Kuwasha subwoofer kwa sauti kubwa sio dalili za umasikini?

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,718
Reaction score
58,893
Miaka hii ya 2026 watu wanatumia smart tv na unlimited wifi bado Kuna watu wanarusha miziki kwenye vibanda na kuja kusumbua wengine wasilale usiku

Hivi hii tabia ya kununua sabufa na kufungulia mziki mkubwa ndani na kusumbua watu waliopo nje au majirani

Wengine unakuta wamepanga vyumba vya kuangaliana

Mtu anafungulia mziki utafikiri yupo club

Watu wengine hawalali

Hivi ni ni ushamba au ni umasikini?

Sizani Kama nyumba za watu watafutaji na wanajitambua unaweza Kuta hizi mambo

Je kupiga mziki kwa sauti wakati una watoto ndani au umepanga ndani na watu wengine sio dalili za umasikini kweli?
 
Kujitibu ndio uwashe mpaka iwe kero kwa majirani?
Wakwanza kupata hiyo kero ya sauti alipaswa awe yeye aliyefungulia redio

Hadi kufika kwa majirani, tayari frequencies zinakuwa zimepungua tayari

Vijana wana stress nyingi mjue, unakuta ameliwa betting, hana ajira, hana mchumba/girlfriend ama ameachwa na huyo baby wake wa darasa la 7
 
Tuwaache watu wajitibu stress wanazopitia, bila hivyo matukio ya kujiua ama kutembea unaongea peke yako yatazidi kushamiri Nchini

Muziki asili yake wapi by Remmy Ongala
Una taaluma yoyote ya tiba ya stress?

Stress aitibiwi kwa mziki mkubwa wa kukera wenzio, huko ni kuwapa wenzako stress na kuwafanya washindwe kupumzika na kuwathiri kisaikorojia
 
Ni dalili mojawapo ya umaskini PESA haitaki kelele inataka utulivu sana hata kama Kuna mziki huwa ni WA chini sana 😆maskini atafungulia mziki wa juu ili mjue ana subwoofer au Kuna mtu ana mchamba af hayo mambo yapo uswahilini Ushuani huwez yakuta
 
Miaka hii ya 2026 watu wanatumia smart tv na unlimited wifi bado Kuna watu wanarusha miziki kwenye vibanda na kuja kusumbua wengine wasilale usiku

Hivi hii tabia ya kununua sabufa na kufungulia mziki mkubwa ndani na kusumbua watu waliopo nje au majirani

Wengine unakuta wamepanga vyumba vya kuangaliana

Mtu anafungulia mziki utafikiri yupo club

Watu wengine hawalali

Hivi ni ni ushamba au ni umasikini?

Sizani Kama nyumba za watu watafutaji na wanajitambua unaweza Kuta hizi mambo

Je kupiga mziki kwa sauti wakati una watoto ndani au umepanga ndani na watu wengine sio dalili za umasikini kweli?
Siyo umasikini tu, na upumbavu ndani yake.
 
Dawa Yao kakodi jenereta unaweka mafuta Lita tano wakiwasha mziki wao...wewe washa jenereta 😆😆😆😂😂😁😄

Uje unipe MREJESHO.

Mama angu MZAZI alitushepu sana ole wako ufungue mziki mkubwa yule mama atakushughurikia perpendicular... love you ma mama wewe ni hero.

NB. Kama Kuna mjumbe/ serekali ya mtaa nenda kawasemee ikishindikana hama hapo hapakufai..
 
Back
Top Bottom