mkalusanga
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 369
- 446
Habari Za Miangaiko Familia yangu humu JF,
Naomba Muwe makini na Hizi Benki Mimi uwa Ninatoa pesa kwenye ATM Halafu napata Meseji ya Balance iliyobaki.
Sasa Leo nikaamua tu nipige Mahesabu pesa Nilizotumia kwa Miezi Mitatu Si nikakuta kuna Laki Tano haipo kucheki kumbe nilitoa Elfu Hamsini Siku hiyo ikaonyesha nimetoa Laki Tano.
Sasa Leo nimeenda Benki nimetoa Bank Statement kuangalia nimekuta tatehe niliyotoa Elfu Hamsini nilitoa Tena Laki Tano kitu Ambacho sio kweli.
Mimi nimebisha Sijatoa wakaniambia Basi kuna Mtu Anajua Namba yangu ya Siri ukweli Sijawahi Mps mtu yoyote namba yangu ya Siri wamesema Hawawezi Nisaidia.
Mimi ndo natskiwa nijue Nani Alitoa hiyo Pesa Ukweli Nimeumia Saana Unajua Pesa hii ni Nyingi Sana kwa Usawa huu humu kuna Watu waungwana naomba mnishauli nifanyeje pia Nimeambiwa Bank Statement Nitakatwa Elfu kumi na Mbili ni sawa tu Make nilikubali wakate nikiwa na Uhakika nitaludishiwa Pesa Zangu kuweni Makini Sana Msiseme Sijawashtua.