Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Nenda South Africa ukapate elimu Mandela alianzisha sera gani ya makazi.Kifupi mtu aishi mahali kipato chake kibaendaba na na mtiririko wa hicho kipato chake
Kuna msemo mtu asiige kunya kwa tembo.Nyumba kama hizo za smart lock watu hao wa kawaida wao wenyewe wajitahmini bila kufanyiwa tatami na mtu kama wanastaili kuishi eneo kama hilo kwa vipato vyao vya kuunga unga
Siku yakikukuta ndio Utajua hujuiKwann usipange huku uswazi ili kuepuka haya
Hizo smartlock mtazoea tu bado ushamba ni mwingi .Kwa nini mnapenda kutetea ujinga? Mbona Luku watu wanalipa bill shida?
Siyo kila mifumo ya wazungu ni ya kuiga, kama tunakubali mifumo ya wazungu mbona ccm wanang'ang'ania hawataki kupisha chama kingine?
Ili kuepuka usumbufu, lipa Kodi mapema.Kwamba hizo Smart Lock zitajifunga kama hujalipa kodi, maswali ni mengi kuliko majibu.
Hivi likijifunga na watoto wako ndani inakuaje majanga yakitojea mfano ya moto?
Network ikizingua control namba ikawa inasumbua itakuaje?
Hata kama zitakupa alarm kodi ikikaribia kuisha ila huu ni ukatili, chama cha kumlinda mlaji kinatakiwa kuingilia kati.
Nawasilisha.👇👇
View attachment 3050649
Kuna Dharura hakuna ambae hataki kuwahi kulipa mapemaMuhimu kuwahi kulipa mapema ili kuepuka haya majanga
Ulaya na Marekani walichofanya kodi na maji,umeme na gesi ya kupikia vyote viko pamoja Kodi usipolipa vyote vinakatika kwa mpigoukiwa ndani unaweza toka ila huwezi kuingia, nadhani ndo mechanism yake ilivo, sasa cha kufanya mmoja asitoke awe anawafungulia wanaotoka wakirudi mpaka mtakapopata kodi.
Hata Luku ilipoanza watu walipiga kelele sababu mita zilipokuwa zikitumika unalipa umeme ukijisikia mfano waweza tumia umeme miezi sita bili hujaletewa ikija inakuja imechelewa na inadai mwezi mmoja tu nao waweza kwenda kulipa unasema napunguza kidogo wanakubaliKwa nini mnapenda kutetea ujinga? Mbona Luku watu wanalipa bill shida?
du hyo kali, nadhani waliogopa watu kufanya kama nilivowashauri wa magomeni hapo,Ulaya na Marekani walichofanya kodi na maji,umeme na gesi ya kupikia vyote viko pamoja Kodi usipolipa vyote vinakatika kwa mpigo
Kodi ikikatika hujalipa umeme kwa heri maji kwa heri na gesi kwa heri
Kuishi kwenye nyumba ni tukio baada ya makubaliano ya mwenyenyumba na mpangaji, ikiwa hukubaliani na taratibu za mwenye nyumba, basi mwache na nyumba yake. Akikosa wateja atafikiria kubadili taratibu.Kwamba hizo Smart Lock zitajifunga kama hujalipa kodi, maswali ni mengi kuliko majibu.
Hivi likijifunga na watoto wako ndani inakuaje majanga yakitojea mfano ya moto?
Network ikizingua control namba ikawa inasumbua itakuaje?
Hata kama zitakupa alarm kodi ikikaribia kuisha ila huu ni ukatili, chama cha kumlinda mlaji kinatakiwa kuingilia kati.
Nawasilisha.👇👇
View attachment 3050649
Kama vipi waje tupange wote foleni za mwendokasiPongezi kubwa kwa TBA good idea. Nyie mnakaa mjini kabisa halafu mnataka mkae bure!
Unachanganya sana mamboz nina exposure ya kutosha na ninajuwa vizuri ninachokiandika.Hata Luku ilipoanza watu walipiga kelele sababu mita zilipokuwa zikitumika unalipa umeme ukijisikia mfano waweza tumia umeme miezi sita bili hujaletewa ikija inakuja imechelewa na inadai mwezi mmoja tu nao waweza kwenda kulipa unasema napunguza kidogo wanakubali
Luku ikaja kuwa unanua utakaotumia ukiisha badi watu wakapiga yowe ohh sass kama sina hela huku ni kuonea wanyonge ambao vipato vyao sio vya uhakika
Leo hii hakuna mwenye kelele na Luku
Hata hilo la Smart Lock litazoewa tu kama ilivyo Luku
Ushamba kumtoka mtu hutakiwa apewe muda
Ulaya marufuku kukata Maji hata kama hujalipa miakaUlaya na Marekani walichofanya kodi na maji,umeme na gesi ya kupikia vyote viko pamoja Kodi usipolipa vyote vinakatika kwa mpigo
Kodi ikikatika hujalipa umeme kwa heri maji kwa heri na gesi kwa heri
Ninaishi Nje shida yangu huku nje ukiita fire au ambulance ni dakika tu wamekuja mambo ya kuiga huku nje wakati Tanzania tatizo la kuibiwa watoto wakitoka shule linatusumbua haya majanga ya Moto yakitokea inakua balaa ni vile watu wengi moto wanauchukulia poa ila kwa huu mfumo kwetu bado sana..najua madhara ya Moto ndio maana nimeuzungumzia...Tatizo exposure
Hujaishi ulaya na marekani wewe
Hizo smart lock kule kiboko .Ukipanga nyumba kodi unayolipa imeunganishwa na maji,umeme na gesi na milango yenyewe
Ikifika muda wa kulipa kodi hujalipa milangi inajifunga yote,umeme,maji na gesi vyote vinakatika uwe ndani ya nyumba au nje na ripoti zinapelekwa kwenye database ya wenye nyumba za kupangisha kuwa wewe ni mpangaji mkorofi na taarifa zingine zinaenda kwa madalali wa kuja kukutoa kwa nguvu.Na toka hapo jiandae kuwa Homeless hakuna mwenye nyumba yeyote atakayekuja kukupangisha wewe chumba au nyumba
Ndio maana waweza kuta homeless wengine wanalala kwenye magari au viambaza wengine sababu ni hiyo
Nchi za wenzetu kodi ya nyumba ni kitu cha kwanza ambacho hawezi cheza nacho
Watanzania tubadilike Uswahili swahili una mwisho wake
Tunaingia ulimwengu wa kidigitali ambapo sio kila wakati mwenye nyumba anakuja kupiga hodi kwako kikudai kodi .Unafungiwa huko .
Itapiga kelele na wao watajua mkuuKodi ikikaribia kuisha nweka kimbao mlango usijifunge
Hii mifumo ni ya Hotel au kwenye maduka ya biashara sio kwenye makazi ya watu.Kwa nini mnapenda kutetea ujinga? Mbona Luku watu wanalipa bill shida?
Siyo kila mifumo ya wazungu ni ya kuiga, kama tunakubali mifumo ya wazungu mbona ccm wanang'ang'ania hawataki kupisha chama kingine?