Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
- Thread starter
- #61
Jadili mada. Kama mada imekuzidi uwezo nenda kalale 🤣 🤣 🤣 🤣Umejijazia ujuaji kichwani na jina ulilojipa ni la kishankupe.Go and rot in hell!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jadili mada. Kama mada imekuzidi uwezo nenda kalale 🤣 🤣 🤣 🤣Umejijazia ujuaji kichwani na jina ulilojipa ni la kishankupe.Go and rot in hell!
Utamaduni wa asili wa Mtanganyika ni upi? Unaujua?Kukimbiza mwenge si utamaduni wa asili wa Mtanganyika. Tumeiga, licha ya kukimbizwa miaka yote hiyo (Kwa Imani ya kwamba unaleta maendeleo na faraja) lakini bado changamoto lukuki ziko ndani ya nchi yetu. Kwa mfano:
Zama ambazo sayansi na technology imekuwa ndiyo msingi wa maendeleo, lakini Tanzania bado watu wanauabudu mwenge (eti unaleta maendeleo 😂😂😂). Lol
- Umaskini bado mkubwa.
- Mauaji ya watu ni makubwa
- Ufisadi ndiyo balaa
- Ujinga unazidi kutamalaki. Mfano, kuuziwa maji ya upako(au kitambaa) Kwa Imani ya kumpatia ahueni ya maisha mnunuaji.
Nipe andiko linalosema tuwashe Mwenge/ miengeSoma Biblia ndugu yangu acha uzembe:
Kutoka 3:2
“Malaika wa Bwana akamtokea katika mwali wa moto kutoka katikati ya kijiti. Akaangalia, na tazama, lile kijiti lilikuwa linawaka moto, lakini halikuteketea.”
Mpaka utakaponionesha kwenye Amri kumi za Mungu imeandikwa tusiwashe mwenge nitakuja kukuletea maandiko mengi sana. Je, amri ya ngapi imesema tusiwashe Mwenge?Nipe andiko linalosema tuwashe Mwenge/ mienge
Kuna amri na makatazo ni vitu viwili tofautiMpaka utakaponionesha kwenye Amri kumi za Mungu imeandikwa tusiwashe mwenge nitakuja kukuletea maandiko mengi sana. Je, amri ya ngapi imesema tusiwashe Mwenge?
Nipe orodha ya makatazo. Je makatazo yapo mangapi kwenye biblia? 🤣 🤣 🤣 🤣 Nina wasiwasi na Ukristo wako, huenda ni wa kuazima.Kuna amri na makatazo ni vitu viwili tofauti
Nani alikuwambia hiyo ni Imani ya kishirikina? Na kitabu kipi kimesema hiyo ni imani ya kishirikina? Au upo too emotional? 🤣 🤣 🤣 🤣acha imani za kishirikina mkuu
Kawaida sana. Nchi zingine kama India, China na Ulaya zipo na siku za kuwasha mshumaa.Sipati picha kila mwaka Serikali inatenga bajeti ya kukimbizana na moto nchi nzima wakati nchi ni masikini.
Greece ipo na Mbio za mwenge wa OlimpikiSipati picha kila mwaka Serikali inatenga bajeti ya kukimbizana na moto nchi nzima wakati nchi ni masikini.
Canada Mbio za Mwenge wa Olimpiki (Olympic Torch Relay)Sipati picha kila mwaka Serikali inatenga bajeti ya kukimbizana na moto nchi nzima wakati nchi ni masikini.
We acha kujibu vitu usivyojua bwana..unadhani Marekani wana Muda wa ukimbizana na Moshi?hakuna cha recycle wala nini nilikuwa namzingua tu huyu much know ila alivyojibu tu nikajua hakuna anachoelewaDuniani hakuna jipya kila kitu ni kilekile mambo ni ku recycle tu
Hapo kwenye kuleta maendeleo hata mimi pananiacha mdomo wazi sana😅😅Kukimbiza mwenge si utamaduni wa asili wa Mtanganyika. Tumeiga, licha ya kukimbizwa miaka yote hiyo (Kwa Imani ya kwamba unaleta maendeleo na faraja) lakini bado changamoto lukuki ziko ndani ya nchi yetu. Kwa mfano:
Zama ambazo sayansi na technology imekuwa ndiyo msingi wa maendeleo, lakini Tanzania bado watu wanauabudu mwenge (eti unaleta maendeleo 😂😂😂). Lol
- Umaskini bado mkubwa.
