Kuweka kumbukumbu sawa kuhusu kutokumjali mke wangu na kumsababishia kuchepuka

Lazima nimfilimbe huyu mbwa. Hawezi kunit*ombea mke wangu na kula pesa zangu halafu nimuache tu.
Nitakachomfanya, atahadithia hadi vitukuu.
Mkuu huyu mke unaishi nae ndani mpaka muda huu?
 
Mnatuchanganya, anaekula mkeo kasema mkeo mulishaachana, na wewe unasimulia as if bado anaishi kwako dah.

Mkuu sasa kama una pesa kwa nini mkeo achepuke? Au una kitambi?
Dada luckyline una akili mno na upo reasonable na upo Makini huyu jamaa anachanganya mafaili either ni kwa makusudi au lah cos huyo manzi Huu ni mwaka na nusu umepita yupo kwao na haishi na Mumewe na nimesikia jamaa anasema manzi ni mpole wakati huyu wa kwangu si mpole ni mchangamfu by nature kuna mambo mengi tu tunatofautiana kwenye story yake na ya kwangu
 
Kuchapiwa mke kunauma sana ni kweli but unaweza kuchukua maamuz mengine bora zaid kuliko hayo unayofikiria! Kumbuka kuna mkono wa sheria utakaokuyumbisha na huenda ukakuchania ramani zako zote 7bu tu ya mwanamke ambae kimsingi ndo tatizo hapo. Huyo jamaa kajazwa king tu mke wako kwa kumuelezea negative effect zako. Cha msingi kata hizo huduma unazotoa ili ale jeuri yake alafu muachie jamaa akomae nae aone itavouma kumgharamia mtu afu usikie analiwa nje! Malipo ni apa apa dunia, demu hawez kuacha asili yake najua ipo siku tu atakuja kumtandika uyo mgoni wako kama ulivotandikwa wew. Pole kaka mkubwa.
 
Subiri wakati nakufilimba ndo utaelewa vizuri mseng.e wewe. Na utamuita huyo luckyline mwenye akili akusaidie kuhimili mabolo.
Nitakudaka tu, na nakuhakikishia nitakachokufanyia, utaomba ardhi ipasuke ikumeze. Nitakushughulikia huku nakuonyesha huu uzi.
Kwa heri.
 
Mnyooshe utupunguzie mapunga zeze humu
 
Huyo manzi umepita mwaka na nusu anaishi kwao na si kea Mumewe na pale walipokuwa wanakaa wakiwa kwenye ndoa yao kabla haijatokea hiyo migogoro huyo Mumewe kaweka mchepuko anaishi nae, ndugu zake huyo manzi hawamtaki jamaa kabisa kutokana na hivyo vitendo vyake na mimi nimekuwa na huyo manzi kipindi tayari wameshatengana
 
Mtuhumuwa ushajileta hutaki kuisumbua mahakama embu nambie tuseme mambo aloyasema hapa ni kweli na huyo dada ni mke wake, tuseme ni kweli

1.Je umejipangaje na hilo tukio atakalokupiga?
2, je akikufanya kitu kibaya huoni tutakupoteza humu jf?
3. Je umechukua tahadhali asije kutafutia wahuni wakakuumiza?
4. Je unarufi usiku? Hiyo tabia umeacha.

Haya tuseme ni muongo?
1.Je una mpango gani na huyo mke? Utamuoa?

Mwenyewe umetueleza kuwa mchepuko wako mme wake alikuwa na.pesa mbaya vip wewe unazo maana usije lia machozi ya paka?
Embu nambie pole pole watu wasikusikie vip mchepuko wako alikuambia mme wake hakuwa akijiweza kitandani na ana kinjiti?
 
Haya maelezo yote ya nini,, mi sio hakimu wala Mungu wako usiwe unaniandikia comment ndefu hivi, maisha yako hayanihusu
 
Yah aliniambia ajiwezi kwenye bed
 
Usiongee sana ww nakwambiaje ukimdaba eeeh mpararue haswa muite DeepPond akusaidie
 
Kama ni kweli mkate huyo mkeo nyonyo na huyo mcheps wake mbupu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…