Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Miaka 40 unapiz nini kama sio upepoUnakuta kijana amezaa akiwa na umri mdogo, na kuanza kubeba majukumu mazito ndani ya umri mdogo, ata maisha anakuwa hajayafurahia.
Mbaya zaidi anazaa watoto wengi, inayopelekea katika maisha yake yote ya ujanani mpaka uzeeni anaishi kwa kuteseka, kwa kugharamia familia kwenye mahitaji na elimu.
Ukitaka kushuhudia hili, mtazame mwenzako au ata jirani yako hapo mtaani, hawana furaha kabisa, wote wanawaza mwezi januari watavukaje.
Ile ya kusema kila mtoto anakuja na bahati yake hiyo haipo siku hizi, we zaa angalau ukiwa na miaka 40+, ndio maana wenzetu nje wanazaa watoto 2 au 1.
Kuna machaguo ya kijinga pia.Mmh! Maisha ni machaguo kila mtu achague lake analoona ni sahihi
Muoga wewe miaka 40 mwanamke au mwanaume? Amna unachojua chizi wewe! labda useme kuzaa watoto wengi ktk umri mdogo lkn kijana uwe wa kike au kiume miaka 30+ huna mtoto na hamna shida yoyote ya kiafya ujue tatizo lipo kwny akili zakoUnakuta kijana amezaa akiwa na umri mdogo, na kuanza kubeba majukumu mazito ndani ya umri mdogo, ata maisha anakuwa hajayafurahia.
Mbaya zaidi anazaa watoto wengi, inayopelekea katika maisha yake yote ya ujanani mpaka uzeeni anaishi kwa kuteseka, kwa kugharamia familia kwenye mahitaji na elimu.
Ukitaka kushuhudia hili, mtazame mwenzako au ata jirani yako hapo mtaani, hawana furaha kabisa, wote wanawaza mwezi januari watavukaje.
Ile ya kusema kila mtoto anakuja na bahati yake hiyo haipo siku hizi, we zaa angalau ukiwa na miaka 40+, ndio maana wenzetu nje wanazaa watoto 2 a
Kwa mtoto wa kiume atleast 28 uwe ushafyatua kwa kikeni ni miaka 23+kama ni msomi kama si msomi basi 19+Kila kitu kina faida na hasara kwenye haya maisha Duniani.
Kuzaa mapema kuna faida na hasara zake, same na kuchelewa kuzaa mapema.
Kwa ambae haja soma wa kiume atleast 24+Kwa mtoto wa kiume atleast 28 uwe ushafyatua kwa kikeni ni miaka 23+kama ni msomi kama si msomi basi 19+
Huyo kwenye majukumu hatesekikuna kaka yangu watoto wake ni wajukuu zake kiumri..
Kwa uandishi huu humpi shida anaesoma maandishi yako kujisumbua kujiuliza utambuzi wako ni wa namna gani!Unakuta kijana amezaa akiwa na umri mdogo, na kuanza kubeba majukumu mazito ndani ya umri mdogo, ata maisha anakuwa hajayafurahia.
Mbaya zaidi anazaa watoto wengi, inayopelekea katika maisha yake yote ya ujanani mpaka uzeeni anaishi kwa kuteseka, kwa kugharamia familia kwenye mahitaji na elimu.
Ukitaka kushuhudia hili, mtazame mwenzako au ata jirani yako hapo mtaani, hawana furaha kabisa, wote wanawaza mwezi januari watavukaje.
Ile ya kusema kila mtoto anakuja na bahati yake hiyo haipo siku hizi, we zaa angalau ukiwa na miaka 40+, ndio maana wenzetu nje wanazaa watoto 2 au 1.
Kwa mtoto wa kiume atleast 28 uwe ushafyatua kwa kikeni ni miaka 23+kama ni msomi kama si msomi basi 19+
Unakuta kijana wa miaka 25 ameanza kuitwa baba, hapo ujana ataufurahia kweli zaidi ya kujibebesha majukumu mazito?Muoga wewe miaka 40 mwanamke au mwanaume? Amna unachojua chizi wewe! labda useme kuzaa watoto wengi ktk umri mdogo lkn kijana uwe wa kike au kiume miaka 30+ huna mtoto na hamna shida yoyote ya kiafya ujue tatizo lipo kwny akili zako
Unakuta kijana wa miaka 25 ameanza kuitwa baba, hapo ujana ataufurahia kweli zaidi ya kujibebesha majukumu mazito?
Miaka sahihi ya kuzaa ni kuanzia 30 kwa mwanaume, 27 kwa mwanamke.Kwa mtoto wa kiume atleast 28 uwe ushafyatua kwa kikeni ni miaka 23+kama ni msomi kama si msomi basi 19+
Hizo ni theory tu mkuu mda wowote tu kina happen nilitamani kuzaa under 25🥶Ila huo umri ukapitaMiaka sahihi ya kuzaa ni kuanzia 30 kwa mwanaume, 27 kwa mwanamke.
Nakuunga mkono 100% wengi tunateseka kwa kuzaa watoto wengi tunaoshindwa kuwatunza na kuwaleaUnakuta kijana amezaa akiwa na umri mdogo, na kuanza kubeba majukumu mazito ndani ya umri mdogo, ata maisha anakuwa hajayafurahia.
Mbaya zaidi anazaa watoto wengi, inayopelekea katika maisha yake yote ya ujanani mpaka uzeeni anaishi kwa kuteseka, kwa kugharamia familia kwenye mahitaji na elimu.
Ukitaka kushuhudia hili, mtazame mwenzako au ata jirani yako hapo mtaani, hawana furaha kabisa, wote wanawaza mwezi januari watavukaje.
Ile ya kusema kila mtoto anakuja na bahati yake hiyo haipo siku hizi, we zaa angalau ukiwa na miaka 40+, ndio maana wenzetu nje wanazaa watoto 2 au 1.
Ukitaka uzeeke mapema kwa majukumu, zaa mapema.Kwa uandishi huu humpi shida anaesoma maandishi yako kujisumbua kujiuliza utambuzi wako ni wa namna gani!
Vijana wa leo mmehorojeka hamjui kama mnaenda mbele au mnarudi nyuma,unasema ”we zaa angalau ukiwa na miaka 40+” huku hapo unapoamkia una baba aged 40+ aliyekuzaa wewe hata sasa umekua unajua kuna umuhimu wa kuzaa.
Unataka tuache kuzaa halafu tukodishe nguvu kazi na wahamiaji toka nchi za KobazUnakuta kijana amezaa akiwa na umri mdogo, na kuanza kubeba majukumu mazito ndani ya umri mdogo, ata maisha anakuwa hajayafurahia.