Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Hao na ndugu zao NMB malalamiko kuhusu hali hiyo yanazidi, na ukifuatilia hawakupi ushirikiano wa uhakika.Mimi ni CRDB
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao na ndugu zao NMB malalamiko kuhusu hali hiyo yanazidi, na ukifuatilia hawakupi ushirikiano wa uhakika.Mimi ni CRDB
Itakuwa kwa wakala. ATM huwezi kutoa 500k, unatoa kwa mafungu ya laki nne nne tu.Wacha kutumia atm ...pia waambie wakupe video ya saa ambayo pesa imetolewa kwenye atm kuna camera ....benki sikuizi zimekuwa kama ccm kuna organise crime ya wafanyakazi wao ndiyo wanafanya huo uhuni
Bank wezi. Two weeks nmejitumia $200 kwenye akaunti ila ajabu wamedeposite kwa akauntu 400000 tu.Habari Za Miangaiko Familia yangu humu JF,
Naomba Muwe makini na Hizi Benki Mimi uwa Ninatoa pesa kwenye ATM Halafu napata Meseji ya Balance iliyobaki.
Sasa Leo nikaamua tu nipige Mahesabu pesa Nilizotumia kwa Miezi Mitatu Si nikakuta kuna Laki Tano haipo kucheki kumbe nilitoa Elfu Hamsini Siku hiyo ikaonyesha nimetoa Laki Tano.
Sasa Leo nimeenda Benki nimetoa Bank Statement kuangalia nimekuta tatehe niliyotoa Elfu Hamsini nilitoa Tena Laki Tano kitu Ambacho sio kweli.
Mimi nimebisha Sijatoa wakaniambia Basi kuna Mtu Anajua Namba yangu ya Siri ukweli Sijawahi Mps mtu yoyote namba yangu ya Siri wamesema Hawawezi Nisaidia.
Mimi ndo natskiwa nijue Nani Alitoa hiyo Pesa Ukweli Nimeumia Saana Unajua Pesa hii ni Nyingi Sana kwa Usawa huu humu kuna Watu waungwana naomba mnishauli nifanyeje pia Nimeambiwa Bank Statement Nitakatwa Elfu kumi na Mbili ni sawa tu Make nilikubali wakate nikiwa na Uhakika nitaludishiwa Pesa Zangu kuweni Makini Sana Msiseme Sijawashtua.
Kwa vile bank statement unayo hapo hilo swali sasa hivi ungekuwa umeshalijibu kwamba inaonesha pesa ilitolewa kwa njia gani. Wala hilo nalo si la kusubiri kwenda kuuliza benki.Ndio Assnte ila Nimeumia Saana
Crdb wana atm zinatoa laki 6Itakuwa kwa wakala. ATM huwezi kutoa 500k, unatoa kwa mafungu ya laki nne nne tu.
Ila kuwa Makini na msg unayotumiwa, 50,000 inasomeka kirahisi kama 500,000.
Wasiliana na benk yako uwe unapata msg Kila unapotoa hela
Si waangalie kwenye camera jamani, mbona roho mbayaa hivyooHabari Za Miangaiko Familia yangu humu JF,
Naomba Muwe makini na Hizi Benki Mimi uwa Ninatoa pesa kwenye ATM Halafu napata Meseji ya Balance iliyobaki.
Sasa Leo nikaamua tu nipige Mahesabu pesa Nilizotumia kwa Miezi Mitatu Si nikakuta kuna Laki Tano haipo kucheki kumbe nilitoa Elfu Hamsini Siku hiyo ikaonyesha nimetoa Laki Tano.
Sasa Leo nimeenda Benki nimetoa Bank Statement kuangalia nimekuta tatehe niliyotoa Elfu Hamsini nilitoa Tena Laki Tano kitu Ambacho sio kweli.
Mimi nimebisha Sijatoa wakaniambia Basi kuna Mtu Anajua Namba yangu ya Siri ukweli Sijawahi Mps mtu yoyote namba yangu ya Siri wamesema Hawawezi Nisaidia.
Mimi ndo natskiwa nijue Nani Alitoa hiyo Pesa Ukweli Nimeumia Saana Unajua Pesa hii ni Nyingi Sana kwa Usawa huu humu kuna Watu waungwana naomba mnishauli nifanyeje pia Nimeambiwa Bank Statement Nitakatwa Elfu kumi na Mbili ni sawa tu Make nilikubali wakate nikiwa na Uhakika nitaludishiwa Pesa Zangu kuweni Makini Sana Msiseme Sijawashtua.
