Kuzaa mapema sio kupata msaada/ suluhu za uzeeni

katika kitu naona nilifanya mistake ni kutozaa mapema.
ningezaa nikiwa na 23 mpaka 30 nafunga nna watoto wa3 halafu nalea sasa ningekua nazeeka nikiwa tayari wanangu wana Fyucha yao ambayo naiona, namimi najizeekea nikiwa na amani rohoni.

Kwa msoto niliopitia huwa natamani niwaone wanangu wakifanikiwa kabla sijafa, kadri ninavyochelewa umri unaenda na maisha skuizi kuuoboa 50 tu changamoto unakuta unamuacha mtoto ana 15 dunia ya leo unakufa na majuto
 
Faida ya kuzaa mapema ni kuwa na uwezo wa kuwahudumia watoto kwa nafasi. Una miaka 55, tayari watoto wanajitegemea, unapanga jinsi utakavyoufaidu uzee wako.
 

Ukiwa na miaka 23 utawezaje Kulea Watoto wenye future nzuri ilhali wewe mwenyewe hujajimudu?
 
Faida ya kuzaa mapema ni kuwa na uwezo wa kuwahudumia watoto kwa nafasi. Una miaka 55, tayari watoto wanajitegemea, unapanga jinsi utakavyoufaidu uzee wako.

Kijana wa miaka 20 anawezaje kuwatunza Watoto aliowazaa Kwa kiwango cha kuwapa future njema?
Embu angalia Vijana waliopo hapo mtaani kwenu wenye umri wa miaka 20-25 Angalia Maisha Yao alafu eleza ni Kwa namna gani wataweza Kulea Watoto watakaowazaa Kwa umri huo?
 
ukiwa na majukumu akili inafunguka mapema sana mkuu.
Pia mpaka umri wa mtoto kujitambua na mimi akili iemzidi kukomaa
sasa chance iliyobaki ni nizae nikiwa na 30 na muelekeo pia sina

Usijilaumu sana. Pia mtu sahihi wa kuzaa nae alikuwepo wakati una umri huo?

Maana mtoto humzai peke yako
 
ukiwa na majukumu akili inafunguka mapema sana mkuu.
Pia mpaka umri wa mtoto kujitambua na mimi akili iemzidi kukomaa
sasa chance iliyobaki ni nizae nikiwa na 30 na muelekeo pia sina

Ni wachache wenye uwezo huo.
Wengi WA vijana wa siku hizi hawataki majukumu, na endapo majukumu yatazidi huyakimbia. Au kuwatupia Watu wengine majukumu Yao.

Wapo wanaume wengi wamewatelekeza wake na watoto wao.
Wapo Wadada maelfu elfu wametelekeza Watoto wao Kwa Bibi zao Huko vijijini
 
Alikiwepo haswaa ila mimi niliona bado, nilipoamua sasa ndo hamna baba sahihi
Usijipe stress utakufa wala hautoujua kama ilikuwepo duniani hayo ndo maisha yako usiwe na wasi.

Wazee kibao wanaishi mpaka miaka 80 kikubwa kuomba Mungu ...
 
Hapo sawa. Yameshapita. Jitahidi usizidi kupoteza muda ukikutana mtu sahihi.

Miaka inakimbia kama upepo vile
kwa mtaji huu mkuu aah muda utapotea sana
maana hamna muelekeo wowote
Hiki ndio kipengele kinatufanya tusizae, yani wasiotaka majukumu ni wengi sana, hata ukisema msaidiane hawataki
Usijipe stress utakufa wala hautoujua kama ilikuwepo duniani hayo ndo maisha yako usiwe na wasi.

Wazee kibao wanaishi mpaka miaka 80 kikubwa kuomba Mungu ...
kabisaa... japo hamna kitu kinaboa kama ukiwa tayari kufanya jambo halafu jambo halipo
 
Fact
 

Ndio maana ninashauri Wadada wajitegemee ili kama ikitokea usumbufu Kwa Vijana, wawezw kujimudu. Wawe na uwezo wa kuzaa hata mtoto mmoja
 
Dah!!! Aseeee umesema kilichopo kabisa kwa sasa wala hakuna uongo ndani yake ni ukweli mtupu...Ila acha tupambane meza zitapinduka tu.. kivyovyote mafanikio yatafikia.

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Kwa mtoto mwenye akili kuwa saidia wazazi wake ni lazima kulingana na kipato chake usipo mpa mzazi wako utampa nani hela yako?
 
Wewe akili zako ndogo tangu lini mzee akaonekana kijana mfano mwanaume mwenye miaka 60 akawa ni mtanashati watu watasema ni masafi lakini mzee kijana watasema umri wake bado mdogo tatizo uchafu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…