inaweza kuishinda Urusi!! Kwanza ni ukweli ulio wazi kuwa kama Ukraine isingekuwa inakopeshwa silaha na NATO muda huu ingekuwa ishasalimu amri siku nyingi!! Hakuna mwenye akili timamu anayeweza kupingana na ukweli huu!!
Kimsingi ni vema wasio warusi ama wa Ukraine tukajithidi kuto-side upande wowote. Kushinda ama kushindwa vita kunatambuliw na vigezo vingi. Us walikaa Somalia kwa miaka mingi, walipoondoka walitajwa kuwa wameshindwa vibaya. Non the less, ukraine imeonesha kuwa haatima ya vita hii haitabiliki
 
Mkuu kama unafatilia kweli hii vita unajua jeshi la Ukrain limeshafyekwa zamani. Waliobakia kwa sasa ni jeshi la NATO linalo tumia jina la Ukrainian army.

Tuchukulie mfano Somalia anapigana na Kenya lakini majeshi ya East afrika yote yanamsaidia Kenya na silaha juu. Jee hapa Somali anapigana na Kenya au East Afrika???
Wewe habar umepata wapi wakati upo buza mkuu tusilishane matango pori
 
Hivi afghanistan ni namba ngapi mkuu? Maana hata haikuwa na support lakini
Urusi haikutumia nguvu wanazotumia leo, wameingia gharama inayoweza kusambaratisha mataifa hata kumi ya Africa, na mpaka sasa wameambulia 15% tu, na zenyewe zinawatoka puani.
 
Urusi haikutumia nguvu wanazotumia leo, wameingia gharama inayoweza kusambaratisha mataifa hata kumi ya Africa, na mpaka sasa wameambulia 15% tu, na zenyewe zinawatoka puani.
Kwakweli kabisa mkuu yani walitumia hadi makombora ya kugeuza ardhi juu chini, chini juu kwa kanchi ambako hata hakakuwa na msaada. Na baada ya miaka zaidi ya kumi kamewashinda wamrondoka wakakaacha mikononi mwa uongozi ule ule.
 
Mwambieni apige kakijiji kamoja tu ka kataifa mwanachama wa NATO, kwa mfano Latvia ni kataifa kadogo hapo jirani wa Urusi na ni mwanachama wa NATO, akosee njia kombora lake moja liguse Latvia, ndio mtaelewa nini maana ya kuku kunyolewa.
Akili kama hizi alafu tunatarajia maendeleo dah
 
Je Marekani aliifuta Taliban kwa siku ngapi? Usijifanye hujui kuwa Marekani kapigana na Taliban kwa MIAKA 20 na mwisho wa siku Marekani alikimbia na kuacha malundo ya silaha nchini Afghjanistan!! Njoo hapa useme kama hilo haulijui!! Taliban haikuwa na sapoti ya nchi yoyote kama ambavyo Ukraine ina sapoti ya nchi zote za NATO!! Urusi haipigani na Ukraine tu bali inapigana na NATO wanaotumia damu ya askari wa Ukraine!!

Taleban hawakua jeshi la nchi ni magaidi ya waislamu ambao huwezi kujua wapi pakuwakuta upige.
 
Kwakweli kabisa mkuu yani walitumia hadi makombora ya kugeuza ardhi juu chini, chini juu kwa kanchi ambako hata hakakuwa na msaada. Na baada ya miaka zaidi ya kumi kamewashinda wamrondoka wakakaacha mikononi mwa uongozi ule ule.

Kasome historia ya hivyo vita vya Afghanistan vizuri unaposema hawakusaidiwa, tena walipata msaada mkubwa sana wa Marekani.
 
