Kweli kabisa.Tanga na Mtwara zinasikitisha sana. Zina kila kitu mpaka bandari, lakini ujinga wetu tu ndiyo unazuia maendeleo.
Kuna nchi kama Rwanda hazina bandari zinatamani sana zingekuwa baharini lakini hazina uwezo huo.
WAnayosababu mkuu.Tanga inaeneo kubwa sana mkuu ila watu wake hawapendi mkoa wao.
Hatari hii na ule mkoa nasikiaga ndio ilikua halimashauri ya kwanza tz sijui lina ukweli hiliWAnayosababu mkuu.
Vile viwanda vyote ni majumba ya mijusi kwasasa, lazima wakimbilie Dar na Arusha.
Yeah.Hatari hii na ule mkoa nasikiaga ndio ilikua halimashauri ya kwanza tz sijui lina ukweli hili
Nyerere akazingua. Sema na viongozi wa Tanga na watu wapale wazembeYeah.
Na first gov school imejengwa pale(Tanga technical)
Mjerumani aliweka nguvu zote Tanga.
Mji wa Tokyo una watu milioni 36, sawa na mara 9 ya population ya wakazi wa daresalaamNilisema population Tanzania ni ticking timebomb.
Tanzania ina average annual population increase ya 3%.
Na hapa hujaona kitu, population ya Dar inaenda ku double in the next 10 years.
Ila kuna watu ukiwaambia habari za uzazi wa mpango unagombana nao.
Wanasema Tanzania ni nchi kubwa inahitaji watu.
Mijini kote population yake haishikikiPia kuna unequal population distribution. Watu wengu wamejaa Dar. Kwa mujibu wa sensa approximately 10% ya watanzania wanakaa Dar.
Mkuu poleni nikajua upo kwenye kifusi cha Kariakoo(Joke,) vzr umesalimika.Mji wa Tokyo una watu milioni 36, sawa na mara 9 ya population ya wakazi wa daresalaam
Miji hii inakufa sababu ya rural-urban migration. Dar inakua kubwa kwa kuuwa miji mingi sana tanzaniaKuna umasikini wa fikra na kukosa ubunifu.
Miji kama Tanga na Mtwara ina kila kitu, mpaka bandari, hakuna sababu iwe underdeveloped kama ilivyo sasa.
Shukrani kaka, nimepona kaka. Ni mazingira yetu hayo ni nusra na salama ya muumba, si kwa ujanjaMkuu poleni nikajua upo kwenye kifusi cha Kariakoo(Joke,) vzr umesalimika.
Ni kweli kabisa endelea kutupa code za machimbo mkuu.Shukrani kaka, nimepona kaka. Ni mazingira yetu hayo ni nusra na salama ya muumba, si kwa ujanja
Unaijua dhana inaitwa survive of the fittest?.. variable ya kugawa maendeleo ni viwanda sana. Maeneo ya viwanda yanakua kwa kasi sana asikudanganye mtu yoyote. Pwani ukiiingalia kibaha, chanika, kisemvule zinakuwa si mchezoMikoa kama Tanga, Tabora , Lindi na Mtwara , ina ardhi kubwa lkn serikali imeitelekeza, wenyeji wake wote wamejazana Dar.
Mkoa wa Tanga ukiangalia yale magofu ya viwanda unaweza ukalia.
Dar inavutia watu lwa vitu vingi, kuna sehem huko hata lifti hupati mpaka unakufa. Kila mtu anapenda kuonekana wa kisasaJenga angalau Hekta 2000 ya Kilimo cha Umwagiliaji kwa kila Kata (inayolimika) ya nchi hii na kulimwe Mazao kutokana na Mazingira na Mahitaji husika then watu watapungua Dar...
Sawa.Mji wa Tokyo una watu milioni 36, sawa na mara 9 ya population ya wakazi wa daresalaam
Mkuu kuwa serious basi... Yaani mtu atoke Dar ahamie Tandahimba au Nachingwea? au Nangurukuru?Serikali kupitia mamlaka husika hasa mipango miji, ingepunguza au kuweka idadi kamili ya wakazi katika mkoa wa Dar es Salaam.
Dar es Salaam watu wamerundikana sehemu moja kuanzia makazi hadi vyombo vya usafiri.
Sasa kwa nia njema kwanini kusiwe na mpango wa ku zuwia ongezeko la idadi ya watu kuhamia Dar na badala yake wapelekwe maeneo mengine kwani nchi yetu ni kubwa kijografia.
Hii itasaidia hata wakati wa majanga iwe rahisi maeneo mengi kufikika kwaajili ya kutoa msaada kwa haraka na kuokoa maisha ya watu na mali zao.
Watu waende kama ni kwaajili ya shughuli za biashara na kuondoka na si kujenga makazi.
Wakazi wa Dar karibuni Tandaimba, Handeni, Kasulu, Biharamulo, Nachingwea, Newala, Same na maeneo mengine.
Maisha bila kukimbilia na kujazana Dar es Salaam yanawezekana.
Na hiyo ingekuwa si tatizo kama watu wanaokuja Dar wangekuwa productive, kama kungekuwa kuna viwanda wanafanyia kazi, kama wangekuwa wamejiingiza katika digital/information economy wanafanya kazi kwenye mitandao na kuingiza fedha nchini.Miji hii inakufa sababu ya rural-urban migration. Dar inakua kubwa kwa kuuwa miji mingi sana tanzania
Serikali itengeneze mazingira rafiki mkoa wa pwani ili mji utanuke... kwa kiasi flani wamefanikiwa kwa kata ya mapinga.. ipo bagamoyo lakini ina vibe ya dar.. hata hivyo dar bado sana kuna miji kama kinshassa au cairo ina population za mil 20 hukoNilisema population Tanzania ni ticking timebomb.
Tanzania ina average annual population increase ya 3%.
Na hapa hujaona kitu, population ya Dar inaenda ku double in the next 10 years.
Ila kuna watu ukiwaambia habari za uzazi wa mpango unagombana nao.
Wanasema Tanzania ni nchi kubwa inahitaji watu.