Mayova
JF-Expert Member
- May 10, 2018
- 248
- 246
NAOMBA USOME KWA UMAKINI KABISA
Kwanza kabisa Hakuna pesa inayo patikana kiurahisi ,ukiona matangazo kwenye mitandao ya kijamii kama Fb , twitter, instagram wanatangaza kuhusu matumizi ya SMART PHONES ili kujipatia kipato bila kuathiri muda wako wa kazi, tafadhali usiyafuatilie wala kuya tilia mkazo maana yamekaa kiushawishi na utalipia hela ili kujiunga na ukisha lipia na kjiunga ndo utajua kama hakuna kitu chakukuingizia kipata
👉Kuna hii kitu inaitwa 26PESA inatangazwa sana kwenye mitandao kwenye mangazao yao kwenye mitandao hawaisemi kama inaitwa jina hilo la 26 pesa ila wao wanachokifanya nikwamba wanasisistiza kujiunga na hasa kwenye matangazo ya wanasema kama unahitaji kuunganishwa ili uwe unaingiza pesa kupitia simu yako andika kwenye comment neno NIFUNZE au wanaandika namba yao ya WhatsApp ili muwasiliane kupitia WhatsApp. Ukisha ingia wasap wanaanza kukushawishi, mfano wanatumia video ziko nyingi sana kwamba ukisha jiunga nao hizo video kazi yako wewe unakuwa unaclick na kuziangalia(watching video). Kila video wanakwambia labda ina tumia dakika 2. Kila video ukisha watch unaingiza sh 2000
Maskini ya Mungu unakaa unapiga mahesabu kwamba ukitenga muda wa angalau lisaa limoja unaingiza sh 60,000 ( hapo ukiangalia walau video 30) ,je ukikaa siku nzima unaangali tu hizo video siunaweza kufikisha milioni kwa siku?
Wanakushawishi nakukwambia ili kuweza kuangalia hizo video na kujipatia Pesa unalipia sh 14,000 wakuunganishe na hiyo 26PESA na wana app kabisa ya 26PESA. Mtoto wawatu unalipia sh 14,000 wanakupa lipa namba jina linakuja MOSSES TECHNOLOGY HELP COMPANY LIMITED
unapata profile yako baada ya kujisajili sasa hapo utaingiza Emaili yako ,majina yako watakwambia ujaze na namba yako ya simu itakayo kua inapokea hela 🤣🤣🤣 . Profile yako inawezehwa au unaingia kupita kweny app ya 26pesa
Ukisha ingia humo unakuwa na hamu ya kuanza kuangalia hizo video ili kujipatia kipato 😭😭😭 . Nikweli kuna tu video kama tuwili hivi tunafunguka mwanzoni tu baada kuifungua profile yako baada hapo hakuna kitu kinacho funguka cha kukuingia hizo pesa.
Ukirudi kwa aliye kuunganisha kuuliza kwamba mbona video hazifunguki ? Anakupa namba ya mtu anayemuita kiongozi ili uwasiliane naye akupe maelekezo nini cha kufanya. Ukimtafuta huyo kiongozi anakutumia maelekezo ya dakika kama 18 hivi unayasikiliza , ambapo anakwambia kupata kipato inabidi uwe unawaunganisha watu wengine wajiunge kwenye hiyo 26PESA ili sasa wewe ujipatie kipato na kadri watu wanavozidi kujiunga zaidi kupitia wewe, wewe ndio unapata kipato zaidi . Kumbuka hao watu unao washawishi nao wanatakiwi kulipia hiyo sh14,000 . Unajikuta automatically na wewe unaingia kwenye utapeli
Unarudi unaanza kuwaza umshawishi nani ili ajiunge ?😀😀😀😀 hapo pia unawaza kwamba inamaana ile 14,000 elfu umeshaliwa bure? .
Wazee hakuna pesa zinazo patikana kiurahisi
KUMBUKA KUNA MATANGAZO NI MENGI SANA KWENYE MITANDAO HUKO KILA MTU ANATANGAZA. HAO WOTE NI KAMPUNI MOJA TU YA 26 PESA
HAO WOTE NI MATAPELI WAKUBWA USIJICHANGANYE UTAPOTEZA PESA ZAKO
KUMBUKA 26PESA SIYO YA MUDA MREFU IMEANZA MWEZI WA 12- 2025
👉Kama kunasehemu hujaelewa niulize . Kataa natapeli
Siku hizi matapeli wanambinu nyingi sana
Mfano wa link anayo kutumia ili ujiunge inakuwa hivi
26pesa.store