Kuwasha Mwenge kunaashiria "Illumination, enlightenment, and guidance." Mwenge wa Uhuru ni muhimu sana katika taifa letu

Utamaduni wa asili wa Mtanganyika ni upi? Unaujua?
 
Soma Biblia ndugu yangu acha uzembe:
Kutoka 3:2
β€œMalaika wa Bwana akamtokea katika mwali wa moto kutoka katikati ya kijiti. Akaangalia, na tazama, lile kijiti lilikuwa linawaka moto, lakini halikuteketea.”
Nipe andiko linalosema tuwashe Mwenge/ mienge
 
Mpaka utakaponionesha kwenye Amri kumi za Mungu imeandikwa tusiwashe mwenge nitakuja kukuletea maandiko mengi sana. Je, amri ya ngapi imesema tusiwashe Mwenge?
Kuna amri na makatazo ni vitu viwili tofauti
 
Kuna amri na makatazo ni vitu viwili tofauti
Nipe orodha ya makatazo. Je makatazo yapo mangapi kwenye biblia? 🀣 🀣 🀣 🀣 Nina wasiwasi na Ukristo wako, huenda ni wa kuazima.
Haya tupe orodha ya makatazo.
 
Sipati picha kila mwaka Serikali inatenga bajeti ya kukimbizana na moto nchi nzima wakati nchi ni masikini.
 
acha imani za kishirikina mkuu
Nani alikuwambia hiyo ni Imani ya kishirikina? Na kitabu kipi kimesema hiyo ni imani ya kishirikina? Au upo too emotional? 🀣 🀣 🀣 🀣
 
Sipati picha kila mwaka Serikali inatenga bajeti ya kukimbizana na moto nchi nzima wakati nchi ni masikini.
Kawaida sana. Nchi zingine kama India, China na Ulaya zipo na siku za kuwasha mshumaa.
 
Japan - Mbio za Mwenge wa Olimpiki: Mwenge wa Olimpiki hukimbizwa katika maeneo mbalimbali ya nchi mwenyeji kwa kipindi cha takriban miezi mitatu.
 
Sipati picha kila mwaka Serikali inatenga bajeti ya kukimbizana na moto nchi nzima wakati nchi ni masikini.
Canada Mbio za Mwenge wa Olimpiki (Olympic Torch Relay)
 
Duniani hakuna jipya kila kitu ni kilekile mambo ni ku recycle tu
We acha kujibu vitu usivyojua bwana..unadhani Marekani wana Muda wa ukimbizana na Moshi?hakuna cha recycle wala nini nilikuwa namzingua tu huyu much know ila alivyojibu tu nikajua hakuna anachoelewa
 
Hapo kwenye kuleta maendeleo hata mimi pananiacha mdomo wazi sanaπŸ˜…πŸ˜…
 
We acha kujibu vitu usivyojua bwana..unadhani Marekani wana Muda wa ukimbizana na Moshi?hakuna cha recycle wala nini nilikuwa namzingua tu huyu much know ila alivyojibu tu nikajua hakuna anachoelewa
Kwani sie wamarekani,,,unataka ya wamarekani nenda marekani.....kila mtawala na mipaka yake na taratibu zake,,,kama unaona hazikufai sepa tu
 
Na yale makafara ya milimani yananeemesha Taifa??
 
Kafara inahusika na kuchinja wanyama. Kitu ambacho hakihusiani na kuchinja wanyama siyo kafara
Umechemka mzee 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…