jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Jamaa hawanaga akili hao..dini ni ulevi kama ulevi mwingine..wameshalewa mvinyo wa dini hao..Kwahiyo wewe ukipewa jina la Frank tayari unakuwa ni mzungu? Alipewa jina la kimisri kwasababu yule bint aliemuokota alikuwa ni mmisri. Au ulitaka akae bila jina?
Ngoja kidogo nichangie hapa,,story ilianza Abrahamu anahamia caanan,akitokea Ur ya mesopotamia,today iraq,Twende sawa uislamu ulianza lini?na ukristo nauyahudi ulianza lini?mwenye akili timamu atajua tu uislamu ni falsafa mfu ya kukopi na paste kati ya ukristo na uyahudi.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Mitume wote ni Waislamu.Twende sawa uislamu ulianza lini?na ukristo nauyahudi ulianza lini?mwenye akili timamu atajua tu uislamu ni falsafa mfu ya kukopi na paste kati ya ukristo na uyahudi.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Kujadili jambo na watu kama nyinyi ambao mmeishalishwa uislamu na ukristo ni kupoteza muda. Dini ni ujinga.Nazidi kucheka sababu unaonekana hujui kusoma Qur'aan.
Nionyesha hiyo sehemu katika aya hakuna hiyo sehemu. Tena ukisoma matini ya aya kuna tamko "Aslaam".
Nimekupa kazi kwanini umeweka kipande cha matini ya aya ukaacha matini ya mwanzo ambayo imeongelea Taurati na Kiislamu ?
Ukimuita mwenzako anayejua kusoma atakucheka. Yaani kijana una vituko balaa. Someni aisee.
Highlight hiyo matini.Kujadili jambo na watu kama nyinyi ambao mmeishalishwa uislamu na ukristo ni kupoteza muda. Dini ni ujinga.
Hapo kwenye red, kwani Musa aliongoza akina nani toka Misri?UTANGULIZI
Masiku yamepita huku nikitamani sana kuandika chochote kuhusu Uyahudi na Wayahudi. Kuandika kuhusu chimbuko lao, kuandika kuhusu uhusiano wao na wana wa Israeli,kuandika kuhusu itikadi zao, kuandika kuhusu madai yao kwa nabii wa Mola muumba Musa mwana wa Imraan mwana wa Quhaata mwana wa Lawi mwana wa Yaqoub mwana wa Is'haak mwana wa Ibrahiim.
Lakini kalamu zimeshanyanyuka na wino umeshakauka na historia iliandikwa kitambo sana na wakubwa zetu kwa ubora, wakubwa zetu kwa maarifa na wakubwa zetu kwa umri, na nachokifanya mimi ni kurejea kwao na wala sitaandika jipya ambalo wao hawakuliandika,yaani kwa ufupi sitazua.
Maneno nitakayo yahudhurisha kwenu katika mfululizo wa anuani hii "KUYAFUNUA YALIYO FUNIKWA" ni natija au zao la utafiti wangu wa muda mrefu juu ya historia ya watu hawa. Lakini marejeo yangu hasa hasa yamemili katika vitabu viwili, ambavyo nitavitaja mwishoni mwa mada hii, yaani nikiwa nahitimisha somo hili.
Nini maana ya Uyahudi?
Katika kudurusu tamko hili la "Uyahudi" nitapita katika mapito mawili tofauti, pito la kilugha na pito la kiistilahi.
Maana ya Uyahudi kilugha
Wametofautiana wanazuoni juu ya tamko hili, wapo wanaosema tamko hili limetokana na lugha ya kiarabu katika tamko "al Huud" lenye maana ya toba (kutubia) na kurejea katika utiifu (kutokana na maovu aliyo yafanya mtu).
Wengine wakakataa na kusema hakika tamko hili si lenye asili ya Kiarabu, bali limetokana na mmoja wa watu kutoka katika ukoo (uzao) wa wana wa Israeli naye si mwingine bali ni "YAHUUDHA" (Huyu tutamuelezea kwa undani huko mbeleni) au tamko "Uyahuud/Yahuud" limetokana na ile dola iliyo anzishwa kusini mwa nchi ya Palestina baada kupita nabii Suleyman na hii ndiyo kauli yenye nguvu.
