Kuwekwa kwa somo ya Kiislamu kwenye Tahasusi kunaashiria nini?

View attachment 2680112

Kuna siri nyuma ya pazia? Kuna watu wana jambo lao? Kama sio kwa nini Bible knowledge haipo? Kwa nini limekuja awamu ya 6?

=====

Hii ni orodha ya masomo kwenye TAHASUSI za Tanzania Bara pamoja na Zanzibar, kwa Zanzibar wana masomo ya dini yanayoingia kwenye TAHASUSI tofauti na Tanzania Bara.

A-level subject combinations for Tanzania Bara (Mainland) and Zanzibar

If you’re looking for A’level Combinations in Tanzania, This guide will help you as we have provides all information about A’level Combinations in Tanzania.

Doing or choosing the right Combination after O’level is very mandatory, since professional career begins in choosing the right Combination and it also plays a vital role in professional life. In the current scenario with so many available options for courses and tough competition, it is very hard and confusing to decide for both students and parents. With so many influential people around, we often get swayed or simply do what is toNaturalld by our parents.

But it is very important to know and analysis your interests as well as options available in that Field.
Let us have a look of all A’level Combinations in TANZANIA to understand your career option
in a better way:

The following are the List of A’level Combinations in Tanzania.

Tanzania Bara (Mainland)
  • PCM - Physics, Chemistry and Mathematics
  • PCB - Physics, Chemistry and Biology
  • PGM - Physics, Geography and Mathematics
  • EGM - Economics, Geography and Mathematics
  • CBG - Chemistry, Biology and Geography
  • CBA - Chemistry, Biology and Agriculture
  • CBN - Chemistry, Biology and Food and Human Nutrition
  • PMC – Physics, Mathematics and Computer Science
  • PeBFa – Physical Education, Biology and Fine Arts
  • HGL - History, Geography and English Language
  • HGK - History, Geography and Kiswahili
  • HKL - History, Kiswahili and English Language
  • KLF - Kiswahili, English Language and French
  • ECA - Economics, Commerce and Accountancy
  • HGE - History, Geography and Economics
  • PeGE – Physical Education, Geography and Economics
  • KFC – Kiswahili, French and Chinese
  • KEC – Kiswahili, English and Chinese
Zanzibar
  • PCB - Physics, Chemistry and Biology
  • PCM - Physics, Chemistry and Mathematics
  • PGM - Physics, Geography and Mathematics
  • EGM - Economics, Geography and Mathematics
  • CBG - Chemistry, Biology and Geography
  • CBA - Chemistry, Biology and Agriculture
  • CBN - Chemistry, Biology and Food and Human Nutrition
  • PMC – Physics, Mathematics and Computer Science
  • PeBFa – Physical Education, Biology and Fine Arts
  • HGL - History, Geography and English Language
  • HGK - History, Geography and Kiswahili
  • HKL - History, Kiswahili and English Language
  • KLF - Kiswahili, English Language and French
  • ECA - Economics, Commerce and Accountancy
  • HGE - History, Geography and Economics
  • PeGE – Physical Education, Geography and Economics
  • CBA - Chemistry, Biology and Agriculture
  • HKF - History, Kiswahili, French language
  • AHG - Arabic language, History and Geography
  • KAR - Kiswahili, Arabic language, and Islamic
  • KLG - Kiswahili, English language and Geography
  • AKF - Arabic Language, Kiswahili and french language
  • AHK - Arabic language, History and Kiswahili
  • AKL - Arabic language, Kiswahili and English language
  • KLI - Kiswahili English Language and Islamic
  • GKI - Geography, Kiswahili and Islamic
  • CBM - Chemistry, Biology and Mathematics
  • HLF - History, English language and French language
  • PeCB - Physical Education, chemistry and Biology
  • PcoM - Physics, Computer and Advanced Mathematics
Schoolpvh
Mbona na hapa hujaanzisha thread?

Inaashiria nini kuwekwa divinity?
 
Attachments

  • Screenshot_20240321-200843.png
    Screenshot_20240321-200843.png
    131.6 KB · Views: 4
Letebi hoja zenu na hapa
 
Attachments

  • Screenshot_20240321-200843.png
    Screenshot_20240321-200843.png
    131.6 KB · Views: 2
Mbona na hapa hujaanzisha thread?

Inaashiria nini kuwekwa divinity?
Tatizo unakichwa cha pazi, ndo maana unashindwa kuelewa.

Watu kama nyinyi mungekuwa karibu, ni kupigwa tu makofi ili akili zenu ziwakae sawa.
 
