Kuweka picha ya profile tofauti na jinsia yako

mkuu wangu nakushkuru sana kwa nasaha zako adhimu hakika una ukuu katika wakuu wa humu.

Then again, niko 2 steps ahead of u...umeandika pumba am like look at this illiterate piece of garbage, kwani lazima u comment kila uzi? shwaiin.

Eti 🤣🤣🤣

Umepotea direction, soma mada vizuri tena unambie wap naashiria kumtaka m2
Hivi,hapo ulipoandika..."wakikutafuta dm na kukutongoza"...?Hiyo sentensi ulimaanisha nini?Kwa sababu haukumtaja mwana JF yeyote,moja kwa moja (ulijijumlisha)kujieleza ukiwazacho kuhusu avatars.Sasa hapo kulikuwa na haja gani ya kukomenti kihuni hapo mwisho?Unaikataa kazi ya mikono yako inayowakilisha mawazo,mtazamo na akili yako?Tumia hekima tu hata kidogo.😂😂😂😂
 
Sasa Mwanaume kajiunga kwenye vikoba na sim yake ina Tiktok na analipia App ya mange kimambi mtu Kama huyo kuweka picha ya mwanamke au kuvaa sketi itakua ajabu kweli kwake?
Tiktok ina shida gani? Naona humo kuna vichekesho tu na nyimbo..
 
Wengne hata kwny profile zao hamna jinsia zao,cjui hawaoni umuhimu wa kuweka gender zao,sasa ID fake hata gender nayo niyakuficha kwel
 
Hivi,hapo ulipoandika..."wakikutafuta dm na kukutongoza"...?Hiyo sentensi ulimaanisha nini?
Ndo namaanisha natongoza sana humu au hiyo ni generalization tu? Sikulaumu ndo cpu yako imekokotoa mwisho hapo.

Nan wa kutumia hekima kati ya mimi na wewe, from nowhere unakuja kuni attack eti kisa naita watu mkuu, khaa... nan kakupa u monta kama darasan humu kwamba nitumie maneno haya mengine nisitumie, ukifika kua platnum member utatusumbua sana wee! Nilikujibu kama ulivokuja otherwise sina shida na wewe mkuu!

Na ntaendelea kukuita mkuu.

Mkuu, mukulu, mobimba, kiongozi.. chukua ushaur wako wa kutumia hekima uufanyie kaz.. wagombanao ndo wapatanao🤞
 
Sasa kwani utani wakati ni kweli mwana kaleft group,,, wewe ndo unaona kitu cha ajabu basi kama hujui, ila mwenyewe hana habari wala nini na anafanya yake.
Swali ni ushathibitisha? We umejuaje kaleft na ushamuona live? Jitu korofi kama muhogo mchungu 😂😂
 
Ndo namaanisha natongoza sana humu au hiyo ni generalization tu? Sikulaumu ndo cpu yako imekokotoa mwisho hapo.

Nan wa kutumia hekima kati ya mimi na wewe, from nowhere unakuja kuni attack eti kisa naita watu mkuu, khaa... nan kakupa u monta kama darasan humu kwamba nitumie maneno haya mengine nisitumie, ukifika kua platnum member utatusumbua sana wee! Nilikujibu kama ulivokuja otherwise sina shida na wewe mkuu!

Na ntaendelea kukuita mkuu.

Mkuu, mukulu, mobimba, kiongozi.. chukua ushaur wako wa kutumia hekima uufanyie kaz.. wagombanao ndo wapatanao🤞
Uko na mayele ya mingi,patron!

You've some(some) probs!Uko na mayele ya mingi!😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom