Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua maana ya forced account?Hongera kwa kukusanya TOZO ya dhuluma, mnataka kujenga vituo vya Afya ambavyo "vilianza kujengwa" tangu enzi za JK....sina tatizo!
Tatizo langu ni lile sharti kwamba "Ujenzi" ufanywe na wale mafundi wetu a.k.a Fundi Maikoz kwa kisingizio cha kupunguza gharama.
Majengo ya serikali sio nyumba binafsi, yana standard zake, yana aina yake ya ujenzi kwa ajili ya kuruhusu vitu mbali mbali ikiwemo wakati was majanga.
Ujenzi huu huwezi kumpa Fundi Maiko akujengee, ujenzi sio kuweka cement na tofali na kuchukua kamba au "pima-maji" kuona kama ukuta umenyooka. Hivyo kwa hili sikubaliani kwanza na Kitu hiki.
Pili, tuna Vyuo Vikuu mbali mbali lakini tunacho Chuo Kikuu cha ARDHI ambacho kimezakisha Mainjinia wazuri (labda leo tuwakane). Hawa Vijana wetu, Kaka na Dada zetu wana kampuni za Ujenzi, wana taaluma husika, wanalipa kodi, wameajiri. Leo hutaki kuwatumia then at the same time unataka Makampuni yao yalipe Kodi na Wao waendelee kulipa mikopo ya Bodi ya Elimu. Fursa umewapa Fundis kwa kigezo cha "kurudisha" fedha kwenye jamii.... Kwani hao mafundi wanaishi wapi na Contractors wanaishi jamii IPI?
Hivi Fundi anaweza kulipa bima ikitokea tatizo? Anaweza kufidia/kurudia ujenzi akitokea kajenga chini ya kiwango?
Je, in sahihi Fundi awajabishwe/akaguliwe na Mwenyekiti wa Kijiji/Daktari/Mwalimu etc ambao hawapo kwenye fani husika??
Kuna faida kubwa ya kuwatumia Wakandarasi ambao tena wako registered kabisa na Board yao, wanatambulika kisheria, wanalipa kodi, wana quarantee ila pia ni nafasi ya kuonyesha ubora wa elimu yetu kuwa sio ya makaratasi.....
Kinyume na hio tutakua tunadharau sana Elimu ya Vyuo vyetu kwa kigezo cha kukwepa gharama!
Unaweza kusoma barua hio hapo na sababu zilizotolewa.
I stand to be corrected
Mkuu,Hongera kwa kukusanya TOZO ya dhuluma, mnataka kujenga vituo vya Afya ambavyo "vilianza kujengwa" tangu enzi za JK....sina tatizo!

Kikubwa tulipe TozoMkuu,
ukiona serikali inawadharau wasomi ujue........Mimi nimeshangaa sana....
Hahahahaha sijawahi kuomba tenda Mpwa hip sio cadre yangu, Mimi nina miliki kijiwe kikubwa cha Kuuza Gahawa na kucheza Draft pale kwa Msuguri, karibu sana
Hebu soma maandiko yangu yoteyaani kitu akifanya mama hata km kilikuwepo before Lazima muweke nongwa
Acha uongo kila siku napita hapo mbona sijaona wanakouza gahawaHahahahaha sijawahi kuomba tenda Mpwa hip sio cadre yangu, Mimi nina miliki kijiwe kikubwa cha Kuuza Gahawa na kucheza Draft pale kwa Msuguri, karibu sana
Huu ujinga aliuanzisha Magufuli na wanauendeleza. Ukweli ni kwamba force account ni ya hovyo na inayumbishwa uchumi wa nchi kwa kupunguza ajira za wahitimu wengi. Ukweli tumekosa viongozi tumebaki na wababaishajiHongera kwa kukusanya TOZO ya dhuluma, mnataka kujenga vituo vya Afya ambavyo "vilianza kujengwa" tangu enzi za JK....sina tatizo!
Tatizo langu ni lile sharti kwamba "Ujenzi" ufanywe na wale mafundi wetu a.k.a Fundi Maikoz kwa kisingizio cha kupunguza gharama.
Majengo ya serikali sio nyumba binafsi, yana standard zake, yana aina yake ya ujenzi kwa ajili ya kuruhusu vitu mbali mbali ikiwemo wakati was majanga.
Ujenzi huu huwezi kumpa Fundi Maiko akujengee, ujenzi sio kuweka cement na tofali na kuchukua kamba au "pima-maji" kuona kama ukuta umenyooka. Hivyo kwa hili sikubaliani kwanza na Kitu hiki.
Pili, tuna Vyuo Vikuu mbali mbali lakini tunacho Chuo Kikuu cha ARDHI ambacho kimezakisha Mainjinia wazuri (labda leo tuwakane). Hawa Vijana wetu, Kaka na Dada zetu wana kampuni za Ujenzi, wana taaluma husika, wanalipa kodi, wameajiri. Leo hutaki kuwatumia then at the same time unataka Makampuni yao yalipe Kodi na Wao waendelee kulipa mikopo ya Bodi ya Elimu. Fursa umewapa Fundis kwa kigezo cha "kurudisha" fedha kwenye jamii.... Kwani hao mafundi wanaishi wapi na Contractors wanaishi jamii IPI?
