Pia dar inaongezeka watu kwa sababu ya watu kuhamia ila rate ya kuzaliana kwa dar ni ndogo sana.. ifanyike namna watu wapende kuhamia na miji mingine... kama walivyofanya DodomaNilisema population Tanzania ni ticking timebomb.
Tanzania ina average annual population increase ya 3%.
Na hapa hujaona kitu, population ya Dar inaenda ku double in the next 10 years.
Ila kuna watu ukiwaambia habari za uzazi wa mpango unagombana nao.
Wanasema Tanzania ni nchi kubwa inahitaji watu.
Cairo Wamisri wanajenga mji mpya kupunguza watu.Serikali itengeneze mazingira rafiki mkoa wa pwani ili mji utanuke... kwa kiasi flani wamefanikiwa kwa kata ya mapinga.. ipo bagamoyo lakini ina vibe ya dar.. hata hivyo dar bado sana kuna miji kama kinshassa au cairo ina population za mil 20 huko
Wanakuambia kilichoifikisha China haipo ilipo (big economy) ni watu! Tuzaliane kwa kasi na sisi tuwe kama China.Nilisema population Tanzania ni ticking timebomb.
Tanzania ina average annual population increase ya 3%.
Na hapa hujaona kitu, population ya Dar inaenda ku double in the next 10 years.
Ila kuna watu ukiwaambia habari za uzazi wa mpango unagombana nao.
Wanasema Tanzania ni nchi kubwa inahitaji watu.
Ukii-develop kasi ya kuzaliana inajiongeza automatically kuhakikisha inai-underdevelop. The root cause is uncontrolled population increase.Kuna umasikini wa fikra na kukosa ubunifu.
Miji kama Tanga na Mtwara ina kila kitu, mpaka bandari, hakuna sababu iwe underdeveloped kama ilivyo sasa.
Nakuelewa.Pia dar inaongezeka watu kwa sababu ya watu kuhamia ila rate ya kuzaliana kwa dar ni ndogo sana.. ifanyike namna watu wapende kuhamia na miji mingine... kama walivyofanya Dodoma
tanzania ina watu mil 70+, china ni bil 2 hio bomb unayoongelea iko wapNilisema population Tanzania ni ticking timebomb.
Tanzania ina average annual population increase ya 3%.
Na hapa hujaona kitu, population ya Dar inaenda ku double in the next 10 years.
Ila kuna watu ukiwaambia habari za uzazi wa mpango unagombana nao.
Wanasema Tanzania ni nchi kubwa inahitaji watu.
Hapana.Wanakuambia kilichoifikisha China haipo ilipo (big economy) ni watu! Tuzaliane kwa kasi na sisi tuwe kama China.
Ndivyo wanavyosema vibarazani huko wakiungwa mkono na wanasiasa ambao mwisho wao wa kuona ni next election.
Peleka the best social services kwenye miji mingine automatically population will distribute normally.Serikali itekeleze baadhi ya mambo tunayoyasoma vyuoni kuna cozi tumesoma zinazungumzia namna ya kuwa na balansi kwenye idadi ya watu kwenye miji ya nchi husika sasa ukicheki hakuna balansi mfano jiji kama mbeya halina international school hata moja halina mall halina hotel ya nyota tano hospital ya mkoa unakuta ina ct scan machine mbili nazo hazifanyi kazi kwa hivi vitu baadhi vimefanya watu kadhaa waamua kujazana dar kufuata vitu hvyo sasa balance itatoka wapi
Jiji linalofuqtia baada ya dar lilitakiwa liwe na at least nusu ya idadi ya watu wa dar lkn sivyo
Sasa unataka kulinganisha Tanzania na China kweli?tanzania ina watu mil 70+, china ni bil 2 hio bomb unayoongelea iko wap
Mkuu,Ukii-develop kasi ya kuzaliana inajiongeza automatically kuhakikisha inai-underdevelop. The root cause is uncontrolled population increase.
