Kuwakumbushia tu, Ukraine ni namba 22 kwa uwezo wa kijeshi, hata Misri wanaifumua


Ndio nasema mwambieni huyo Urusi ajifanye amekosea njia apige Latvia, kataifa kadogo jirani yake hapo ila mwanachama wa NATO, ndio muelewe nini maana ya NATO kutia guu pale, Urusi itafutika kabisa, yaani kwa ambavyo wameteswa na Ukraine kwa kweli hawawezi kusimama kwenye vita dhidi ya taifa lolote kubwa, hata China na India wanajifanya kumsaidia Urusi ila wanachekelea sana.
 

..ushindi ktk vita unatokana na combination ya silaha bora, mbinu, na ari ya wapiganaji.

..Ukraine hakuwa amejiandaa kukabiliana na uvamizi wa Urusi ndio maana kila kukicha anaomba msaada wa silaha na fedha toka kwa marafiki zake.
 
Na imawaje tu kabla hajaondoka vzuri washachukua tena nchi mkuu. Miaka yite kakaa pale kashindwa wamaliza hao mgambo
 
Yaani namba 22 kijeshi halafu hana silaha za masafa marefu?
 
Na imawaje tu kabla hajaondoka vzuri washachukua tena nchi mkuu. Miaka yite kakaa pale kashindwa wamaliza hao mgambo

Mgambo wa waislamu hauwezi ukawamaliza, kwanza nchi yote waislamu na magaidi yenyewe waislamu, yeye alipaswa kupiga na kuondoka sio kuendelea kuyafukuzia maana yamelishwa mizuka ya kiislamu yatakuchosha bure hata ukimwaga mabilioni na kusimika uongozi maana wote ni hao hao.
 

Usitufanye wajinga Kama wewe!!Mfano wako ulioutoa si sawa Kenya wako Somalia Kama Peace-Keeper.Ni ujinga kusema askari wa Ukraine wamefyekwa labda umefyekwa wewe na ujinga wako wa kutoelewa mambo.Urusi sasa hivi anapigwa mpaka anakimbia kwenye uwanja wa mapambano na anakimbilia mijini Kwa raia wasio na silaha huko sasa ndiko anatamba kuharibu miundombinu ya kiraia na kuuwa raia wasio na silaha.
 
Una elimu ndogo sana Misri ina nguvu za kijeshi kuizidi mpaka Uturuki,Iran, Israel ,mpaka Ujerumani.

Maneno ya kwenye Kahawa sasa tunaanza kuletewa!!!
 

Kwa hiyo unataka kutuambia nini.?Maana hata uvamizi wa Russia huko Ukraine huzungumzii au kwako unaona alifanya vizuri kuvamia Ukraine?
 
akili fupi sana , Irrelevant example
 
Kwani umesikia Urusi anaugomvi na mtu. Yeye shida yake ni Ukraine (his brothers and sisters) hivyo atapambana nao kidogo kidogo. Leo tu kamgonga 40 missiles kulipiza tukio la kigaidi alilofanya juzi jmosi.

Mnajifariji?
 
tupe source , ila isiwe ya kijiwen kwenu
 
Uruni taifa la kipumbav sn , haya yote kayataka na atayaoga tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…