Kuwe na mkakati maalumu wa kupunguza idadi ya Wakazi katika mkoa wa Dar es Salaam

ifike mahali hospitali ya dodoma isogeze service kwako, kama sio unakaribia basi tayar kuna nati zmelegea kwenye hio kichwa
 
Jiulize kwanini china, India, Marekani hakuna msongamano kama wa Kkoo? China ina watu zaidi ya 1.5bln, India zaidi 800mln, Marekani zaidi ya 200mln lkn ulishawahi kuona foleni barabarani au msongamano wa makazi? Tuliowapa mamlaka ndio wenye matatizo, usishangae hata hapo Dodoma baada ya miaka 30 barabara hazipitiki.
 
Kumbe mnakuja kwenye rythim ya Magu.....alafu mnamtukana back to back
 
Umeongea jambo la msingi sana. Yani serekali yetu ni nzito mno ukipata online payment lazima ipitie Kenya!?
 
ifike mahali hospitali ya dodoma isogeze service kwako, kama sio unakaribia basi tayar kuna nati zmelegea kwenye hio kichwa
This logical fallacy is called ad hominem.

An ad hominem attack is when someone does not address a point, but rather, attacks a person.

This is typically done by people who cannot argue the issues, because they have no point to argue.
 
Umeongea jamba la msingi sana. Yani serekali yetu ni nzito mno ukipata online payment lazima ipitie Kenya!?
Tanzania bado hairuhusu malipo ya Paypal.

Yani watu wa nje ya Tanzania wanataka kuwalipa Watanzania walio Tanzania hela mitandaoni, lakini wanashindwa.

Ukisema hutaki pesa iondoke Tanzania, labda unaweza kujenga hoja kuwa unazuia watu kutorosha hela nje ya Tanzania.

Lakini, unazuia hela kuingia Tanzania kwa nini? Yani unajizuia wewe mwenyewe kupata hela?

Ujinga gani huu?
 
This logical fallacy is called ad hominem.

An ad hominem attack is when someone does not address a point, but rather, attacks a person.

This is typically done by people who cannot argue the issues, because they have no point to argue.

when you argue with a stupid person you become stupid also
 
Umri wako,jinsia yako?
Kinshasa wanakaribia milioni20
Tokyo unajua ina watu wangapi
 
Hii kitu huwa inanishangaza mkuu, ina maana hawaoni umuhimu wa paypal? Serikali imeziba vitu vingi sana ambavyo ni msaada sana kwa sasa
 
Kabisa watu dar wamerundikana kama nyasi porini.ndo maana jiji ni chafu mno na watu wake wengi ni choka mbaya ni mateja wa smart gin,energy na madawa ya kulevya yaani jiji l8nanuka uvundo wa majasho ya walala hoi
 
Hii ni nchi huru, mtu anaweza kuishi kokote ili mradi anamudu gharama za eneo husika
 
Dawasco waweke sumu, watapungua sana haraka.
 
Serikali Kila siku inataka jiji kama dar lizidi kukuwa na kufikia hatua ya watu kufanya biashara masaa 24....wewe unasema wapunguzwe Ili iweje watu waendlee kuongezeka jiji lizidi kukuwa na kutengeneza fursa Kwa watu
10% ya watz wapo Dar ila Dar ndio kamkoa kadogo sn yaan hakafikii hata robo ya Morogoro , ebu piga mahesabu hapo ndo uelew watu wanalenga nn , kutoka Bunju Hadi kongowe ni umbali wa masaa 2 kama hakuna foleni , hapo unakuwa umeikata dar nzima tayar kwa urefu na Kwa upana ni kutoka Kilivya hado posta ni lisaa limoja kama hakuna foleni hapo dar unakuwa umeikata Kwa lisaa tu pia kuanzia Chanika mpk kivukon ni lisaa na nusu hapo Dar unakuwa umeimaliza ila kuanzia Tanga kange Hadi Manga Korogwe ni safari ya masaa 5 hv hapo gari ikishika Kasi kwel kwel ila sehemu kubwa ya mkoa Haina miundo mbinu watanga wanaishia kwenda kujibana Dar ambayo ni sw na wilaya moja ya Tanga
 
Dah haijajaa wewe huku Vikawe tupo watu wawili tu
 
Hiyo Dar es salaam mnayoisema,hata katika miji yenye watu wengi katika eneo dogo (most populated density cities) afrika haimo,yaani haiingii kwa Kigali wala Lagos..basi tu ni mipango mibovu ya serikali yenu ..mfano walikuja na mpango wa kuanzisha miji inayojitegemea kandokando(satellite towns) mfano Luguluni na mapinga lakini imefia kwenye makaratasi,mji hauna adequate transportation system yaani kuingia na kutoka no adha
Unategemea nn?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…