Hiyo haina shida, muhimu ni wapate mahitaji muhimu. Tatizo sisi tunazaa kama fashion au kutimiza wajibu tu kwamba umezaa ila kiuhalisia huna furaha na hiyo familia kwasababu ya majukumu.kuna kaka yangu watoto wake ni wajukuu zake kiumri..
Nikweli kabisaUkitaka uzeeke mapema kwa majukumu, zaa mapema.
Hatufanani na hivyo mifumo ya maisha yetu pia hatofanana kamwe!Unakuta kijana amezaa akiwa na umri mdogo, na kuanza kubeba majukumu mazito ndani ya umri mdogo, ata maisha anakuwa hajayafurahia.
Mbaya zaidi anazaa watoto wengi, inayopelekea katika maisha yake yote ya ujanani mpaka uzeeni anaishi kwa kuteseka, kwa kugharamia familia kwenye mahitaji na elimu.
Ukitaka kushuhudia hili, mtazame mwenzako au ata jirani yako hapo mtaani, hawana furaha kabisa, wote wanawaza mwezi januari watavukaje.
Ile ya kusema kila mtoto anakuja na bahati yake hiyo haipo siku hizi, we zaa angalau ukiwa na miaka 40+, ndio maana wenzetu nje wanazaa watoto 2 au 1.
Kinachokusumbua wewe ni rika tu siyo kwamba unayajua sana maisha.Ukitaka uzeeke mapema kwa majukumu, zaa mapema.
Ujana upi unaosemea wewe?Unakuta kijana wa miaka 25 ameanza kuitwa baba, hapo ujana ataufurahia kweli zaidi ya kujibebesha majukumu mazit
Raha ipi??? Tunajaribu kuziishi falsafa za kizazi Cha tatu kilichopita wakati mazingira hayaruhusu.Wewe unamjua mtoto mkubwa wa P funk unamjua mtoto wa lowasa, unamjua mtoto wa amani karume yule shangazi, unamjua mtoto Gardner, unamjua mtoto mkubwa wa ruge, unamjua mtoto mkubwa wa dudu baya wewe kuza before 26 kuna raha yake😬lakini sishauri
Sio theory mkuu ndio maana kwenye practical wewe ulishindwa. Ndio maana wataalamu wakaja na hitimisho kwamba umri ambao mwanaume anakua yuko kikamilifu kua na familia ni kuanzia miaka 30.Hizo ni theory tu mkuu mda wowote tu kina happen nilitamani kuzaa under 25🥶Ila huo umri ukapita
Mkuu kila jambo lina faida na hasara, shuhuda akiwa ni mimi.Unakuta kijana amezaa akiwa na umri mdogo, na kuanza kubeba majukumu mazito ndani ya umri mdogo, ata maisha anakuwa hajayafurahia.
Mbaya zaidi anazaa watoto wengi, inayopelekea katika maisha yake yote ya ujanani mpaka uzeeni anaishi kwa kuteseka, kwa kugharamia familia kwenye mahitaji na elimu.
Ukitaka kushuhudia hili, mtazame mwenzako au ata jirani yako hapo mtaani, hawana furaha kabisa, wote wanawaza mwezi januari watavukaje.
Ile ya kusema kila mtoto anakuja na bahati yake hiyo haipo siku hizi, we zaa angalau ukiwa na miaka 40+, ndio maana wenzetu nje wanazaa watoto 2 au 1.
Huu mfumo umeshashindwa sio mfumo sahihi tena wa maisha.Faida ya kuzaa mapema ni kuhangaikia watoto ukiwa bado na nguvu na pesa. Umri ukienda ni vigumu kutafuta pesa na wakati huo watoto wanahitaji karo na mahitaji mengine.
Mnachekesha vijana wadogo, mimi am 44yrs, na nipo fire vibaya sana, siri kubwa nafanya mazoezi makali,nakunywa tangawizi,mdalasini,karafuu, na kingine karanga kwa sana,na vyakula vya proten,Miaka 40 unapiz nini kama sio upepo
Hongera kwa kuwahi, ninaunga mkono sana kuzaa mapema na kuchukua majukumu ya malezi mapema.Inategemea familia watachukulia vip mkuu , mimi nilipata mtoto wangu wakwanza na miaka 16 na miezi 8
Nna jiran yangu ana miaka 56,ana mtoto wa miaka 2kuna kaka yangu watoto wake ni wajukuu zake kiumri..
Kabla ya utafiti, mtoa mada asisikilizwe, kwamba wanaozaa mapema huzeeka haraka au wanaochelewa kuzaa. Wamehojiwa watu wangapi kwa makundi tofauti.Kinachokusumbua wewe ni rika tu siyo kwamba unayajua sana maisha.
Nakuacha utanipotezea muda.
Kwann?!!Huyo kwenye majukumu hateseki