Hii mada tayari unawanyi haki yao kuongelea personal affair
Ukiona unashindwa kuwa huru na mpenzi wako jichunguze?Habari wana MMU.
Naheshimu sana mawazo yenu bila kujali yana maudhui ya aina gani kwani kila mtu amejaliwa karama yake na uwezo binafsi wa kutafakari mambo na kuyatolea maamuzi.
Back to the Topic,..
Kuna hili jambo, unakuta mtu kaweka picha ya mtu wa Jinsia tofauti na yeye, yaani kama ni mwanamke anaweka picha ya mwanaume, na kama ni mwanaume anaweka picha ya mwanamke huku akiambatanisha na maneno fulani fulani ya kimapenzi, kama ''I luv u hubby, sweetie'' e.t.c
Hawa watu wanaofanya hivi huwa wana malengo gani hasa? Au wanatangazia wengine kwamba tayari wanao wapenzi wao?
Kuna sababu gani za msingi za mtu kuweka picha ya mpenzi wake kama Profile picture yake kwenye WhatsApp, inasaidia nini?
Nawasilisha,..
Nimeweka picha ya mke wangu tukiwa wote aisee tena tukiwa tumembeba mtoto wetu kipenzi.Kwa raha zetuuuu
Huyo mpenzi wako ushamuuluza kwann anakuweka kwa dp?Hapana mkuu, mimi sina historia kuachwa bali nimewaacha wengi, kuna mpenzi wangu anapenda sana kuweka picha yangu kwenye Profile yake,.. Sijapata kujua umuhimu wa yeye kufanya hivyo huku akinilazimisha na mimi niweke ya kwake kwenye Profile yangu,. Bado sijamkubalia pamoja na yeye tayari ameshaweka ya kwangu kwake,.
Acha liushamba Lako
muulize ana maana gani kukuweka!Hapana mkuu, mimi sina historia kuachwa bali nimewaacha wengi, kuna mpenzi wangu anapenda sana kuweka picha yangu kwenye Profile yake,.. Sijapata kujua umuhimu wa yeye kufanya hivyo huku akinilazimisha na mimi niweke ya kwake kwenye Profile yangu,. Bado sijamkubalia pamoja na yeye tayari ameshaweka ya kwangu kwake,.