bongodili tele
JF-Expert Member
- Jun 8, 2024
- 1,520
- 3,022
Kwann upange paleVipato tofauti ulaya na magomeni...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwann upange paleVipato tofauti ulaya na magomeni...
Ulaya ya wapi nyumba zinajifunga?
Kuna mtu asiyependa kujenga? Majitu wengine mnavyoiba pesa makazini kwenu basi mnaona kila mtu ana access ya wizi.Ila vinahamasisha kujenga nyumba yako ili uepuke shida ndogo ndogo
Kwenye minada ya ng'ombe
SwadaktaaaLengo ni kuwaondoa hao wapangaji ili waingize watu wao sasa.
Wewe huna akili kichwani, kuna watu wamezaliwa hapo kabla ya vile vinyumba kubomolewa kujengwa maghorofa.Kwann upange pale
Hameni wakose watejaKwamba hizo Smart Lock zitajifunga kama hujalipa kodi, maswali ni mengi kuliko majibu.
Hivi likijifunga na watoto wako ndani inakuaje majanga yakitojea mfano ya moto?
Network ikizingua control namba ikawa inasumbua itakuaje?
Hata kama zitakupa alarm kodi ikikaribia kuisha ila huu ni ukatili, chama cha kumlinda mlaji kinatakiwa kuingilia kati.
Nawasilisha.👇👇
View attachment 3050649
Basi kiongozi basi🤣🤣🤣Kuna mtu asiyependa kujenga? Majitu wengine mnavyoiba pesa makazini kwenu basi mnaona kila mtu ana access ya wizi.
Kwani wanao uwezo wa kupangaWewe huna akili kichwani, kuna watu wamezaliwa hapo kabla ya vile vinyumba kubomolewa kujengwa maghorofa.
Hapa ndio kuna watu kweli watamkumbuka Magufuli.
Tatizo exposureSio Ukatili tu hawajafikiri swala la Moto pia si unajua Watanzania tunaongoza kwa Udumavu wa kufikiri..
Kuzaliwa na Kuzeekea nyumba ya kupanga hakumfanyi mpangaji mzee kuwa ndie mumiliki wa hiyo nyumba ya kupangaWewe huna akili kichwani, kuna watu wamezaliwa hapo kabla ya vile vinyumba kubomolewa kujengwa maghorofa.
Hapa ndio kuna watu kweli watamkumbuka Magufuli.
Uwezo wa kulipa tu kodi wanao. Wamedekezwa hadi wamezoea. Mmatumbi akikuzoea hadi mabegani anakurukia. Utaona sasa watakavyolipa kodi kwa muda.Sio Ukatili tu hawajafikiri swala la Moto pia si unajua Watanzania tunaongoza kwa Udumavu wa kufikiri..
Wapo kibao wenye pesa ambao hawataki kujenga hupenda kupanga tu mfano mmojawapo ni wahindi.Wanapenda sana kupanga kuliko kujenga hata awe na pesa vipiKuna mtu asiyependa kujenga? Majitu wengine mnavyoiba pesa makazini kwenu basi mnaona kila mtu ana access ya wizi.
Yani wewe unataka kumlinganisha Messi na Kibu Denis akili za kijinga hizi.Tatizo exposure
Hujaishi ulaya na marekani wewe
Hizo smart lock kule kiboko .Ukipanga nyumba kodi unayolipa imeunganishwa na maji,umeme na genius na milango yenyewe
Ikifika muda wa kulipa kodi hujalipa milangi inajifunga yote,umeme,maji na genius vyote vinakatika uwe ndani ya nyumba au nje na ripoti zinapelekwa kwenye database ya wenye nyumba za kupangisha kuwa wewe ni mpangaji mkorofi na taarifa zingine zinaenda kwa madalali wa kuja kukutoa kwa nguvu.Na toka hapo jiandae kuwa Homeless hakuna mwenye nyumba yeyete atakayekuja kukupangisha wewe chumba au nyumba
Ndio maana waweza kuta homeless wengine wanalala kwenye magari au viambaza wengine sababu ni hiyo
Nchi za wenzetu kodi ya nyumba ni kitu cha kwanza ambacho hawezi cheza nacho
Watanzania tubadilike Uswahili swahili una mwisho wake
Tunaingia ulimwengu wa kidigitali ambapo sio kila wakati mwenye nyumba anakuja kupiga hodi kwako kikudai kodi .Unafungiwa huko .
Unachanganya mambo tu mimi naongelea Watanzania wa kawaida hakuna asiyetamani kumiliki nyumba yake.Wapo kibao wenye pesa ambao hawataki kujenga hupenda kupanga tu mfano mmojawapo ni wahindi.Wanapenda sana kupanga kuliko kujenga hata awe na pesa vipi
Kifupi mtu aishi mahali kipato chake kinaendaba na mtiririko wa hicho kipato chakeYani wewe unataka kumlinganisha Messi na Kibu Denis akili za kijinga hizi.
Unskills job mtu analipwa dolla 20 kwa saa, akipiga masaa 10 ana dolla 200 per day, mambo ya bill yatamsumbuwa vipi?
Turudi Bongo sasa, unaelewa vizuri vipato vya Watanzania?
Kuna watu mpaka tarehe 9 ya mwezi mpya hajalipwa mshahara unalifahamu hilo?
Halafu kama ulikuwa hujui Watanzania wengi hawana kazi wana shughuri tu kwa kifupi watu wengi hawana ajira rasmi wanaungaunga tu halafu unaleta huu upuuzi wa smart lock?
Nina Anko wangu amestaafu kazi mwezi wa pili huu hata pesa za mizigo hajalipwa, calculation za award yake bado, security fund yake bado halafu mnaleta huu upuuzi wenu wa smartlock mnajifanya mmesoma kumbe wapuuzi watupu hakuna mlichoelimika wezi wakubwa.
Kwa nini mnapenda kutetea ujinga? Mbona Luku watu wanalipa bill shida?Wabongo hatuwezi kuendana na teknolojia hata kidogo , hapo awali kulikuwa na huduma za maji kwa kuweka sarafu tu unapata maji kulingana na pesa yako ...Sijui ilikuwaje mkaondoa ule mfumo ili mkope .
Hizo mita nilisikia zipo Iringa kwa sasa ..Lazima uapte utakacho kila siku zile mashine za ATM mnaharibu pia .
System inaona huko ofisini kuwa kuna mtu anavunja mlango nyumba namba fulani sababu sensor zake zinasoma ukijifunga na kujifunguaKodi ikikaribia kuisha nweka kimbao mlango usijifunge