Actual dini zote mbili zinatakiwa zitolewe kwenye mtaala. Tunafundisha watanzania wasio kua na dini. Ni kosa kuingiza masomo ya dini kwenye mainstream subject. Yabaki kama subsidiary kwa watakao taka. Hao wezi sio kwamba hawaijui dini, hawamjui Mungu. Tunafungulia box lenye mamba kwenye nchi yetu. Siku yakiondolewa wakati tayari kuna walimu waliokua wanalipwa kwa kodi zetu kelele zitakua nyingi. Mapadre na mashehe wana mimbari yenye sadaka za kuwatosheleza kutengeneza viongozi wajao wa dini zao. Sitarajii serikali kuanaza kufundisha Marian theology kama somo kwa vile wakatoliki wanalitaka au thesisi 92 za martin lether kwa vile walutheri wanazitaka au uamsho wa Wacalvinist na Waadvestist. Huko ni serikali kufunua box lenye nyoka wakali. Tutakapoumwa kama taifa tusilalamike. Kuna asilimia 30 ya Watanzania hawana dini, je hao tunawafundisha nini?
 
hilo ni somo kama somo lingine lazma walipwe.pia lina faida katika kujenga maadil ndani ya jamii.
Fundisheni wenyewe. Sio kwa kodi yangu maana ninaamini pamoja. Je fedha yangu ya kodi ikienda kumfundisha mtu dini ambayo siiamini sio kunikosea? Maana kama taifa hatuna dini rasmi. Tungekua nayo ningeamua kuikubali au kuikataa na kundoka lakini hatuna.
 
Tatizo unakichwa cha pazi, ndo maana unashindwa kuelewa.

Watu kama nyinyi mungekuwa karibu, ni kupigwa tu makofi ili akili zenu ziwakae sawa.
Hakuna lolote zaidi ya upumbavu wako ulioshibdwa kuuficha

Kwa nini muhoji Islamic na kusema nchi ya dini moja wakati na hiyo divinity ipo?

Kama sio chuki nini?
 
Ndo maana nimekuambia kubishana na wewe ni kupoteza mda... Kichwa yako ni pazi.
 
Fundisheni wenyewe. Sio kwa kodi yangu maana ninaamini pamoja. Je fedha yangu ya kodi ikienda kumfundisha mtu dini ambayo siiamini sio kunikosea? Maana kama taifa hatuna dini rasmi. Tungekua nayo ningeamua kuikubali au kuikataa na kundoka lakini hatuna.
Umefika hata form four kweli?

Kuna mtu shuleni analazimishwa kusoma dini??

Ukiwa mtu ana hiari ya kusoma biashara, sayansi au art utaanzaje kumlazumisha kusoma dini??

Halafu kama Mtu mkristo si asome divinity
 
Attachments

  • Screenshot_20240321-200843.png
    Screenshot_20240321-200843.png
    131.6 KB · Views: 2
Ndo maana nimekuambia kubishana na wewe ni kupoteza mda... Kichwa yako ni pazi.
Acha ujinga weka hoja, kwa nini mlalamike Islamic knowledge wakati huo huo kuna divinity?

Muamzisha uzi na wachangiaji ikiwemo wewe mmekurupuka na chuki zenu zilizopitiliza.

Mnajadili why Islamic knowledge??

na mnajifanya hamjui kuwa divinity ipo

Huna hoja bali kuleta kwa screen shot hii ya divinity katika combination kunadhihirisha utahira wenu
 
Umefika hata form four kweli?

Kuna mtu shuleni analazimishwa kusoma dini??

Ukiwa mtu ana hiari ya kusoma biashara, sayansi au art utaanzaje kumlazumisha kusoma dini??

Halafu kama Mtu mkristo si asome divinity
Hata kama sijafika, bado somo la dini liwe option tena kwenye shule za kidini tu. Mimi hunilazimishi kodi yangu imsomeshe shehe kwenye shule ya umma wala wewe sikulazimishi kodi yako imsomeshe mchungaji kwenye shule ya umma. Shule za dini zinaanzishwa na kuendeshwa na hela ambazo sijazichangia so hazinihusu.
Haihitaji mimi kufika chuo kikuu kujua hayo yote. Una haja ya kusoma kiarabu na islamic religion kuna shule chungu nzima zinafundisha hayo yote lakini sio zinazotumia kodi yangu hata shilingi moja kujiendesha. Huo unazi wa kidini fanyia msikitini kwako na kanisani kwako.
 
Actual dini zote mbili zinatakiwa zitolewe kwenye mtaala. Tunafundisha watanzania wasio kua na dini. Ni kosa kuingiza masomo ya dini kwenye mainstream subject. Yabaki kama subsidiary kwa watakao taka. Hao wezi sio kwamba hawaijui dini, hawamjui Mungu. Tunafungulia box lenye mamba kwenye nchi yetu. Siku yakiondolewa wakati tayari kuna walimu waliokua wanalipwa kwa kodi zetu kelele zitakua nyingi. Mapadre na mashehe wana mimbari yenye sadaka za kuwatosheleza kutengeneza viongozi wajao wa dini zao. Sitarajii serikali kuanaza kufundisha Marian theology kama somo kwa vile wakatoliki wanalitaka au thesisi 92 za martin lether kwa vile walutheri wanazitaka au uamsho wa Wacalvinist na Waadvestist. Huko ni serikali kufunua box lenye nyoka wakali. Tutakapoumwa kama taifa tusilalamike. Kuna asilimia 30 ya Watanzania hawana dini, je hao tunawafundisha nini?
Kwa nini mjadala unazungumzia Islamic knowledge peke yake??

