technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
HahahahaTajiri hama uswahilini. Ndio dawa ya washahili ni kuwahama. ๐
Kujitibu ndio uwashe mpaka iwe kero kwa majirani?Tuwaache watu wajitibu stress wanazopitia, bila hivyo matukio ya kujiua ama kutembea unaongea peke yako yatazidi kushamiri Nchini
Muziki asili yake wapi by Remmy Ongala
Wakwanza kupata hiyo kero ya sauti alipaswa awe yeye aliyefungulia redioKujitibu ndio uwashe mpaka iwe kero kwa majirani?
Una taaluma yoyote ya tiba ya stress?Tuwaache watu wajitibu stress wanazopitia, bila hivyo matukio ya kujiua ama kutembea unaongea peke yako yatazidi kushamiri Nchini
Muziki asili yake wapi by Remmy Ongala
Siyo umasikini tu, na upumbavu ndani yake.Miaka hii ya 2026 watu wanatumia smart tv na unlimited wifi bado Kuna watu wanarusha miziki kwenye vibanda na kuja kusumbua wengine wasilale usiku
Hivi hii tabia ya kununua sabufa na kufungulia mziki mkubwa ndani na kusumbua watu waliopo nje au majirani
Wengine unakuta wamepanga vyumba vya kuangaliana
Mtu anafungulia mziki utafikiri yupo club
Watu wengine hawalali
Hivi ni ni ushamba au ni umasikini?
Sizani Kama nyumba za watu watafutaji na wanajitambua unaweza Kuta hizi mambo
Je kupiga mziki kwa sauti wakati una watoto ndani au umepanga ndani na watu wengine sio dalili za umasikini kweli?
Exactly ๐unatoka kazini unaoga zako unatulia kutathmini kesho kwa utulivu no kelele kimya Hadi raha sasa Kuna nyumbq ukipanga kelele had basNachoshukuru Mwenyezi MUNGU hajanipa utajiri Ila huwa kila napoenda kupanga huwa napenda kutafuta sehemu tulivu sehemu ya kupata usingizi inatakiwa kua tulivu
Dawa Yao kakodi jenereta unaweka mafuta Lita tano wakiwasha mziki wao...wewe washa jenereta ๐๐๐๐๐๐๐Miaka hii ya 2026 watu wanatumia smart tv na unlimited wifi bado Kuna watu wanarusha miziki kwenye vibanda na kuja kusumbua wengine wasilale usiku