Kuweni makini na hakikisheni mkitoa pesa benki mnapata ujumbe wa salio lililobaki

Chukua ushauri huu ndiyo solution pekee utakayoweza saidika mkalusanga
Zamani kuaccess camera ilikua bure tatizo linakuja mtu analalamika ameibiwa hela wakienda camera kucheki utasikia “aaah kumbe huyu, ni mke wangu” nadhani wakabadirisha utaratibu inakua case hadi polisi wanahusishwa hafu ndio unalipia kwahiyo ni msala hamna kusema uyu namjua (kama sijakosea)
 
taja jina la bank kama kweli unauchungu lak 5 kubwa sana bwashee
 
Wacha kutumia atm ...pia waambie wakupe video ya saa ambayo pesa imetolewa kwenye atm kuna camera ....benki sikuizi zimekuwa kama ccm kuna organise crime ya wafanyakazi wao ndiyo wanafanya huo uhuni
 
Samahani kwa kukuita bro.
Mawakala wa mitaani wanawaibia sana watu pesa zao ukienda kutoa hela akikwambia uweke password zaidi ya mara moja ujue 99% umeibiwa, au ukiweka password zako na akaziona upo kwenye hatari ya kupigwa
Sasa Hilo ndo Tatizo kuna Muda ATM Haiko Karibu inabidi Uwatumie tuu ila Aisee Roho Inaniuma
 
Inatakiwa wakulipishe tu itskapo onekana aliye toa ni mtu wa familia na wewe umeondoa tuhuma za kuibiwa la sivyo huyo mtu akikamatwa ni muhalifu kama wahalifu wengine
 
Mbona ni jambo rahisi tu apo, wao wana uwezo wa kujua hela umetolea ATM ipi na muda gani,cctv ipo na wakuonyeshe
Kama ni wakala pia ifuatiliwe mana ungepata sms ya kutoa pia, ama uliipata ukapotezea🤷‍♂️
Ukifanikisha kugundua umepigwa fungua kesi ya madai,wakulipe muda wako wote na kwanini waibe,dai ata 15 m.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…