Man Rody
JF-Expert Member
- Aug 4, 2022
- 1,263
- 2,987
Habari za leo wadau...
Hivi kwann unakuta member wa kiume ila kaweka picha ya kike & vice versa. lengo haswa ni nn? Na picha nazozungumzia hapa ni zile za kutega kama kiuno chenye shanga au dem kajibinua.. Hivi wakikufata dm kukutongoza utaona ni dharau? Najua kuna wengine ni matapeli huku wako kazini ukijilengesha unaambiwa utume nauli na hela ya saloon 😁
Jibu common litalotoka hapa ni kwamba "kila mtu ana maisha yake imrad sivunji sheria usinipangie maisha."
Mnalionaje hili?