Kuwekwa kwa somo ya Kiislamu kwenye Tahasusi kunaashiria nini?

Kuwekwa kwa somo ya Kiislamu kwenye Tahasusi kunaashiria nini?

Mimi nimesoma divinity kwenye shule ambayo baba yangu kailipia nje ya ile kodi aliyotoa. Hatuhitaji serikali iingie kwenye kazi ya kufundisha walimu wa dini. Kama hamuwezi kusomesha watu wenu wenyewe tafuteni njia mbadala isiyotumia kodi yangu. Naweza kuwa kafiri lakini si ni kodi yangu? Maana yatawekwa kwenye shule za umma na sisi ndicho kitu hatukitaki. Shule za umma zifundishe masomo ya kawaida. Za dini ziongeze masomo ya dini yake hawakatazwi. Kuna box likiwa na nyoka wakali hutakiwi kulifungua unatakiwa kulichoma.
Suala hapa siyo Kodi,mtoa mada uwe wazi unahofu na Hilo box.Nami nimekuelewa hapo kuwa unahofu na matokeo ya wale watakao fundishwa hasa upande Wa pili.Usipige chenga kusingizia Kodi kwani hao wengine hawalipi Kodi. Masomo ya dini zote yanafundishwa acha watoto wanaotaka wasome.Wengine hawana uwezo Wa hizo shule binafsi.
 
Ndugu zangu Watanzania masuala ya kidini yaendelee kama tulivyokuwa.Taasisi za dini ziwajibike kufundisha masomo ya dini.
Tuna mifano hai ya taharuki ya migongano ya dini nchi hii. Karibuni, miaka ya 2012 hadi 2013 tulikuwa na taharuki ya UCHINJAJI. Geita mauaji yalitokea. Maeneo mengine kulikuwa na bucha za wakristo pekee. Serikali ya wakati huo ikaunda kamari za viongozi wa dini ambazo zipo hadi leo. Mambo yakapoa.

Jamani bandugu tusianze mambo ambayo baadaye yataleta maangamizi kwenye taifa letu.
 
Sijuwi kwanini viongozi wskubwa wameziba masikio kuhisi hili jambo
 
Suala hapa siyo Kodi,mtoa mada uwe wazi unahofu na Hilo box.Nami nimekuelewa hapo kuwa unahofu na matokeo ya wale watakao fundishwa hasa upande Wa pili.Usipige chenga kusingizia Kodi kwani hao wengine hawalipi Kodi. Masomo ya dini zote yanafundishwa acha watoto wanaotaka wasome.Wengine hawana uwezo Wa hizo shule binafsi.
Basi liache hilo box bila kulibighudhi. Shetani akikutafuta kwenye dhambi akikukosa anakufuta kanisani. Ana adili kitu kimoja kimoja kwenye vile ulivyokua unaabudu. Mwishoni unamwabudu bila kujua. Tuache masuala ya dini yanakotakiwa kuwa. Sio Ikulu wala bungeni
 
Wagalatia wanateseka sana na uislmau, Punguzeni chuki wakuu zitakuuweni wenyewe
 
View attachment 2680112

Kuna siri nyuma ya pazia? Kuna watu wana jambo lao? Kama sio kwa nini Bible knowledge haipo? Kwa nini limekuja awamu ya 6?

=====

Hii ni orodha ya masomo kwenye TAHASUSI za Tanzania Bara pamoja na Zanzibar, kwa Zanzibar wana masomo ya dini yanayoingia kwenye TAHASUSI tofauti na Tanzania Bara.

A-level subject combinations for Tanzania Bara (Mainland) and Zanzibar


If you’re looking for A’level Combinations in Tanzania, This guide will help you as we have provides all information about A’level Combinations in Tanzania.

Doing or choosing the right Combination after O’level is very mandatory, since professional career begins in choosing the right Combination and it also plays a vital role in professional life. In the current scenario with so many available options for courses and tough competition, it is very hard and confusing to decide for both students and parents. With so many influential people around, we often get swayed or simply do what is toNaturalld by our parents.

But it is very important to know and analysis your interests as well as options available in that Field.
Let us have a look of all A’level Combinations in TANZANIA to understand your career option
in a better way:

The following are the List of A’level Combinations in Tanzania.