Maana ya Uyahudi kiistilahi
Uyahudi kiistilahi maana yake ni wale watu wanao dai ya kuwa wana mfata nabii Musa.
Sehemu ya pili post #28
Sehemu ya tatu post #113
Tofauti na Mahindu na Mabudha hawa hawajinasibishi na mtume yeyote ila Mayahudi wanajinasibisha na nabii Musa hali ya kuwa hawana uhusiano wowote na nabii Musa,hili nitalithibitisha huko mbeleni panapo majaliwa.
Wana wa Israeli.Hapo kwenye red, kwani Musa aliongoza akina nani toka Misri?
Fine! Hao Wana wa Israel walikuwa na dini gani? Na huyo Musa alikuwa na dini gani?Wana wa Israeli.
Kwani Quran Tukufu inasemaje kuhusu Uyahudi, kwamba ulianza lini?Mitume wote ni Waislamu.
Uyahudi haijulikani hasa ulianza lini wapo wanao sema baada ya nabii Suleyman,wapo wanao sema baada Musa,lakini kipindi cha nabii Musa Uyahudi haukuwepo.
Ukristo umeanza baada ya kuondoka nabii Issa kuondoka.
Wapo walio kuwa Waislamu,na Musa ni Muislamu.Fine! Hao Wana wa Israel walikuwa na dini gani? Na huyo Musa alikuwa na dini gani?
Hakuna katika Qur'aan aya inayo wazungumzia Mayahudi ila kwa ubaya.Kwani Quran Tukufu inasemaje kuhusu Uyahudi, kwamba ulianza lini?
Itakuwaje katika Qur"aan hakuna haya ya kuzungumzia Mayahaudi wakati, Qur'aan haijaacha chochote?Hakuna katika Qur'aan aya inayo wazungumzia Mayahudi ila kwa ubaya.
Haijulikani lini hasa Uyahudi ulianza wapo wanao sema kipindi cha nabii Musa na wapo wanao sema baada ya utawala wa nabii Suleyman.
So, Musa (Muislamu) aliongoza Wasiowaislamu (Makafiri) toka Misri kwenda nchi ya Kanaani?Wapo walio kuwa Waislamu,na Musa ni Muislamu.
Qur'aan haijaacha kitu kwa maana ya muongozo,ndiyo maana hukuti katika Qur'aan namna ya kupika ugali,ila katika Qur'aan utakuta namna kuutafuta ukweli,kuishi na watu kwa wema kuepuka maasi na mfano wa hayo.Itakuwaje katika Qur"aan hakuna haya ya kuzungumzia Mayahaudi wakati, Qur'aan haijaacha chochote?
Hii ndiyo maana ya Mtume. Musa alio waongoza ni wafuasi wake na wafuasi wa Musa ni Waislamu. Bali Musa alipelekwa kwa Makafiri,katika hao Makafiri wapo walio muamini na kumfata Musa hawa ndiyo huitwa Wafuasi wa Musa ambao nao ni Waislamu.So, Musa (Muislamu) aliongoza Wasiowaislamu (Makafiri) toka Misri kwenda nchi ya Kanaani?
uyahudi ulianza baada ya kifo cha sulemani, na ilikua ni matokeo ya kutengana kwa makabila 12 ya israel ambapo makabila 11 yaliunga na kuendelea na jina la israel na makao yake makuu yakawa Samaria, kabila la yuda likasimama kivyake na makao yake makuu yakabaki yerusalem....Hakuna katika Qur'aan aya inayo wazungumzia Mayahudi ila kwa ubaya.
Haijulikani lini hasa Uyahudi ulianza wapo wanao sema kipindi cha nabii Musa na wapo wanao sema baada ya utawala wa nabii Suleyman.
Hapa ndipo tatizo lilipo. Uyahudi ni dini na si kabila.kwahiyo huwezi sema kwamba wayahudi ikimaanisha watu wa kabila la yuda hawana uhusiano na israel na haiwezekani kuutenganisha uyahudi na torati ya musa