Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Nenda South Africa ukapate elimu Mandela alianzisha sera gani ya makazi.Kifupi mtu aishi mahali kipato chake kibaendaba na na mtiririko wa hicho kipato chake
Kuna msemo mtu asiige kunya kwa tembo.Nyumba kama hizo za smart lock watu hao wa kawaida wao wenyewe wajitahmini bila kufanyiwa tatami na mtu kama wanastaili kuishi eneo kama hilo kwa vipato vyao vya kuunga unga
Hao wapangaji wapo hapo miaka yote ndio maisha yao, hizo nyumba hazipaswi kuwa za kibiashara pasee, hizo nyumba ni huduma za makazi, serikali inahudumia raia wake kwa low cost rent.
National housing na hao TBA hayo mashirika hayapaswi kuendeshwa kama real estate agents.