Kuwapa wanawake pesa ni kuwaendekeza ili wasifanye kazi

Kuwapa wanawake pesa ni kuwaendekeza ili wasifanye kazi

Kwanini...wanaume mnataka wanawake watafute kwa jasho,.... Mwanamke Yake matunzo....

Kama huwezihudumia unataka mwanamke wa Nini..

Ndo nyie mnataka mtu atafute hela muanze kukopakopa
 
Tunataka mwe kama akina shishi samia salma sio kuomba omba tu
Kilichokushinda kwenda kwakinaS shishi na Samia...au hao walimu, maAskari na mabanker..Nini...

Sihalalishi udangaji ila kutafuta PESA KIASILI SIO KAZI YA MWANAMKE.

Kuzaaa nakulea
 
Naona sio siku nyingi vijana mta demand wanawake wawalipie mahari...[emoji41][emoji41]
Sio watademand... Ndo walivyo Tena wanataka Baby kopa million 5 nipe nikakutolee mahali..nakuanza mchakato wa harusi.

Mtu akiombwa Chumvi anakasirika...SASA ULIVYOKUWA UNAOA...ULIOA ILI NINI...

MAJUKUMU YENU YANAWASHINDA
 
Dah... Wanaume wenzangu...kwa hili mtaniwia radhi tu...hata mkiniita msaliti nitakubali tu...kwa kifupi sitakuwa pamoja nanyi...
Kazi kuu ya mwanaume ni kumlinda mwanamke ...na kazi kuu ya mwanamke ni kumfariji mwanaume...[emoji2960]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona sio siku nyingi vijana mta demand wanawake wawalipie mahari...[emoji41][emoji41]
Dah... bro tena imekuwa ngumu sana siku hizi kuwatofautisha vijana wa kiume na kike... sijui ni sindano ganzi hizi wanazochomwa hospital wakati wanavua Sweta ndiyo zinawalainisha [emoji2960][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliowapa like na malove kwenye mada hii mbarikiwe sana,
 
Kazi ya mwanamke ni kumforce mwanaume atoke ndani akatafute Ela za kutosha kwa ajili ya matumizi ya mke, familia na maendeleo ya baadae na sio wewe mwanaume umforce mwanamke atoke akatafute Ela huko nje atakutana na mengi alafu muanze kuja kulia hapa mnapigiwa , Nadhani wanaume wenzangu mmenielewa.
 
Back
Top Bottom