Kuwasha subwoofer kwa sauti kubwa sio dalili za umasikini?

Kuwasha subwoofer kwa sauti kubwa sio dalili za umasikini?

Muziki ni kelele ikiwa sio type yako. Ila ngoma unazopenda zikipigwa kwa sauti huwezi kulalamika.
Ila wiki hii mmetusema sana masikini hatupumui
Hakunaaa...kuna hyo kaka alikuwa anawasha muziki mpaka nyumba inatetemeka, najiuliza hata yeye huwa anasikia raha gani?
 
Back
Top Bottom