Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 54,814 Reaction score 133,717 May 22, 2026 #41 Ukiwa masikini, automatically lazima uwe na matatizo ya akili
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 54,814 Reaction score 133,717 May 22, 2026 #42 DUBULIHASA said: Japo makelele hayafai lakini ukikutana na magoma ya 2 pac kuya play kwa Sauti ya chini ni kutoiheshu HIPHOP. Click to expand... Mziki mzuri Huwez kuwa na kelele, sasa mtu kutwa anapiga singeli, Hii n kelele
DUBULIHASA said: Japo makelele hayafai lakini ukikutana na magoma ya 2 pac kuya play kwa Sauti ya chini ni kutoiheshu HIPHOP. Click to expand... Mziki mzuri Huwez kuwa na kelele, sasa mtu kutwa anapiga singeli, Hii n kelele
Khantwe JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 62,068 Reaction score 127,679 May 22, 2026 #43 Emily magnus said: Kwani walishawahi kuja kukulalamikia? Click to expand... Una akili timamu?
Khantwe JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 62,068 Reaction score 127,679 May 22, 2026 #44 RRONDO said: Muziki ni kelele ikiwa sio type yako. Ila ngoma unazopenda zikipigwa kwa sauti huwezi kulalamika. Ila wiki hii mmetusema sana masikini hatupumui Click to expand... Hakunaaa...kuna hyo kaka alikuwa anawasha muziki mpaka nyumba inatetemeka, najiuliza hata yeye huwa anasikia raha gani?
RRONDO said: Muziki ni kelele ikiwa sio type yako. Ila ngoma unazopenda zikipigwa kwa sauti huwezi kulalamika. Ila wiki hii mmetusema sana masikini hatupumui Click to expand... Hakunaaa...kuna hyo kaka alikuwa anawasha muziki mpaka nyumba inatetemeka, najiuliza hata yeye huwa anasikia raha gani?