Muwa mtamu
JF-Expert Member
- Jun 13, 2020
- 847
- 1,599
Mkuu ulitumia fundi wa kawaida?Wadau habari zenu,
Utafiti wangu wa kina umebaini kuwa watu wengi Leo hii wanajenga kwa kasi sana nyumba za kisasa zisizoonyesha bati lake. Ila wengi mno wanalia kipindi cha mvua, hazitililishi maji vizuri na hivyo kuharibu sana Ceiling boards na Gypsum na kulowanisha kuta.
Nimeshuhudia wengi wakipata hasara kubwa na kuibuka kwa magomvi mengi kati ya mafundi na wenye nyumba. Kuweni makini, kama vipi jengeni za kawaida tu.
Mimi ni mjenzi profesheno nione nikushauri tu hutojuta