BABA Dillish
JF-Expert Member
- Jan 20, 2016
- 2,362
- 3,252
Kuna Prof mmoja (siri) aliwahi kuwa supervisor wangu enzi hizo za MA . Huyu Prof anaweka status mara kwa mara bila hofu. Wewe ni nani ujiite mshamba kisa kuweka status whatsapp?Huo ni ukale mcheki Mo dewji yupo active sana kwenye mitandao ya kijamii wanaosema hivo ni wale vijiba roho.
Hawa watu wana mashabiki wengi akina meme lords mimi nishawajua wa kwangu naenda kuchek memes chap,Tumefanana akili
Tofauti yetu ni moja tu mimi nime hide view kwahyo nikiziangalia hawajui kama nimeangalia halafu siangalii zote naangalia zile za wapenda kupost meme
Ku views status ya mtu hadi nitake mwenyewe[emoji16]Kuna wale daily wanaweka status kama mataruma ya reli… sifungui unless uwe unawekaga memes.
Soma nilichoandika.Kuna Prof mmoja (siri) aliwahi kuwa supervisor wangu enzi hizo za MA . Huyu Prof anaweka status mara kwa mara bila hofu. Wewe ni nani ujiite mshamba kisa kuweka status whatsapp?
Nifungue macho jmn,hakyanani hili neno memes nalisikia kula Mara lkn cjui nini maana yake,msicheke jamaaKuna wale daily wanaweka status kama mataruma ya reli… sifungui unless uwe unawekaga memes.
matangazo ya bidhaa hufungui pia?Kuna wale daily wanaweka status kama mataruma ya reli… sifungui unless uwe unawekaga memes.
Ila depal jamanii kah[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Kuna mtu humu nina namba zake huu mwaka unaenda wa pili, ila hata siku moja sijawahi muona akiweka status ama akiview zangu.
Siku nyingine naweka naset aone yeye mwenyewe lakini zitamaliza masaa 24 sioni akiview
Watu wa hivyo wana shida gani? Ni utu uzima au ndio wako busy hawana muda na status??
Bado nawashangaaa aisee
Uyo kaajiri watu wanaendesha akaunti zake yeye mwenyewe hana muda wa kushinda mitandaoniHuo ni ukale mcheki Mo dewji yupo active sana kwenye mitandao ya kijamii wanaosema hivo ni wale vijiba roho.
Ni tabia tu ya mtu tu mimi sina michongo ya kuniweka bize na wala sina stimu ya kuweka status au kupost post mitandaoni ndani ya mwaka naweza kupost mara mbili au tatu tuKuna kasumba naona imezidi kushamili kuwa mtu aliweka status kwenye simu ni mtu ambaye sio smart maana mwanaume au mwanamke mwenye heshima zake humkuti na mambo ayo ya status kwenye simu au kuwa online mara kwa mara au pia kuwepo kwenye magroup. Je, hili lina uhalisia wowote?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Watu wapo gerezani na wanaweka status sembuse sisi wa uraiani
Mfano wa memeNifungue macho jmn,hakyanani hili neno memes nalisikia kula Mara lkn cjui nini maana yake,msicheke jamaa