Divinity imeachwa kama haipo vile.

Ulichoandika na walichokifanya ni Yale Yale tu

Hakuna mtu atayelazimishwa kusoma masomo hayo
 
Fundisheni wenyewe. Sio kwa kodi yangu maana ninaamini pamoja. Je fedha yangu ya kodi ikienda kumfundisha mtu dini ambayo siiamini sio kunikosea? Maana kama taifa hatuna dini rasmi. Tungekua nayo ningeamua kuikubali au kuikataa na kundoka lakini hatuna.
Kwa hyo dini tu ndo unaona matumizi mabaya ya kodi?
 
Hata kama sijafika, bado somo la dini liwe option tena kwenye shule za kidini tu. Mimi hunilazimishi kodi yangu imsomeshe shehe kwenye shule ya umma wala wewe sikulazimishi kodi yako imsomeshe mchungaji kwenye shule ya umma. Shule za dini zinaanzishwa na kuendeshwa na hela ambazo sijazichangia so hazinihusu.
Haihitaji mimi kufika chuo kikuu kujua hayo yote. Una haja ya kusoma kiarabu na islamic religion kuna shule chungu nzima zinafundisha hayo yote lakini sio zinazotumia kodi yangu hata shilingi moja kujiendesha. Huo unazi wa kidini fanyia msikitini kwako na kanisani kwako.
Mbona mnalalamika kuhusu Islamic knowledge??

Divinity je??
 
Acha ujinga weka hoja, kwa nini mlalamike Islamic knowledge wakati huo huo kuna divinity?

Muamzisha uzi na wachangiaji ikiwemo wewe mmekurupuka na chuki zenu zilizopitiliza.

Mnajadili why Islamic knowledge??

na mnajifanya hamjui kuwa divinity ipo

Huna hoja bali kuleta kwa screen shot hii ya divinity katika combination kunadhihirisha utahira wenu
Mimi nimesoma divinity kwenye shule ambayo baba yangu kailipia nje ya ile kodi aliyotoa. Hatuhitaji serikali iingie kwenye kazi ya kufundisha walimu wa dini. Kama hamuwezi kusomesha watu wenu wenyewe tafuteni njia mbadala isiyotumia kodi yangu. Naweza kuwa kafiri lakini si ni kodi yangu? Maana yatawekwa kwenye shule za umma na sisi ndicho kitu hatukitaki. Shule za umma zifundishe masomo ya kawaida. Za dini ziongeze masomo ya dini yake hawakatazwi. Kuna box likiwa na nyoka wakali hutakiwi kulifungua unatakiwa kulichoma.
 
Hata kama sijafika, bado somo la dini liwe option tena kwenye shule za kidini tu. Mimi hunilazimishi kodi yangu imsomeshe shehe kwenye shule ya umma wala wewe sikulazimishi kodi yako imsomeshe mchungaji kwenye shule ya umma. Shule za dini zinaanzishwa na kuendeshwa na hela ambazo sijazichangia so hazinihusu.
Haihitaji mimi kufika chuo kikuu kujua hayo yote. Una haja ya kusoma kiarabu na islamic religion kuna shule chungu nzima zinafundisha hayo yote lakini sio zinazotumia kodi yangu hata shilingi moja kujiendesha. Huo unazi wa kidini fanyia msikitini kwako na kanisani kwako.
Yote yanakuja baada ya Islamic knowledge
 
Wapumbavu hawa, mtu ameangalia nusu anakuja kulia Lia JF
Wengi nadhani hawajui maana ya Divinity,wamezoea Bible knowledge,limewachanganya wengi wasiofuatilia mambo ya Dini,na kubaki wakristo kwa majina tu,hata X nimekuta post nyingi za kuchekesha.......
 
Mbona mnalalamika kuhusu Islamic knowledge??

Divinity je??
Narudia tena hata divinity sitaki lifundishwe kwa kodi yangu. Anayetaka kulisoma alitafute kwa gharama zake mwenyewe. Hatuwezi kuajiri padre kwa fedha za umma au mchungaji ili afundishe hilo somo. Tutatumia fedha zako kulipia kufundisha kafiri. Hilo ni kosa kama kweli unamjua vema mungu wako. Mimi wangu hataki nipeleke fedha zangu ikiwepo kodi yangu asipopataka
 
Na sijui kwa nini mnauchukia uislamu mbona sisi hatuwachukii nyinyi.
 
Back
Top Bottom