Kuweni makini: Nyumba za kisasa zisizoonyesha bati juu zinavuja mno, msikimbilie kujenga

Mkuu ulitumia fundi wa kawaida?

Mimi ni mjenzi profesheno nione nikushauri tu hutojuta
 
 
Kwa hii video izungukayo mtandaoni ni heli angepanda mwembe akajificha chini yake ktk kipindi cha mvua,kifupi nyumba hana.
 
Vizuri hebu tuonyeshe picha za kazi zako
Mkuu sijaja kutafuta wateja bali kutoa ushauri.
Nina wateja humu kurusha picha za wateja bila ridhaa haifai nitapoteza wateja.

Vinginevyo pitia uzi wangu ujifunze

 
Kwa hii video izungukayo mtandaoni ni heli angepanda mwembe akajificha chini yake ktk kipindi cha mvua,kifupi nyumba hana.
Boss nyumba hizo jazina tatizo bali wajenzi wana matatizo au mapungufu.

Unatakiwa kuanzia msingi ujenge kitu kinaitwa duct yaani kitu kama dohali kwa lengo la kuvuna maji na isiwe moja.
 
H
Unazungumzia nyumba zipi?Hidden roof au open roof?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…