MTV MBONGO
JF-Expert Member
- Feb 18, 2016
- 1,281
- 1,251
- Thread starter
- #21
DuhMaji ya kuoga yenyewe hawana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DuhMaji ya kuoga yenyewe hawana
KumbeeMafundi vishoka wengi wamevamia hii fani ndio maana
Wengine ni wazoefu mbonaNa mafundi njaa
Ila nyumba zake ni Kali, zinavutiaHiyo raman siipendi basi tu
wanadai ni contemporary designs ilhali ni fashion za enzi za vasco da gamaWadau habari zenu,
Utafiti wangu wa kina umebaini kuwa watu wengi Leo hii wanajenga kwa kasi sana nyumba za kisasa zisizoonyesha bati lake. Ila wengi mno wanalia kipindi cha mvua, hazitililishi maji vizuri na hivyo kuharibu sana Ceiling boards na Gypsum na kulowanisha kuta.
Nimeshuhudia wengi wakipata hasara kubwa na kuibuka kwa magomvi mengi kati ya mafundi na wenye nyumba. Kuweni makini, kama vipi jengeni za kawaida tu.
Hizi nyumba zinajengwa sana huko Uarabuni maeneo ambayo yanafanana na Jangwa kwa sababu hamna mvua za mara kwa mara na kina joto kali kwa hyo wanaepuka joto linalosababishwa na bati..Wadau habari zenu,
Utafiti wangu wa kina umebaini kuwa watu wengi Leo hii wanajenga kwa kasi sana nyumba za kisasa zisizoonyesha bati lake. Ila wengi mno wanalia kipindi cha mvua, hazitililishi maji vizuri na hivyo kuharibu sana Ceiling boards na Gypsum na kulowanisha kuta.
Nimeshuhudia wengi wakipata hasara kubwa na kuibuka kwa magomvi mengi kati ya mafundi na wenye nyumba. Kuweni makini, kama vipi jengeni za kawaida tu.
vishoka wapo kwa sababu waTZ hatujazoea halali kila kitu ni ujanja ujanja hata kwenye vile vinavyohitaji utaalam.Mafundi vishoka wengi wamevamia hii fani ndio maana
Unadhani wanapenda..hali za uchumi hazruhusu.Hizi kazi zetu za ujenzi, kadri unavyokua bahiri ndivyo unavyopunguza ubora wa hicho unachokijenga.
Fundi unaemlipa 20k kwa siku, lazima wewe uwe mtaalam wa ujenzi na ufanye usimamizi wa uhakika. Tofauti na hapo, tafuta fundi mzoefu, muuzie kazi yote then utegemee utaalam wake!
Wabongo mmegoma kutumia wataalam wa ujenzi, ila yakiwakuta huko malalamiko hayaishi. Haya mambo sisi tumekaa darasani miaka minne, tukafundishwa namna ya kudeal nayo. Usitegemee "fundi Maiko" akutolee kitu chenye ubora sawa na sisi!
Nikweli kabisaWadau habari zenu,
Utafiti wangu wa kina umebaini kuwa watu wengi Leo hii wanajenga kwa kasi sana nyumba za kisasa zisizoonyesha bati lake. Ila wengi mno wanalia kipindi cha mvua, hazitililishi maji vizuri na hivyo kuharibu sana Ceiling boards na Gypsum na kulowanisha kuta.
Nimeshuhudia wengi wakipata hasara kubwa na kuibuka kwa magomvi mengi kati ya mafundi na wenye nyumba. Kuweni makini, kama vipi jengeni za kawaida tu.
Sikilizeni. Tanzania ukihesabu nyumba ambazo zina ubora i.e. zimejengwa kwa kufuata utaalam sidhani kama utapata hata asilimia 30. Nchi yetu watu wanaunganisha matofali na kupiga bati juu lakini hawajengi nyumba. Wenzetu majuu wakijenga wanajua hata nyuzi joto ndani itakuwa kiasi gani. Wanajua mzunguko wa hewa unaotakiwa... ni mambo mengi. Mtaani mafundi asilimia kubwa ni vilaza.Ubahiri wenu ndio unawaponza.
Mm nazijenga Sana na Wala hazivuji
Hizo Ni nyumba Kali Sana ila sio za kujenga maskini na kuokoteza mafundi..Wadau habari zenu,
Utafiti wangu wa kina umebaini kuwa watu wengi Leo hii wanajenga kwa kasi sana nyumba za kisasa zisizoonyesha bati lake. Ila wengi mno wanalia kipindi cha mvua, hazitililishi maji vizuri na hivyo kuharibu sana Ceiling boards na Gypsum na kulowanisha kuta.
Nimeshuhudia wengi wakipata hasara kubwa na kuibuka kwa magomvi mengi kati ya mafundi na wenye nyumba. Kuweni makini, kama vipi jengeni za kawaida tu.
Local fundi ndio analipwa hiyo 15-20,000 ila walau fundi wa kampuni Ni 30,000 kwenda mbele.Kwani nyie mnawalipa mafundi bei gani?
Pamoja na hayo nyumba za contemporary sio za fundi Michael,tumia kampuni za ujenzi na gharama Ni nafuu..Sikilizeni. Tanzania ukihesabu nyumba ambazo zina ubora i.e. zimejengwa kwa kufuata utaalam sidhani kama utapata hata asilimia 30. Nchi yetu watu wanaunganisha matofali na kupiga bati juu lakini hawajengi nyumba. Wenzetu majuu wakijenga wanajua hata nyuzi joto ndani itakuwa kiasi gani. Wanajua mzunguko wa hewa unaotakiwa... ni mambo mengi. Mtaani mafundi asilimia kubwa ni vilaza.
Mkuu ulitumia fundi wa kawaida?Wadau habari zenu,