Kuweni makini na huyu mtu

Once a teacher, always a teacher. Kwenye intelijensia ni hivyo pia. Ukikipenda kitu, na ukakimudu, na ukajibidiisha kuji-keep up-to-date unaweza kuwa bora katika fani husika mpaka mwisho wa uhai. Pengine bora kuliko "waliopo kazini."
 
Jambo hili linawezekana sana tu, kama tu utajua mtaala gani wanatumia TISS kwa sasa hasa PSU. Mambo mengine acha niwaachie wenyewe wana vitengo. Naamini Serikali ndio ina taarifa sahihi zaidi za kinacho endelea na ukimywa wa serikali una maana pia.
 
Inawezekana hata TISS hawafahamu lolote!
 
Mkuu tunachezewa mindgames
Mambo yao haya nimeona kuna jambo linatengenezwa, ni kheri kukaa nao mbali hawa watu. Hizi hekaya zina athari na mwisho wa siku kuna mmoja atacheka na mwingine atalia
 
Ni ngumu sana kwa Diwani kutokujua mambo! Kumbuka yule ndiyo ana report kwa Rais moja kwa moja! Sasa asipojua mambo si ni hatari hii! Ungesema kila kitengo kina siri zake!
Diwani hawezi jua pia kila kitu. Anareport taarifa ambazo zimechambuliwa na watendaji wengine. Na kuna vitengo haviwajibiki kwa diwani moja kwa moja. Huwezi kabiziwa TISS yote 😀😀😀.. hii ipo kwenye vyombo vyote vya usalama.. kuna nondo humo zikiona unaleta umbuzi ndio utashangazwa na roho yako 😀😀
 
LIHACHA naona kama MWEHU fulani hivi.
 
Kuna wanaharakati kama unawajua kwa ukaribu ni waoga tu lakini kutwa kuinanga serikali alafu hawaguswi! Nanga wewe sasa! Tafuta ugali wako achana na mambo ya watu usiowajua.
 
Kuna wanaharakati kama unawajua kwa ukaribu ni waoga tu lakini kutwa kuinanga serikali alafu hawaguswi! Nanga wewe sasa! Tafuta ugali wako achana na mambo ya watu usiowajua.
Point kubwa sana hii. Unaweza jilete mtu shida na familia kubaki na machozi kwa kushabia mambo ambayo hayakuhusu
 
such information ni ngumu kuzifaham. mtu kama huyo hawezi weka sources wake nje. why?
the moment anaweka.. ata wa expose wenzie au mtandao wake wote anao shirikiana nao.

how ever kwa issue ya kigogo its pretty different.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…