Kuwapa wanawake pesa ni kuwaendekeza ili wasifanye kazi

Kuwapa wanawake pesa ni kuwaendekeza ili wasifanye kazi

EllySkyWilly

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2020
Posts
2,204
Reaction score
2,086
Habari za leo wakuu.

Wakuu hivi mmegundua kwamba taifa linaangamia na kupotea nguvu kazi ya kike inapotea kabisa wakuu. Hawataki kufanya kazi, wanasubili watongozwe ili waanze kuomba pesa za kujimudu kimaisha.

Wao wanachowaza ni kuvaa mawigi, kukuza mahips, wakati huo huo hivyo vitu ni gharama kweli na vinahitaji pesa. Tafuta vya kwako.

Kweli baadhi ya wanawake wamebaki ni ombaomba. Ndugu zangu kama una dada zako wafundishe kutafuta vyakwao. Hawakuletwa duniani ili waje kuomba omba.
 
Kiulweli wa hivyo wengi wao ndio hawa masingomaza,
haiwezekan utegemee K yako tu bila kufanya kazi ya kushirikiana na mwenzio.
nikikugundua upo hivyo yaan kutaka kunitumia,
nalufurush huko,
megwa na wengine who cares,
 
Usipende sana shuruba.. fanya kazi ukimaliza kukusanya starehe.

Isitoshe kama unataka kuoa malkia basi mtunze kama malkia.. sio unaoa halafu unamburuza kama ng'ombe...

Mtunze mkeo, naye Atakuheshimu. 🙂
 
Usipende sana shuruba.. fanya kazi ukimaliza kukusanya starehe.

Isitoshe kama unataka kuoa malkia basi mtunze kama malkia.. sio unaoa halafu unamburuza kama ng'ombe...

Mtunze mkeo, naye Atakuheshimu. 🙂

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mkuu mke hana tatizo. Kwanza mke sio ombaomba
 
Wanawake hawakuletwa duniani kula kwa jasho. Wanaume wa siku hizi sijui mmelogwa na nani
Waliletwa kuzaa kwa uchungu lakini hawataki kuzaa wanatoa mimba ili waendelee kudanga

Sijui wamelogwa na nani hawa wanawake
 
Kwa ushauri tu

Kama huna pesa usijihusishe na mapenzi, fanya mambo mengine.
 
Back
Top Bottom