Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😃😃😃😃😃 najua unataka niseme cocastic ni Me ila kaleft group lakini sisemi sasa😷Anaijua Nyonzo bin mvule ... njoo huku kaka pls 🔊
Hivi nipo mbioni kubadili na kuweka avatar ya kiumeHabari za leo wadau...
Hivi kwann unakuta member wa kiume ila kaweka picha ya kike & vice versa. lengo haswa ni nn? Na picha nazozungumzia hapa ni zile za kutega kama kiuno chenye shanga au dem kajibinua.. Hivi wakikufata dm kukutongoza utaona ni dharau? Najua kuna wengine ni matapeli huku wako kazini ukijilengesha unaambiwa utume nauli na hela ya saloon [emoji16]
Jibu common litalotoka hapa ni kwamba "kila mtu ana maisha yake imrad sivunji sheria usinipangie maisha."
Mnalionaje hili?
Na weye unaanzaje kumpenda au kumtaka mtu usiyemjua kwa kuona picha tu?JF ni sehemu ya kutumia fikra nyingi.Ukiwa legelege kufikiria utachezewa akili hadi upachukie.Ukiwa humu,tafuta maarifa,taarifa sahihi,kufurahi na kubadilishana mawazo.Ukija na akili ya kutaka hawara utakwama.Picha tu? Kwa hiyo ukiona avatars za akina Mandela,Nyerere,Bill Clinton au mzee yeyote unawaamkia na kudhani ni werevu sana.Umeshauriwa hadi umuite member yeyote kwa neno "Mkuu"!Ulielewa maana yake?Ni sababu ya kutofahamu jinsi zao.Janjaruka!😂😂😂😂😂😂😂😂😂Habari za leo wadau...
Hivi kwann unakuta member wa kiume ila kaweka picha ya kike & vice versa. lengo haswa ni nn? Na picha nazozungumzia hapa ni zile za kutega kama kiuno chenye shanga au dem kajibinua.. Hivi wakikufata dm kukutongoza utaona ni dharau? Najua kuna wengine ni matapeli huku wako kazini ukijilengesha unaambiwa utume nauli na hela ya saloon 😁
Jibu common litalotoka hapa ni kwamba "kila mtu ana maisha yake imrad sivunji sheria usinipangie maisha."
Mnalionaje hili?
Ujawah kuona Ile avatar ya gunia lina kiremba ipo kama dushe mkuu?then tunge assume mnarandana na killian mbape 😁
Halafu Tena umejatag Kwenye comment yako🤔Mimi Superbug nimeweka avatar ya kike unanidai? Lakini pia napenda kuuangalia huo mtraco muda wote.
mkuu wangu nakushkuru sana kwa nasaha zako adhimu hakika una ukuu katika wakuu wa humu.Na weye unaanzaje kumpenda au kumtaka mtu usiyemjua kwa kuona picha tu?JF ni sehemu ya kutumia fikra nyingi.Ukiwa legelege kufikiria utachezewa akili hadi upachukie.Ukiwa humu,tafuta maarifa,taarifa sahihi,kufurahi na kubadilishana mawazo.Ukija na akili ya kutaka hawara utakwama.Picha tu? Kwa hiyo ukiona avatars za akina Mandela,Nyerere,Bill Clinton au mzee yeyote unawaamkia na kudhani ni werevu sana.Umeshauriwa hadi umuite member yeyote kwa neno "Mkuu"!Ulielewa maana yake?Ni sababu ya kutofahamu jinsi zao.Janjaruka!😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Na weye unaanzaje kumpenda au kumtaka mtu usiyemjua kwa kuona picha tu?
Sijaweka picha yoyote mkuuNje ya mada
Hivi mwanajf Sexless Ni jinsia gani[emoji848]
kwenye profile Yake kaweka picha gan [emoji848]
Baadhi yao ni "upinde"
Sasa Mwanaume kajiunga kwenye vikoba na sim yake ina Tiktok na analipia App ya mange kimambi mtu Kama huyo kuweka picha ya mwanamke au kuvaa sketi itakua ajabu kweli kwake?
Kuwa makini itakuwa unacheza timu mbiliSio kweli mfano mimi nimeweka kwa dhumuni la kuangalia huo mhipsi muda wote. Sina mambo ya kifala ya rainbow.
Ondoa hiyo mzee,utakuja kuliwa siku mojaMimi Superbug nimeweka avatar ya kike unanidai? Lakini pia napenda kuuangalia huo mtraco muda wote.
I'd hizi sio real they are not us neither they don't show who we are!Ondoa hiyo mzee,utakuja kuliwa siku moja
Ni dalili za ushoga mwanaume aliyekamilika hawez weka picha ya kikeHabari za leo wadau...
Hivi kwann unakuta member wa kiume ila kaweka picha ya kike & vice versa. lengo haswa ni nn? Na picha nazozungumzia hapa ni zile za kutega kama kiuno chenye shanga au dem kajibinua.. Hivi wakikufata dm kukutongoza utaona ni dharau? Najua kuna wengine ni matapeli huku wako kazini ukijilengesha unaambiwa utume nauli na hela ya saloon 😁
Jibu common litalotoka hapa ni kwamba "kila mtu ana maisha yake imrad sivunji sheria usinipangie maisha."
Mnalionaje hili?