Kasome historia ya hivyo vita vya Afghanistan vizuri unaposema hawakusaidiwa, tena walipata msaada mkubwa sana wa Marekani.
Sisemi walipopigana na mrusi nasema walipopigana na mmarekani kuiondoa taliban kumbe hukuwa umenielewa.
Kuhusu vita yao na mrusi najua walisaidiwa na marekani hadi kumtrain osama
 
Taleban hawakua jeshi la nchi ni magaidi ya waislamu ambao huwezi kujua wapi pakuwakuta upige.
Kama hajui pa kuwakuta alienda kufanya nini huko? Ukweli ni kuwa Marekani alishindwa!! Taliban walikuwa wanajulikana wako wapi. Walikuwa wamejichimbia milimani na misituni na marekani imeuliwa askari wake huko wengi sana! Mwisho wa siku walikimbia!!
Marekani alishindwa pia na wajapan kwenye vita vikuu vya pili hadi akalazimika kutumia silaha za nyuklia mara mbili!! Bila silaha ya nyuklia alikuwa amechemsha vibaya kwa wajapan!! Marekasni alishindwa pia kwenye vita vya Vietnam!! Marekani hana historia ya kushinda vita yeye kama yeye!! Syria alishindwa maana lengo lake lilikuwea ni kumwondoa Rais Asaad madarakani lakini hadi leo ameshindwa!
 
Mnaoishabikia Urusi muendelee kupata aibu, kataifa namba 22 kamezingua hadi basi tu.

I wish Ukraine wangepewa silaha za masafa marefu, pangenoga sana, jamaa wanajituma kama sisimizi.
Kwa ambavyo wamemchosha Urusi ni dhahiri NATO wakitia guu pale, Urusi atafutika.

Globalfire
Kwani nato hawajatia guu ukraine? Ingekua urusi anapigana na ukraine tu mbona angeshafunga biashara zamani. Ukraine licha ya silaha za nato askari wa nato wako wanapigana kama mamluki. Kuna wamarekani na waingereza mateka kuthibitisha wala hakuna ubishi. Lakini pamoja na usaidizi wa nato mrusi kashateka sehemu kubwa majimbo 4 yenye raia warusi. Majimbo hayo raia wanataka kujiunga na urusi.
Ukraine saa hizi wanazungumzia kukomboa maeneo yaliyotekwa wakati warusi wanszungumzia kulinda maeneo waliyochukua ya ukraine
 
Sisemi walipopigana na mrusi nasema walipopigana na mmarekani kuiondoa taliban kumbe hukuwa umenielewa.
Kuhusu vita yao na mrusi najua walisaidiwa na marekani hadi kumtrain osama

Marekani hangeshinda pale, maana alifanikiwa kuwafyeka na kusimika uongozi na jeshi kabisa, sema hangeishi pale milele, ilibidi waondoke na kuachia huo uongozi ujaribu kujisimamia, ila hawangeweza maana sio rahisi kupigana na magaidi ya kiislamu.
Urusi alithubutu kufanya hicho kitu Ukraine, kwamba apige na kusimika uongozi wake, alichokutana nacho kitaandikwa kwenye historia.....
Jeuri ya kupiga na kusimika uongozi ni ubabe ambao Marekani pekee yake ndiye mwenye uwezo huo duniani.
 
Kama hajui pa kuwakuta alienda kufanya nini huko? Ukweli ni kuwa Marekani alishindwa!! Taliban walikuwa wanajulikana wako wapi. Walikuwa wamejichimbia milimani na misituni na marekani imeuliwa askari wake huko wengi sana! Mwisho wa siku walikimbia!!
Marekani alishindwa pia na wajapan kwenye vita vikuu vya pili hadi akalazimika kutumia silaha za nyuklia mara mbili!! Bila silaha ya nyuklia alikuwa amechemsha vibaya kwa wajapan!! Marekasni alishindwa pia kwenye vita vya Vietnam!! Marekani hana historia ya kushinda vita yeye kama yeye!! Syria alishindwa maana lengo lake lilikuwea ni kumwondoa Rais Asaad madarakani lakini hadi leo ameshindwa!

Marekani alipiga Afghanistan na mpaka akasimika uongozi pale, ila hangeishi milele, alijaribu kuwekeza kwa huo uongozi na jeshi la wazawa ila haikua rahisi kwa wao kujisimamia wapigane na hayo magaidi ya waislamu.
 
Back
Top Bottom