EllySkyWilly
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 2,204
- 2,086
Familia zetu zitabaki maskini kwa kuwa na madada kama haoUjenzi wao wa taifa upo kwenye kutupa ile huduma muhimu kwahiyo inatosha hawahitaji kufanya kazi nyingine
Tunataka mwe kama akina shishi samia salma sio kuomba omba tuWanawake hawakuletwa duniani kula kwa jasho. Wanaume wa siku hizi sijui mmelogwa na nani
Hatutaki. Wewe kama hutoi pesa wenzio watatoaTunataka mwe kama akina shishi samia salma sio kuomba omba tu
πππHatutaki. Wewe kama hutoi pesa wenzio watatoa
Mkuu mke hana tatizo. Kwanza mke sio ombaombaUsipende sana shuruba.. fanya kazi ukimaliza kukusanya starehe.
Isitoshe kama unataka kuoa malkia basi mtunze kama malkia.. sio unaoa halafu unamburuza kama ng'ombe...
Mtunze mkeo, naye Atakuheshimu. π
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Sasa extra marital hazifai bwana... We ukiona uwezo upo oa... Utunze . Sio kuibaiba mkuu..Mkuu mke hana tatizo. Kwanza mke sio ombaomba
mkuu asante kwa kumkumbusha hilo.Sisi wanaume ndiyo tumeambiwa tufanye kazi mura...
Waliletwa kuzaa kwa uchungu lakini hawataki kuzaa wanatoa mimba ili waendelee kudangaWanawake hawakuletwa duniani kula kwa jasho. Wanaume wa siku hizi sijui mmelogwa na nani
lkn mmeishia kupt mimb kuliko pesa, na kuw singo mazaHatutaki. Wewe kama hutoi pesa wenzio watatoa