Kuweka picha ya profile tofauti na jinsia yako

Hivi nipo mbioni kubadili na kuweka avatar ya kiume

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Nje ya mada
Hivi mwanajf Sexless Ni jinsia gani[emoji848]
kwenye profile Yake kaweka picha gan [emoji848]
 
Na weye unaanzaje kumpenda au kumtaka mtu usiyemjua kwa kuona picha tu?JF ni sehemu ya kutumia fikra nyingi.Ukiwa legelege kufikiria utachezewa akili hadi upachukie.Ukiwa humu,tafuta maarifa,taarifa sahihi,kufurahi na kubadilishana mawazo.Ukija na akili ya kutaka hawara utakwama.Picha tu? Kwa hiyo ukiona avatars za akina Mandela,Nyerere,Bill Clinton au mzee yeyote unawaamkia na kudhani ni werevu sana.Umeshauriwa hadi umuite member yeyote kwa neno "Mkuu"!Ulielewa maana yake?Ni sababu ya kutofahamu jinsi zao.Janjaruka!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
mkuu wangu nakushkuru sana kwa nasaha zako adhimu hakika una ukuu katika wakuu wa humu.

Then again, niko 2 steps ahead of u...umeandika pumba am like look at this illiterate piece of garbage, kwani lazima u comment kila uzi? shwaiin.

Eti 🀣🀣🀣
Na weye unaanzaje kumpenda au kumtaka mtu usiyemjua kwa kuona picha tu?

Umepotea direction, soma mada vizuri tena unambie wap naashiria kumtaka m2
 
Sasa Mwanaume kajiunga kwenye vikoba na sim yake ina Tiktok na analipia App ya mange kimambi mtu Kama huyo kuweka picha ya mwanamke au kuvaa sketi itakua ajabu kweli kwake?

Wanaume wanafatilia umbea ( mambo ya wanawake hayo), na ajabu utakuta ni mume wa mtu.
 
Ni dalili za ushoga mwanaume aliyekamilika hawez weka picha ya kike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…