Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana mkuu, mimi sina historia kuachwa bali nimewaacha wengi, kuna mpenzi wangu anapenda sana kuweka picha yangu kwenye Profile yake,.. Sijapata kujua umuhimu wa yeye kufanya hivyo huku akinilazimisha na mimi niweke ya kwake kwenye Profile yangu,. Bado sijamkubalia pamoja na yeye tayari ameshaweka ya kwangu kwake,.
WhatsApp, naona uzee unakuja kwa kasi sana mkuu Matola
hayo mambo ya kujizibia rizki ..........aku sifanyi
Hapana mkuu, mimi sina historia kuachwa bali nimewaacha wengi, kuna mpenzi wangu anapenda sana kuweka picha yangu kwenye Profile yake,.. Sijapata kujua umuhimu wa yeye kufanya hivyo huku akinilazimisha na mimi niweke ya kwake kwenye Profile yangu,. Bado sijamkubalia pamoja na yeye tayari ameshaweka ya kwangu kwake,.
Tatizo relationship za siku hizi hazidumu...Utawaweka wangapi?
Kuna mmoja aliweka ya x wake na matusi kibao.
Kwa namna gani mkuu,.
Hilo nalo tatizo. ...
kulazimishana tena
upo whatsapp?sikuoni au ulinipata namba ya gariungempuuza usingei quote post yake...
btw sijui kwanini wanaweka may be kuonesha mapenzi, maybe attention maybe....
Naweza kuweka kumbe sio wewe
Naweza kuweka kumbe sio wewe