- Mauaji ya watu ni makubwa
- Ufisadi ndiyo balaa
- Ujinga unazidi kutamalaki. Mfano, kuuziwa maji ya upako(au kitambaa) Kwa Imani ya kumpatia ahueni ya maisha mnunuaji.
Kwani sie wamarekani,,,unataka ya wamarekani nenda marekani.....kila mtawala na mipaka yake na taratibu zake,,,kama unaona hazikufai sepa tuWe acha kujibu vitu usivyojua bwana..unadhani Marekani wana Muda wa ukimbizana na Moshi?hakuna cha recycle wala nini nilikuwa namzingua tu huyu much know ila alivyojibu tu nikajua hakuna anachoelewa
Ishara kumi na mbili za dunia zimeunganishwa katika makundi manne (Moto, Ardhi, Hewa na Maji)
Kwakuwa tunataka tuijue nchi yetu zaidi kwa leo sitaongelea kwa undani zaidi hizo ishara Kumi na Mbili na makundi yote hayo manne, bali leo nitaongelea pekee kuhusu Moto
Kuwasha mwenge kunaweza kuashiria mwanga, mwangaza wa kiroho, na uongozi
Kuleta Mwanga kwa Mambo ya Siri: Kuwasha mwenge kunaweza kumaanisha kuangaza mambo ambayo hayajulikani au kuleta uwazi katika hali fulani. Inaweza kuashiria kipindi ambacho ukweli uliokuwa umefichika au siri zinafichuliwa.
Uongozi na Hekima: Mwenge mara nyingi huonekana kama ishara ya hekima au maarifa ya kiroho. Unaweza kumaanisha kuwa na mwongozo wakati wa kipindi cha giza au kuchanganyikiwa, kama vile jukumu la mwalimu au kiongozi wa kiroho.
Mabadiliko na Mwanzo Mpya: Mioto, kwa asili yake, inahusishwa na kipengele cha moto, ambacho ni kipengele cha mabadiliko katika unajimu. Kuwasha mwenge kunaweza kumaanisha mwanzo wa hatua mpya, hasa ile inayohitaji kuachilia mambo ya zamani ili kutoa nafasi kwa mapya.
Kuamka Kiroho: Katika muktadha wa kiroho, kuwasha mwenge kunaweza kuashiria kuamka au kupanuka kwa ufahamu wa mtu. Ni kuhusu kuwa na ufahamu zaidi wa tabaka za ndani za maisha na nafsi.
Taifa lisilokuwa na Utamaduni na Mila zake hilo ni Taifa mfu.
Nitaendelea kueleza zaidi.
Na yale makafara ya milimani yananeemesha Taifa??Kafara la kukimbiza moto linavyoligharimu Taifa
Kwa mujibu wa simulizi za kidini, ulimwengu umewahi kuadhibiwa mara mbili na mwenyezi Mungu kwa mapigo mawili makubwa. Pigo la kwanza wakati wa Nuhu, Pigo la gharika hili lilipozwa kwakuwa maji ni uhai na watu walipewa muda wa kujiandaa. Hili ni pigo takatifu lenye nafasi ya uhai ndani yake...www.jamiiforums.com
Kafara inahusika na kuchinja wanyama. Kitu ambacho hakihusiani na kuchinja wanyama siyo kafaraKafara la kukimbiza moto linavyoligharimu Taifa
Kwa mujibu wa simulizi za kidini, ulimwengu umewahi kuadhibiwa mara mbili na mwenyezi Mungu kwa mapigo mawili makubwa. Pigo la kwanza wakati wa Nuhu, Pigo la gharika hili lilipozwa kwakuwa maji ni uhai na watu walipewa muda wa kujiandaa. Hili ni pigo takatifu lenye nafasi ya uhai ndani yake...www.jamiiforums.com