Kuweni makini na hakikisheni mkitoa pesa benki mnapata ujumbe wa salio lililobaki

Kumbe Hongera Uliludishiwa Pesa Yako Aisee ndomana nimesema yani Watu Wawe Makini
 
Pole Sana, kuna system itakuwa haipo Sawa, pia nilipatwa na tatizo Hilo kwenye simu, hela unapotea tu lakini nilipofatilia inaonyesha ni mimi mwenyewe natoa wakati siyo hivyo, kuna system itakuwa inajivuruga.
Umesema Ukweli Mkuu naona itakuwa hivyo
 
Itakuwa kwa wakala. ATM huwezi kutoa 500k, unatoa kwa mafungu ya laki nne nne tu.
Ila kuwa Makini na msg unayotumiwa, 50,000 inasomeka kirahisi kama 500,000.
Wasiliana na benk yako uwe unapata msg Kila unapotoa hela
Meseji Uwa napata mkuu
 
Kumbe Hongera Uliludishiwa Pesa Yako Aisee ndomana nimesema yani Watu Wawe Makini
Ushahidi ukiwepo na makaratasi yanaonyesha hivyo, hawawezi kukataa. Angalia kwa makini bank statement sehemu unayoona haieleweki pesa imetokaje, huo muda, tarehe, na taarifa nyingine muhimu zitakusaidia kupata pesa yako.
 
Mtu anaweza kukuibia fedha ikiwa ana kadi yako pamoja na password,vinginevyo hawezi kufanya lolote hata kama anajuwa password zako.
 
Itakuwa kwa wakala. ATM huwezi kutoa 500k, unatoa kwa mafungu ya laki nne nne tu.
Ila kuwa Makini na msg unayotumiwa, 50,000 inasomeka kirahisi kama 500,000.
Wasiliana na benk yako uwe unapata msg Kila unapotoa hela
Crdb skuiz inatoa adi laki6
 
Ushahidi ukiwepo na makaratasi yanaonyesha hivyo, hawawezi kukataa. Angalia kwa makini bank statement sehemu unayoona haieleweki pesa imetokaje, huo muda, tarehe, na taarifa nyingine muhimu zitakusaidia kupata pesa yako.
Sawa Asante Sana Kwa Ushauli
 
Mabenki ni wezi sana hawa jamaa ,kutoa pesa kwenye ATM gharama 2000/= ,Monthly Charges 15000/= ,kutuma pesa kwenda simu ukituma chini ya elfu 10 ni 2000/= yaani ni Wizzy Wizzy......BOT Kimyaaaaaa!!
 
Mabenki ni wezi sana hawa jamaa ,kutoa pesa kwenye ATM gharama 2000/= ,Monthly Charges 15000/= ,kutuma pesa kwenda simu ukituma chini ya elfu 10 ni 2000/= yaani ni Wizzy Wizzy......BOT Kimyaaaaaa!!
Yani Mkuu hapa kwenye Bank Statement kuna vimakato vingi vingiii sana
 
Inatakuwa angalau wakuambie pesa imetolewa kwenye ATM ipi, lini na saa ngapi, na namba ya card iliyotumika (kabla wewe hujawaonyesha namba ya card yako) hizo ni taarifa ambazo lazima wawe nazo kwenye mifumo yao. Zikipatikana wanaweza hata kumuona aliyetoa hiyo pesa kwenye CCTV
 
Pesa ilitolewa kwa njia gani? ATM au SIM banking? Badilisha namba yako ya siri haraka.

Kama ni ATM, Pia waulize location yake na uombe footage ya video camera (CCTV) kuona na alitoa pes. Wakikataa nenda polisi karipoti wizi.
 
Kwenye statement inaonesha alietoa alitoa kwa njia gani, ATM wakala au ndani.

Kama ndani au ATM kuna camera iyo siku, lipia elfu 15 kisha wa access.

Kama ni kwa wakala ndio ujue wakala gani wa wapi na alietoa alikua nani na alitumia simu au card.
Mimi nilichomolewa hela kupitia wakala, bank wakantrace wakanipa location na jina la wakala ili tukajaribu kucheki kwa kamera, wakala akanigomea huku akinijibu kwa jazba kwa hofu kuwa naweza nikawa mtu asie mwaminifu..nikajiondokea nikaachana nae
 
Ndio chanzo cha Mimi kutofuta miamala yangu ya kwenye simu hasa ule wa mwisho.. miamala wa mwisho ndio nautumia kufanya reference kwa unaofuata. Kisha ule recéntly ndio nauacha XD
 
Itakuwa kwa wakala. ATM huwezi kutoa 500k, unatoa kwa mafungu ya laki nne nne tu.
Ila kuwa Makini na msg unayotumiwa, 50,000 inasomeka kirahisi kama 500,000.
Wasiliana na benk yako uwe unapata msg Kila unapotoa hela
Wewe hizo atm za zamani, atm za kisasa zinatoka hadi laki 6 kwa mkupuo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…