Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
- Thread starter
-
- #21
Yaani unatoa elimu kwa watu ambao baadae huwaamini!Hapo itakuwa kutowatendea haki. Kwa nini kuishia kwa wahandisi?
Wanasiasa waliotutawala kwa miaka 60 leo wameifanyia nini nchi hii?
Wahandisi wajitetee kivyao na sio kwa vigezo mfanano, hali kadhalika hao wanapopo nao pia kivyaoHapo itakuwa kutowatendea haki. Kwa nini kuishia kwa wahandisi?
Wanasiasa waliotutawala kwa miaka 60 leo wameifanyia nini nchi hii?
You mean kila MTU ashinde mechi zake mwenyewe?Wahandisi wajitetee kivyao na sio kwa vigezo mfanano, hali kadhalika hao wanapopo nao pia kivyao
Hongera kwa kukusanya TOZO ya dhuluma, mnataka kujenga vituo vya Afya ambavyo "vilianza kujengwa" tangu enzi za JK....sina tatizo!
Tatizo langu ni lile sharti kwamba "Ujenzi" ufanywe na wale mafundi wetu a.k.a Fundi Maikoz kwa kisingizio cha kupunguza gharama...
Yeah umeiweka vizuri sanaTatizo ni kuwa Watanzania waaina ya Alu api, Makonde, Wabaya na Kherini Mstaafu wa uvvccm ndio wanaoongoza maprofesa na kupanga nani atoke jalalani na nani abaki kwenye jalala la pugu...
Wakiwa wote huko mambo yatakua magumuHivi CRB (contractors registration board) inawahusu hawa watu?
Ninahisi hii ndio sababu kubwa ya kutowapa wahandisi kazi.mfumo wetu wa elimu ni wa hovyo ambao muasisi wake ni CCM.
Hapa brother kuna ramani, ukiwa mhandis basi unasimamia maswala ya msingi wa nyumba(foundation mafundi huita) ramani kila kitu ili usije pishana na(BOQ Bill of quantities), ukishamaliza hayo unajikuta mafundi wanashambua kuta balaa kona kwakona, shule za mzee lowasa za kata nchi zima tulijenga kwa njia hiyo mzeePoint nzuri sana lakini hawa ni Wasimamizi sio Wajenzi. Pia sio sahihi kusema kuwa "pesa itarudi kwenye jamii" kwani Wakandarasi wao wanaishi jamii IPI?
hizo Ni excuses, elimu yetu imepitwa na wakati na haitufai hata kidogo.Naamini hawajapewa hio nafasi ila kama wepewa nafasi na wakashindwa basi mfumo wetu wa elimu ni wa hovyo ambao muasisi wake ni CCM. Kwahio tuchague moja kati ya hayo mawili
Mhandisi mmja Wilaya nzima ndiyo nini?Halmashauri zina wahandis hivyo watasimamia zoezi
Force Account inaharibu sn kaziUkijua Mazingira ambayo Force Account inatumika utaelewa kwanini waziri kasema watumie hiyo njia