Wadau habari zenu,
Utafiti wangu wa kina umebaini kuwa watu wengi Leo hii wanajenga kwa kasi sana nyumba za kisasa zisizoonyesha bati lake. Ila wengi mno wanalia kipindi cha mvua, hazitililishi maji vizuri na hivyo kuharibu sana Ceiling boards na Gypsum na kulowanisha kuta.
Nimeshuhudia wengi wakipata hasara kubwa na kuibuka kwa magomvi mengi kati ya mafundi na wenye nyumba. Kuweni makini, kama vipi jengeni za kawaida tu.
Tatizo watu wengi wanapenda Sana ujenzi horera, Yani unakuta mtu hatumii mtaalamu wa Raman au anachukua ramani za mtandaoni, na pia anajitafutia fundi na kuanza kujenga. Hayo yote ni kubana matumizi kweny ujenzi, bila kujua kuwa kweny ujenzi kadili unavyobana matumizi ndo hivyohivy unavyoongeza matumizi ya Hera hapo baadae bila kujua.
Kabla sijaendelea, naomba kusema hivi. Nyumba za kisasa zikivuja husiraumu aina ya nyumba, Bali jiraumu wew mwenyew kwa kushindwa kutafta wataalamu na mafundi wazuri na kufaata taratibu za ujenzi Bora . Kwa Nini? Kweny hatua ya uchoraji ramani , mtaalamu anabidi aje kweny eneo lako astudy climate ya eneo mostly rainfall/precipitation data, kutokana pia na kubwa wa roof ajue atatumia roof angel ipi na concrete gutter size ipi, na pia drainage pipe za diameter gani na ngap, haya yote architect or engineer ndo anahusika hapa, Sasa wengi haya yote wanamuachia fundi.
Baada ya kupata mtaalamu mzuri wa ramani, wew Kama mteja husitafte fundi, hapa Sasa ndo shida ilipo pia, utasikia client anasema Nina mjomba wangu ni fundi naomba mumuite huyo[emoji1787][emoji1787], jaman mambo ya professional hayaitaji undugu yanaitaji knowledge and experience.
Mwambie aliekucholea ramani akutaftie fundi, ikiwezekana wape kabisa waliokucholea ramani wakujengee zipo kampuni nyingi Tena zenye gharama nafuu watakusaidia, hii pia advantage yake endapo nyumba ikawa na tatizo unaweza kucrame na ukasaidiwa maana hizi kampuni zimesajiliwa.
Mwisho sitangazi biashara ila ukitaka watu wenye gharama nafuu na wapo vizuri kweny hizi nyumba za kisasa watafute Hawa jamaa wanajiita SIYAD gHOME.+255673242054. Watakusaidia.