Crdb bank ya wezi ile...NMB ndo wezi koma
Banks wana discourage hizo mambo za kizamani kwa kutoza bei ya juu. Statements siku hizi unaeza pata online hata kupitia apps, kwends kwenye e mail address,Statement miezi mitatu Elfu kumi na mbili ? Duuh bank gani hiyo
Kama ni chini ya million 60 Rudi ukachukue zote zilizobaki uweke kwenye laini 4 za simuHabari Za Miangaiko Familia yangu humu JF,
Naomba Muwe makini na Hizi Benki Mimi uwa Ninatoa pesa kwenye ATM Halafu napata Meseji ya Balance iliyobaki.
Sasa Leo nikaamua tu nipige Mahesabu pesa Nilizotumia kwa Miezi Mitatu Si nikakuta kuna Laki Tano haipo kucheki kumbe nilitoa Elfu Hamsini Siku hiyo ikaonyesha nimetoa Laki Tano.
Sasa Leo nimeenda Benki nimetoa Bank Statement kuangalia nimekuta tatehe niliyotoa Elfu Hamsini nilitoa Tena Laki Tano kitu Ambacho sio kweli.
Mimi nimebisha Sijatoa wakaniambia Basi kuna Mtu Anajua Namba yangu ya Siri ukweli Sijawahi Mps mtu yoyote namba yangu ya Siri wamesema Hawawezi Nisaidia.
Mimi ndo natskiwa nijue Nani Alitoa hiyo Pesa Ukweli Nimeumia Saana Unajua Pesa hii ni Nyingi Sana kwa Usawa huu humu kuna Watu waungwana naomba mnishauli nifanyeje pia Nimeambiwa Bank Statement Nitakatwa Elfu kumi na Mbili ni sawa tu Make nilikubali wakate nikiwa na Uhakika nitaludishiwa Pesa Zangu kuweni Makini Sana Msiseme Sijawashtua.
Ha ha ha hii ilimkutaga demu wangu wakati anasoma chuo hakuwa na bom alikuwa Analipiwa na kakaake yupo nje ya nchi alikuwa anamtumia pesa kwa western union kisha anakuja anaziweka bank alikuwa anatumia Akiba ya pale MWANANYAMALA komakoma akawa anatoa pesa kwenye zile ATM za umoja hakuwa anaangalia salio yaan alikuwa achukui listZamani kuaccess camera ilikua bure tatizo linakuja mtu analalamika ameibiwa hela wakienda camera kucheki utasikia “aaah kumbe huyu, ni mke wangu” nadhani wakabadirisha utaratibu inakua case hadi polisi wanahusishwa hafu ndio unalipia kwahiyo ni msala hamna kusema uyu namjua (kama sijakosea)
Pole Sana, kuna system itakuwa haipo Sawa, pia nilipatwa na tatizo Hilo kwenye simu, hela unapotea tu lakini nilipofatilia inaonyesha ni mimi mwenyewe natoa wakati siyo hivyo, kuna system itakuwa inajivuruga.Habari Za Miangaiko Familia yangu humu JF,
Naomba Muwe makini na Hizi Benki Mimi uwa Ninatoa pesa kwenye ATM Halafu napata Meseji ya Balance iliyobaki.
Sasa Leo nikaamua tu nipige Mahesabu pesa Nilizotumia kwa Miezi Mitatu Si nikakuta kuna Laki Tano haipo kucheki kumbe nilitoa Elfu Hamsini Siku hiyo ikaonyesha nimetoa Laki Tano.
Sasa Leo nimeenda Benki nimetoa Bank Statement kuangalia nimekuta tatehe niliyotoa Elfu Hamsini nilitoa Tena Laki Tano kitu Ambacho sio kweli.
Mimi nimebisha Sijatoa wakaniambia Basi kuna Mtu Anajua Namba yangu ya Siri ukweli Sijawahi Mps mtu yoyote namba yangu ya Siri wamesema Hawawezi Nisaidia.
Mimi ndo natskiwa nijue Nani Alitoa hiyo Pesa Ukweli Nimeumia Saana Unajua Pesa hii ni Nyingi Sana kwa Usawa huu humu kuna Watu waungwana naomba mnishauli nifanyeje pia Nimeambiwa Bank Statement Nitakatwa Elfu kumi na Mbili ni sawa tu Make nilikubali wakate nikiwa na Uhakika nitaludishiwa Pesa Zangu kuweni Makini Sana Msiseme Sijawashtua.
Mtoa mada chukua hiiKwenye statement inaonesha alietoa alitoa kwa njia gani, ATM wakala au ndani.
Kama ndani au ATM kuna camera iyo siku, lipia elfu 15 kisha wa access.
Kama ni kwa wakala ndio ujue wakala gani wa wapi na alietoa alikua nani na alitumia simu au card.
Shida tupuHao na ndugu zao NMB malalamiko kuhusu hali hiyo yanazidi, na ukifuatilia hawakupi ushirikiano wa uhakika.