Source ya nini kama hujui ni hujui tutupe source , ila isiwe ya kijiwen kwenu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Source ya nini kama hujui ni hujui tutupe source , ila isiwe ya kijiwen kwenu
Hata sasa Russia inapigana na NATO, tumia akili japo kidogo, ingekua ni Ukraine pekee isingekuwepo kwenye uso wa DUNIAMnaoishabikia Urusi muendelee kupata aibu, kataifa namba 22 kamezingua hadi basi tu.
I wish Ukraine wangepewa silaha za masafa marefu, pangenoga sana, jamaa wanajituma kama sisimizi.
Kwa ambavyo wamemchosha Urusi ni dhahiri NATO wakitia guu pale, Urusi atafutika.
Globalfire
nan alimtuma avamie wanyonge ?
Hata sasa Russia inapigana na NATO, tumia akili japo kidogo, ingekua ni Ukraine pekee isingekuwepo kwenye uso wa DUNIA
Tumeona US ameshindwa kufua dafu Kwa Russia huko Syria!😆😆Siku Urusi ikipgana na NATO itafutwa kwenye ramani, kwa ambavyo imesumbuliwa na kataifa kadogo ni wazi ni useless supapawa.
Kwanini US ameshindwa kumpindua Assad?Jibu ni Moja tu,Russia!Pale Syria kwa watu wa dini yenu pamesambaratishwa, both US na Russia hupatumia kama kaeneo ka kujifunza shaba.
You can't be serious.Una elimu ndogo sana Misri ina nguvu za kijeshi kuizidi mpaka Uturuki,Iran, Israel ,mpaka Ujerumani.
Kwanini US ameshindwa kumpindua Assad?Jibu ni Moja tu,Russia!
Mimi nimesema US Yuko against Assad,wakati Huo huo Russia Yuko pamoja na Assad!Nimekuambia Syria huwa kamchezo fulani hivi ka kupiganisha hao maarabu ya dini yenu, yauane uane, hakuna mwenye haja ya ushindi, maana hata ukishinda hamna chochote cha maana pale....hebu ona ambavyo huwa yanapiganishwa na yote yanaimba akbar akbar
![]()
Mimi nimesema US Yuko against Assad,wakati Huo huo Russia Yuko pamoja na Assad!
Naona umeconfirm kuwa bila Russia basi Assad asingekuwa madarakani!
Hayo mengine pambana nayo mwenyewe!
Dini yangu unaijua wewe?Hehehe naona umepata pakujaribu kutokea baada ya aibu anayopata Mrusi kule Ukraine, ambapo anapigana full invasion na kupokea za uso...na bado...
Nimekuambia Sysria hamna cha nani anashindana na nani, ni kamchezo ka kuweka maarabu ya dini yenu busy yauane..
![]()
Hizi stats bhana yani Korea kaskazini iwe ya 25 kwelii?? Sina utalaamu wala uelewa wa kutosha kwenye masuala ya kijeshi lakini I have a doubt. wanaozitoa hizo stats huwa wanatumia vigezo gani maana hizo stats Mara nyingi zinawabeba nchi Fulani Fulani ,wamezirank hivo kwa vigezo gani ?? Na wana uhakika gani ??maana mambo yakijeshi ya nchi nyingi huwa ni siriMataifa yenye nguvu kubwa za kijeshi duniani mwaka 2020
Jarida la kimataifa la Firepower' ambalo huwa linalinganisha uwezo wa vikosi vya majeshi duniani kila mwaka , lilitoa orodha ya mataifa 138 pamoja nguvu walizo nazo.
Ripoti hiyo iliangalia idadi ya silaha, jeshi na rasilimali fedha ambazo nchi hizi hutumia katika operesheni za kijeshi.
1- Marekani
2- Urusi
3- China
4 India
5- Japan
6- Korea Kusini
7- Ufaransa
8- Uingereza
9- Misri
10- Brazil
11- Uturuki
12- Italia
13-Ujerumani
14-Iran
15- Pakistan
16- Indonesia
17- Saudi Arabia
18-Israel
19- Australia
20- Hispania
21- Poland
22- Vietnam
23- Thailand
24- Canada
25. Korea Kaskazini
BBC
Ripoti hiyo iliangalia idadi ya silaha, jeshi na rasilimali fedha ambazo nchi hizi hutumia katika operesheni za kijeshi.Hizi stats bhana yani Korea kaskazini iwe ya 25 kwelii?? Sina utalaamu wala uelewa wa kutosha kwenye masuala ya kijeshi lakini I have a doubt. wanaozitoa hizo stats huwa wanatumia vigezo gani maana hizo stats Mara nyingi zinawabeba nchi Fulani Fulani ,wamezirank hivo kwa vigezo gani ?? Na wana uhakika gani ??maana mambo yakijeshi ya nchi nyingi huwa ni siri
Dini yangu unaijua wewe?
Umeconfirm tu kuwa bila Russia basi Assad angekuwa amefanywa kama Gaddafi wa Libya!
So Russia sio wa mchezo mchezo,huko Ukraine kazi inaendelea na majimbo manne yamshaondoka hivyo!
Wakati Bado mpaka Leo Assad anaongoza serikali ya Syria,halafu wewe unasema ila wapi?😆😆Nimekuambia pale ni maarabu ya dini yenu yanachanganywa yauane, hakuna anayejaribu kuwa mshindi...
Mrusi hana jeuri yoyote kwa USA maana yeye huyo Mrusi full invasion imemshinda Ukraine mpaka anakusanya wanywa gongo, hata hao Syria walikwenda kujaribu kumsaidia ila wapi....akasaidiwa na wapiganaji wa dini yenu, wale wa Chechnya ila wapi...
![]()
Mkuu kama unafatilia kweli hii vita unajua jeshi la Ukrain limeshafyekwa zamani. Waliobakia kwa sasa ni jeshi la NATO linalo tumia jina la Ukrainian army.
Tuchukulie mfano Somalia anapigana na Kenya lakini majeshi ya East afrika yote yanamsaidia Kenya na silaha juu. Jee hapa Somali anapigana na Kenya au East Afrika???
Wakati Bado mpaka Leo Assad anaongoza serikali ya Syria,halafu wewe unasema ila wapi?😆😆
Usinibandike dini ambayo sio yangu,kama huna hoja jipange upya!
Russia waketisha sana,West walimkadiria kuishiwa silaha ndani ya Miezi 3!Wakaweka na Sanctions,mataifa zaidi ya 30 yanamuwekea vikwazo ila Russia Bado anapetw tu!
Msaada wa silaha, intelligence,mafunzo na manpower kutoka mataifa zaidi ya 30,ila Russia Bado kasimama!
Hebu US ajaribu kupigana na mexico,awekewe vikwazo na Russia na EU countries,Russia na EU countries na Majirani wa US kama Canada na Cuba waungane kumsaidia Mexico silaha, intelligence na mafunzo!Unadhani hali itakuwaje Kwa US?
Acheni Russia iitwe Russia💪💪💪
Si huyo US aende front kama alivyofanya Iraq,Libya,Vietnam,Afghan na kwingineko?Hapo Syria nakuambia ni kamchezo ka kuweka maarab ya dini yenu yawe busy kuuana, halafu Mrusi hana jeuri yoyote kwa USA, kashindwa na kataifa kadogo kama Ukraine kataifa kenyewe namba 22, ina maana hata Misri inaweza kumpa tabu sana.
Huu hapa ni mtandao wa maarabu ya dini yenu kuuawana, nimepata picha nzuri inayoonyesha yanavyouana na kupunguza uzombi wao...
![]()