Tanzania Bara (Mainland)
  • PCM - Physics, Chemistry and Mathematics
  • PCB - Physics, Chemistry and Biology
  • PGM - Physics, Geography and Mathematics
  • EGM - Economics, Geography and Mathematics
  • CBG - Chemistry, Biology and Geography
  • CBA - Chemistry, Biology and Agriculture
  • CBN - Chemistry, Biology and Food and Human Nutrition
  • PMC – Physics, Mathematics and Computer Science
  • PeBFa – Physical Education, Biology and Fine Arts
  • HGL - History, Geography and English Language
  • HGK - History, Geography and Kiswahili
  • HKL - History, Kiswahili and English Language
  • KLF - Kiswahili, English Language and French
  • ECA - Economics, Commerce and Accountancy
  • HGE - History, Geography and Economics
  • PeGE – Physical Education, Geography and Economics
  • KFC – Kiswahili, French and Chinese
  • KEC – Kiswahili, English and Chinese
Zanzibar
  • PCB - Physics, Chemistry and Biology
  • PCM - Physics, Chemistry and Mathematics
  • PGM - Physics, Geography and Mathematics
  • EGM - Economics, Geography and Mathematics
  • CBG - Chemistry, Biology and Geography
  • CBA - Chemistry, Biology and Agriculture
  • CBN - Chemistry, Biology and Food and Human Nutrition
  • PMC – Physics, Mathematics and Computer Science
  • PeBFa – Physical Education, Biology and Fine Arts
  • HGL - History, Geography and English Language
  • HGK - History, Geography and Kiswahili
  • HKL - History, Kiswahili and English Language
  • KLF - Kiswahili, English Language and French
  • ECA - Economics, Commerce and Accountancy
  • HGE - History, Geography and Economics
  • PeGE – Physical Education, Geography and Economics
  • CBA - Chemistry, Biology and Agriculture
  • HKF - History, Kiswahili, French language
  • AHG - Arabic language, History and Geography
  • KAR - Kiswahili, Arabic language, and Islamic
  • KLG - Kiswahili, English language and Geography
  • AKF - Arabic Language, Kiswahili and french language
  • AHK - Arabic language, History and Kiswahili
  • AKL - Arabic language, Kiswahili and English language
  • KLI - Kiswahili English Language and Islamic
  • GKI - Geography, Kiswahili and Islamic
  • CBM - Chemistry, Biology and Mathematics
  • HLF - History, English language and French language
  • PeCB - Physical Education, chemistry and Biology
  • PcoM - Physics, Computer and Advanced Mathematics
Schoolpvh
swala la dini najiuliza watafundisha nini maana shida itakuja wakristo wanamadhehebu tofauti tofauti mlokole hawez kumfundisha divinity mroma na mroma hawez mfundisha divinity msabato..msabato nae hawez mfundisha divinity mu AC au mashahidi wa YEHOVA. Tuje upande wa islamic wao piah wana shia suni na makundi mengneyo yamegawanyika ko hawawezi fundishana ata kidogo..... maono yangu ni kuwa labda serikali imepima inataka ifanye kama anachofanya kagame kuwa mbeleni bila degree huwezi kua shekhe au mchungaji...ili kupunguza dini zenye misimamo mikali......!
 
Bila Chuki wala Dhihaka Ubaya uko wapi?

Mbona Bible knowledge ipo na hamsemi?
 
The only challenge I see ni watu kuamini wanasoma ili waajiriwe,

Ki ukweli aliyesoma amesema, hata kama Hana ajira, anakuwa na uwezo wa kuziongeza kwenye mambo yake.

So, kwa vijana wa sasa lazima tuongee wigo ili wakujiongeza waje kuziongeza.
 
Hata kama sijafika, bado somo la dini liwe option tena kwenye shule za kidini tu. Mimi hunilazimishi kodi yangu imsomeshe shehe kwenye shule ya umma wala wewe sikulazimishi kodi yako imsomeshe mchungaji kwenye shule ya umma. Shule za dini zinaanzishwa na kuendeshwa na hela ambazo sijazichangia so hazinihusu.
Haihitaji mimi kufika chuo kikuu kujua hayo yote. Una haja ya kusoma kiarabu na islamic religion kuna shule chungu nzima zinafundisha hayo yote lakini sio zinazotumia kodi yangu hata shilingi moja kujiendesha. Huo unazi wa kidini fanyia msikitini kwako na kanisani kwako.
Hongera mkuu

Taifa linahitaji watu weledi mfano wako

# We must separate religion and state
 
Kwani sasa hivi hayo masomo ya dini yanafundishwaje?.Maana wanafunzi wanafanya mitihani na wanaofaulu wanafaulu na wanaofeli wanafeli. Kwakuwa hakuna atakaye lazimishwa kusoma tahasusi yenye Somo la dini wanaotaka wasome wapewe nafasi.
Hakuna shida,

lakini hayo masomo ya dini kwanini yafundishwe kwa kodi za watu wote!?

Unaelewa mambo ya imani ni ya kibinafsi!?
 
Back
Top Bottom