Kuwakumbushia tu, Ukraine ni namba 22 kwa uwezo wa kijeshi, hata Misri wanaifumua

Mnaoishabikia Urusi muendelee kupata aibu, kataifa namba 22 kamezingua hadi basi tu.

I wish Ukraine wangepewa silaha za masafa marefu, pangenoga sana, jamaa wanajituma kama sisimizi.
Kwa ambavyo wamemchosha Urusi ni dhahiri NATO wakitia guu pale, Urusi atafutika.

Globalfire
Hata sasa Russia inapigana na NATO, tumia akili japo kidogo, ingekua ni Ukraine pekee isingekuwepo kwenye uso wa DUNIA
 
Siku Urusi ikipgana na NATO itafutwa kwenye ramani, kwa ambavyo imesumbuliwa na kataifa kadogo ni wazi ni useless supapawa.
 
Tumeona US ameshindwa kufua dafu Kwa Russia huko Syria!😆😆
 
Pale Syria kwa watu wa dini yenu pamesambaratishwa, both US na Russia hupatumia kama kaeneo ka kujifunza shaba.
 
Kwanini US ameshindwa kumpindua Assad?Jibu ni Moja tu,Russia!
 
Nimekuambia Syria huwa kamchezo fulani hivi ka kupiganisha hao maarabu ya dini yenu, yauane uane, hakuna mwenye haja ya ushindi, maana hata ukishinda hamna chochote cha maana pale....hebu ona ambavyo huwa yanapiganishwa na yote yanaimba akbar akbar

a4Q3Z0Q_700b.jpg
 
Mimi nimesema US Yuko against Assad,wakati Huo huo Russia Yuko pamoja na Assad!
Naona umeconfirm kuwa bila Russia basi Assad asingekuwa madarakani!
Hayo mengine pambana nayo mwenyewe!
 
Hehehe naona umepata pakujaribu kutokea baada ya aibu anayopata Mrusi kule Ukraine, ambapo anapigana full invasion na kupokea za uso...na bado...
Nimekuambia Sysria hamna cha nani anashindana na nani, ni kamchezo ka kuweka maarabu ya dini yenu busy yauane..

Dini yangu unaijua wewe?
Umeconfirm tu kuwa bila Russia basi Assad angekuwa amefanywa kama Gaddafi wa Libya!
So Russia sio wa mchezo mchezo,huko Ukraine kazi inaendelea na majimbo manne yamshaondoka hivyo!
 
Mataifa yenye nguvu kubwa za kijeshi duniani mwaka 2020

Jarida la kimataifa la Firepower' ambalo huwa linalinganisha uwezo wa vikosi vya majeshi duniani kila mwaka , lilitoa orodha ya mataifa 138 pamoja nguvu walizo nazo.

Ripoti hiyo iliangalia idadi ya silaha, jeshi na rasilimali fedha ambazo nchi hizi hutumia katika operesheni za kijeshi.

1- Marekani

2- Urusi

3- China

4 India

5- Japan

6- Korea Kusini

7- Ufaransa

8- Uingereza

9- Misri

10- Brazil

11- Uturuki

12- Italia

13-Ujerumani

14-Iran

15- Pakistan

16- Indonesia

17- Saudi Arabia

18-Israel

19- Australia

20- Hispania

21- Poland

22- Vietnam

23- Thailand

24- Canada

25. Korea Kaskazini

BBC
Hizi stats bhana yani Korea kaskazini iwe ya 25 kwelii?? Sina utalaamu wala uelewa wa kutosha kwenye masuala ya kijeshi lakini I have a doubt. wanaozitoa hizo stats huwa wanatumia vigezo gani maana hizo stats Mara nyingi zinawabeba nchi Fulani Fulani ,wamezirank hivo kwa vigezo gani ?? Na wana uhakika gani ??maana mambo yakijeshi ya nchi nyingi huwa ni siri
 
Hizi stats bhana yani Korea kaskazini iwe ya 25 kwelii?? Sina utalaamu wala uelewa wa kutosha kwenye masuala ya kijeshi lakini I have a doubt. wanaozitoa hizo stats huwa wanatumia vigezo gani maana hizo stats Mara nyingi zinawabeba nchi Fulani Fulani ,wamezirank hivo kwa vigezo gani ?? Na wana uhakika gani ??maana mambo yakijeshi ya nchi nyingi huwa ni siri
Ripoti hiyo iliangalia idadi ya silaha, jeshi na rasilimali fedha ambazo nchi hizi hutumia katika operesheni za kijeshi.
 
Dini yangu unaijua wewe?
Umeconfirm tu kuwa bila Russia basi Assad angekuwa amefanywa kama Gaddafi wa Libya!
So Russia sio wa mchezo mchezo,huko Ukraine kazi inaendelea na majimbo manne yamshaondoka hivyo!

Nimekuambia pale ni maarabu ya dini yenu yanachanganywa yauane, hakuna anayejaribu kuwa mshindi...
Mrusi hana jeuri yoyote kwa USA maana yeye huyo Mrusi full invasion imemshinda Ukraine mpaka anakusanya wanywa gongo, hata hao Syria walikwenda kujaribu kumsaidia ila wapi....akasaidiwa na wapiganaji wa dini yenu, wale wa Chechnya ila wapi...

Wakati Bado mpaka Leo Assad anaongoza serikali ya Syria,halafu wewe unasema ila wapi?😆😆
Usinibandike dini ambayo sio yangu,kama huna hoja jipange upya!
Russia waketisha sana,West walimkadiria kuishiwa silaha ndani ya Miezi 3!Wakaweka na Sanctions,mataifa zaidi ya 30 yanamuwekea vikwazo ila Russia Bado anapetw tu!
Msaada wa silaha, intelligence,mafunzo na manpower kutoka mataifa zaidi ya 30,ila Russia Bado kasimama!
Hebu US ajaribu kupigana na mexico,awekewe vikwazo na Russia na EU countries,Russia na EU countries na Majirani wa US kama Canada na Cuba waungane kumsaidia Mexico silaha, intelligence na mafunzo!Unadhani hali itakuwaje Kwa US?
Acheni Russia iitwe Russia💪💪💪
 
Mkuu kama unafatilia kweli hii vita unajua jeshi la Ukrain limeshafyekwa zamani. Waliobakia kwa sasa ni jeshi la NATO linalo tumia jina la Ukrainian army.

Tuchukulie mfano Somalia anapigana na Kenya lakini majeshi ya East afrika yote yanamsaidia Kenya na silaha juu. Jee hapa Somali anapigana na Kenya au East Afrika???

Swali zuri sana, ni kweli jeshi la Ukraine lilikuwa na wanajeshi wapatao 600,000+ lakini tangu vita hii ianze wanajeshi walio salimika hawazidi 125,000 to, wameuwawa kweli kweli na jeshi la Urusi, hasa hasa kutokana na operation za kiwenda wazimu za jeshi la Ukraine their so called "counter offesive" katika operation hizo wanajeshi vijana wanakufa kwa wingi bila sababu za msingi, lakini crazy Zelensky anazidi kuwatuma vijana wengine kwenye harms way wakati mwingine kwa kutumia vitisho.

Baada ya wanajeshi wa Ukraine kupukutishwa kwa wingi na jeshi la Urusi vile vile kwa kuona mwenendo wa vita kutomwendea vuzuri Zelensky ndio maana aliomba msaada wa NATO ili wampatie wanajeshi wa ziada ambao watapewa uniform za jeshi la Ukraine ili wapigane vita na Urusi bila ya kujulikana mataifa wanayo toka,hivi sasa hilo limekwisha julikana - ni suala la muda tu kabla na wao hawaja sambaratishwa na jeshi la Putin.
 
Wakati Bado mpaka Leo Assad anaongoza serikali ya Syria,halafu wewe unasema ila wapi?😆😆
Usinibandike dini ambayo sio yangu,kama huna hoja jipange upya!
Russia waketisha sana,West walimkadiria kuishiwa silaha ndani ya Miezi 3!Wakaweka na Sanctions,mataifa zaidi ya 30 yanamuwekea vikwazo ila Russia Bado anapetw tu!
Msaada wa silaha, intelligence,mafunzo na manpower kutoka mataifa zaidi ya 30,ila Russia Bado kasimama!
Hebu US ajaribu kupigana na mexico,awekewe vikwazo na Russia na EU countries,Russia na EU countries na Majirani wa US kama Canada na Cuba waungane kumsaidia Mexico silaha, intelligence na mafunzo!Unadhani hali itakuwaje Kwa US?
Acheni Russia iitwe Russia💪💪💪

Hapo Syria nakuambia ni kamchezo ka kuweka maarab ya dini yenu yawe busy kuuana, halafu Mrusi hana jeuri yoyote kwa USA, kashindwa na kataifa kadogo kama Ukraine kataifa kenyewe namba 22, ina maana hata Misri inaweza kumpa tabu sana.
Huu hapa ni mtandao wa maarabu ya dini yenu kuuawana, nimepata picha nzuri inayoonyesha yanavyouana na kupunguza uzombi wao...

CbH1xEAWcAIGgGU.png
 
Si huyo US aende front kama alivyofanya Iraq,Libya,Vietnam,Afghan na kwingineko?
 
Back
Top Bottom