Utelezi tu unadhani nini cha maana[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] we unakua unatafuta nini kwenye avatar za watu
Kwani mkuu ile nyimbo mpya ya dula makabila PITA HUKU ujaiona au kuisikia kuna kipande pale kuna mtu anaambiwa ''wee kwanza unalaana chumba chako kina mafuta kila konaaa, unapenda kwa mparange mtume hataki hata kukuona weee sho.sho..... pita huku"Habari za leo wadau...
Hivi kwann unakuta member wa kiume ila kaweka picha ya kike & vice versa. lengo haswa ni nn? Na picha nazozungumzia hapa ni zile za kutega kama kiuno chenye shanga au dem kajibinua.. Hivi wakikufata dm kukutongoza utaona ni dharau? Najua kuna wengine ni matapeli huku wako kazini ukijilengesha unaambiwa utume nauli na hela ya saloon [emoji16]
Jibu common litalotoka hapa ni kwamba "kila mtu ana maisha yake imrad sivunji sheria usinipangie maisha."
Mnalionaje hili?
Sisikilizi singeli nyimbo kichef chef πKwani mkuu ile nyimbo mpya ya dula makabila PITA HUKU ujaiona au kuisikia kuna kipande pale kuna mtu anaambiwa ''wee kwanza unalaana chumba chako kina mafuta kila konaaa, unapenda kwa mparange mtume hataki hata kukuona weee sho.sho..... pita huku"
Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
Happy new yearπ π π π π π we unakua unatafuta nini kwenye avatar za watu
sijahadaika wala sijawahi tapeliwa humu bahat nzuri, ila nafikisha hoja litazamweNa ww kwanini uhadaike na picha za dp inamaana ww uko unako zulula hujawai ona wanawake wazuri zaid ya jf uku ukichungulia dp za watu mm nasema waendelee kuwatapel ase
Sio kweli mfano mimi nimeweka kwa dhumuni la kuangalia huo mhipsi muda wote. Sina mambo ya kifala ya rainbow.kwahiyo wanaoweka hizo picha ni memba wa upinde? ππ