Hivi Fundi anaweza kulipa bima ikitokea tatizo? Anaweza kufidia/kurudia ujenzi akitokea kajenga chini ya kiwango?
Je, in sahihi Fundi awajabishwe/akaguliwe na Mwenyekiti wa Kijiji/Daktari/Mwalimu etc ambao hawapo kwenye fani husika??
Kuna faida kubwa ya kuwatumia Wakandarasi ambao tena wako registered kabisa na Board yao, wanatambulika kisheria, wanalipa kodi, wana quarantee ila pia ni nafasi ya kuonyesha ubora wa elimu yetu kuwa sio ya makaratasi.....
Kinyume na hio tutakua tunadharau sana Elimu ya Vyuo vyetu kwa kigezo cha kukwepa gharama!
Unaweza kusoma barua hio hapo na sababu zilizotolewa.
I stand to be corrected
3. ujenzi utumie force account na sio mkandarasi...Hebu soma maandiko yangu yote
Wewe kwanza hiyo force Account sio kwamba haitumii wahandisi, Halmashauri zina wahandisi na Techncians ndio wanasimamia masuala ya kitaalamu .Hongera kwa kukusanya TOZO ya dhuluma, mnataka kujenga vituo vya Afya ambavyo "vilianza kujengwa" tangu enzi za JK....sina tatizo!
Tatizo langu ni lile sharti kwamba "Ujenzi" ufanywe na wale mafundi wetu a.k.a Fundi Maikoz kwa kisingizio cha kupunguza gharama.
Majengo ya serikali sio nyumba binafsi, yana standard zake, yana aina yake ya ujenzi kwa ajili ya kuruhusu vitu mbali mbali ikiwemo wakati was majanga.
Ujenzi huu huwezi kumpa Fundi Maiko akujengee, ujenzi sio kuweka cement na tofali na kuchukua kamba au "pima-maji" kuona kama ukuta umenyooka. Hivyo kwa hili sikubaliani kwanza na Kitu hiki.
Pili, tuna Vyuo Vikuu mbali mbali lakini tunacho Chuo Kikuu cha ARDHI ambacho kimezakisha Mainjinia wazuri (labda leo tuwakane). Hawa Vijana wetu, Kaka na Dada zetu wana kampuni za Ujenzi, wana taaluma husika, wanalipa kodi, wameajiri. Leo hutaki kuwatumia then at the same time unataka Makampuni yao yalipe Kodi na Wao waendelee kulipa mikopo ya Bodi ya Elimu. Fursa umewapa Fundis kwa kigezo cha "kurudisha" fedha kwenye jamii.... Kwani hao mafundi wanaishi wapi na Contractors wanaishi jamii IPI?
Hivi Fundi anaweza kulipa bima ikitokea tatizo? Anaweza kufidia/kurudia ujenzi akitokea kajenga chini ya kiwango?
Je, in sahihi Fundi awajabishwe/akaguliwe na Mwenyekiti wa Kijiji/Daktari/Mwalimu etc ambao hawapo kwenye fani husika??
Kuna faida kubwa ya kuwatumia Wakandarasi ambao tena wako registered kabisa na Board yao, wanatambulika kisheria, wanalipa kodi, wana quarantee ila pia ni nafasi ya kuonyesha ubora wa elimu yetu kuwa sio ya makaratasi.....
Kinyume na hio tutakua tunadharau sana Elimu ya Vyuo vyetu kwa kigezo cha kukwepa gharama!
Unaweza kusoma barua hio hapo na sababu zilizotolewa.
I stand to be corrected
Wapo na wanafanya hiyo Kazi na wanahakikisha usalama mahala pa Kazi,acha upotoshaji ..huu utaratibu umetumiwa miaka 5 iliyopita mbona hamkuwa mnaropoka kama saizi?Ni kwasababu hakuna watu wa health and safety at work, kufanya ukaguzi na kupitisha majengo.
Huu ujinga huwa mnautoa wapi? Kwamba ukijengwa kwa force Account hufuati taratibu na protokali za uhandisi ujenzi nani?Uimara wake ni mdogoo sana sana then utakuja kuambiwa ni Expansion Joint
Hadi unaenda kufungua kampuni hukujua kwamba kuna kodi? Acheni ujinga.Hii si bahati mbaya:
"Hawa Vijana wetu, Kaka na Dada zetu wana kampuni za Ujenzi, wana taaluma husika, wanalipa kodi, wameajiri.....Leo hutaki kuwatumia then at the same time unataka Makampuni yao yalipe Kodi na Wao waendelee kulipa mikopo ya Bodi ya Elimu...."
Kila kitu nchi hii ni siasa. CCM imekuwa ikiwekeza kwa wajinga ikiwabana vilivyo wenye uelewa au afueni yoyote katika maisha:
Madhara ya Awamu ya Tano yanayofumbiwa Macho

Hiyo ndiyo siri ya kudumu kwao madarakani.
"Hao kina Maiko na vibarua wao ndiyo wapiga kura wetu."
How? Uhaeibu wewe fundi na injinia uje kusingizia force Account?Force Account inaharibu sn kazi