Ile sera ya majimbo ilibezwa but they had vision. Mahali ambao no competetion hakuna maendeleo. China for example, kuishi Guangzhou, au Hong Kong, au Nanjing, an Shanghai, au Beijing, and elsewhere it does make any difference in any aspect. Ubora wa huduma utakayoipata mji A ndio ile ile utaipata mji B. Kwanini watu warundikane sehemu moja kama viazi.Kuna mikoa mingi ya kui endeleza lakini hakili zao wao zipo dar
Una kichaa weweSerikali itengeneze mazingira rafiki mkoa wa pwani ili mji utanuke... kwa kiasi flani wamefanikiwa kwa kata ya mapinga.. ipo bagamoyo lakini ina vibe ya dar.. hata hivyo dar bado sana kuna miji kama kinshassa au cairo ina population za mil 20 huko
Ha ha ha! Wasukuma kwa uzazi tumetisha!Mkuu,
Trend ya dunia nzima inaonesha development inasababisha kasi ya kuzaana kupungua.
Ndiyo maana Eurooe na North America wana low fertility rate.
Development inaenda na wanawake kusoma zaidi, wanawake kusoma zaidi kunaenda na umri wa kuolewa kuongezeka, umri wa wanawake kuilewa kuongezeka kunasababisha wanawake kuzaa watoto wachache zaidi.
Hata hapo Tanzania fertility rate ya Dar ni 2.8 wakati Simiyu ni 6.6.
Wahenga walisema "Tajiri na mali yake, masikini na watoto".Ha ha ha! Wasukuma kwa uzazi tumetisha!
Hatari, usukumani mtaji ni watu, Geita ingekua bado ipo Mwanza basi dar ingekua ishiapitwa kwa watu na mwanza.Ha ha ha! Wasukuma kwa uzazi tumetisha!
Hata ingekua wewe ni wa daslam ungekubali kweli uende nje ya TANZANIA?Serikali kupitia mamlaka husika hasa mipango miji, ingepunguza au kuweka idadi kamili ya wakazi katika mkoa wa Dar es Salaam.
Dar es Salaam watu wamerundikana sehemu moja kuanzia makazi hadi vyombo vya usafiri.
Sasa kwa nia njema kwanini kusiwe na mpango wa ku zuwia ongezeko la idadi ya watu kuhamia Dar na badala yake wapelekwe maeneo mengine kwani nchi yetu ni kubwa kijografia.
Hii itasaidia hata wakati wa majanga iwe rahisi maeneo mengi kufikika kwaajili ya kutoa msaada kwa haraka na kuokoa maisha ya watu na mali zao.
Watu waende kama ni kwaajili ya shughuli za biashara na kuondoka na si kujenga makazi.
Wakazi wa Dar karibuni Tandaimba, Handeni, Kasulu, Biharamulo, Nachingwea, Newala, Same na maeneo mengine.
Maisha bila kukimbilia na kujazana Dar es Salaam yanawezekana.
Watoto watano walio hai; na wengine kama nane hivi kwa mama huyo huyo walikufa at infancy kwa sababu mbalimbali including imani potofu. Kule watu wanabeba mimba sio mchezo.Hatari, usukumani mtaji ni watu, Geita ingekua bado ipo Mwanza basi dar ingekua ishiapitwa kwa watu na mwanza.
Yani huko simiyu kwa wastani nyumba moja ina watu watano+ .. huku town mageto ya mtu mmoja mmoja kibao
Watu wana jazana dar had hewa ni nzito ya kugombea, wakati kuna vichaka, milima na mabonde kibao hayana watu.Kuna mikoa mingi ya kui endeleza lakini hakili zao wao zipo dar
Humu mbugila wengi mzee hakuna uthubutu na hakuna viongozi wenye mipango na matazamio mapya. Tanzania kwa ushubwada ndo nyumbaniNa hiyo ingekuwa si tatizo kama watu wanaokuja Dar wangekuwa productive, kama kungekuwa kuna viwanda wanafanyia kazi, kama wangekuwa wamejiingiza katika digital/information economy wanafanya kazi kwenye mitandao na kuingiza fedha nchini.
Lakini, hata hao wanaokija Dar wengi wao ni Wamachinga na wabangaizaji tu.
Yani hata mtu akitaka kujiingiza kwenye uchumi wa mitandaoni, serikali imedhibiti hata njia za kumlipa ni tatizo. Watanzania inawabidi wawalipe Wakenya ili kutumia Paypal accounts za Kenya, wengine wanalipa as much as 30% ili kuweza kulipwa Paypal. Hii ni kodi inawafanya Wakenya wafaidi bila kufanya lolote.
Yani serikali si tu haisaidii wananchi kujijenga kiuchumi, hata pale wananchi wanapojiongeza wenyewe bila kusaidiwa na serikali, serikali inawazibia wasiendelee.