Kuweka Picha ya Mpenzi wako kwenye Profile ya WhatsApp!!

Hiyo hatari sasa mkuu brave

hiyo ndio hali halisi ya mapenzi ya TANZANIA. ila maranyingi wanao fanya hivyo ni wanawake ila kwa sisi wanaume ni wachache sana wanao fanya hivyo
 
Last edited by a moderator:
me kwakwel sijawah kuweka ya kwangu wala huyo jinsia tofauti.
ila wanaofanya hivyo nikama kuonesha mapenz kwa yule alie muweka pia wengine huweka kwa malengo hasa sisi wadada. kuwaonesha wa2 kama nae ana handsome.
kwahiyo mkimpata tajiri mnaweka picha ya BANK?
 
Siku zote watsap naweka picha ya ninayemuappriciate,siyo kwa ajili ya mtu ila kwa ajili yangu mwenyewe,inaweza kua mimi mwenyewe,mama yangu au mume wangu mpenzi pamoja na mwanangu.
 
Ni uamuzi binafsi...

Simu yake kanunua kwa hela yake....
Bundle zake amenunua kwa hela yake...
Whatsapp yake kadownload kwa hela zake iwe ni bundle au (kulipia kwa wenye iphone)

Hata wakiweka vifanyio vyao ni sawa tu...

Uhuru wa simu zao

duuu kwenye kuweka vitanyio tena duu huu ni utata
 
Mbona kwenye lD za JF hamuweki hzo picha za wapenzi wenu?
 
Mbona kwenye lD za JF hamuweki hzo picha za wapenzi wenu?

mkuu ningeomba wewe uwe wa kwanza kuweka ya mpenzi wako kisha wengine tufuate,..
 
Uhuru wa kuishi mtu atakavyo, why do you question that? Na hajavunja sheria pia so hata akiweka picha ya jiwe ni sawa tu.
 
demu wako uko nae siku nyingi au mmeanza juzi juzi...kama hamna muda mrefu basi jua kuna ex-boifrendi anakomolewa hapo...ila ni dalili mbaya ya kwamba bado wanatakana
 
demu wako uko nae siku nyingi au mmeanza juzi juzi...kama hamna muda mrefu basi jua kuna ex-boifrendi anakomolewa hapo...ila ni dalili mbaya ya kwamba bado wanatakana

Word mkuu!
 
Mi naona ni mapenzi ya mtu, jaman msiingilie Uhuru wa mtu, muache afanye atakavyo kwan we limekuathir nn yey kuweka picha ya mpenz wake....waache watu wafanye yao
 
Mi naona ni mapenzi ya mtu, jaman msiingilie Uhuru wa mtu, muache afanye atakavyo kwan we limekuathir nn yey kuweka picha ya mpenz wake....waache watu wafanye yao

Umesomeka mkuu,..
 
Ukiona hivyo ujue kuna kamchepuko unakaogopa kasije kuona mambo yako, kama unajiamini, mbona kuweka picha ya mtu wako ni kawaida sana. Ila kama kuna machepuko ni mtihani kidogo.

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Michepuko ni sheedah mkuu,..
 
Hayo Yanaitwa Mahaba Niuwe Mahaba Nipoteze Kama Ndege Ya Malyasia Let The Whole World Knows That I Love u
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…