CHIEFMANGU
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 528
- 800
Anaenda kumtengeneza single mother huko, sio poa kabisa!Hapo sawa, usisahu kinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaenda kumtengeneza single mother huko, sio poa kabisa!Hapo sawa, usisahu kinga
Inategemea umri wa watoto pia. Km bado wadogo why uwanyime mother love kwa ugomvi wenu wazazi? Au kwa kukwepa majukumu yako?Watoto wakalelewe kwa baba yao.
Bajeti ya mgao Nyumba mbili hakuna.
Ukiamua kubaki nao basi kubali kulea mwenyewe bila kulaumu mtu.
Tuliozaa kwenye ndoa mnatusaidiaje mkuuSema wanawake wanabeba mimba hovyo hovyo, mwanamke akiamua kutozaa nawewe hata ufanye nini hauwezi kumpa mimba, ila yeye akiamua kuzaa utakwepa sana ila lazima unase tu!
Mimba isiyo na makubaliano, lawama zote anabeba mwanamke, hakuna excuse hapo!
Kama ni rahisi akamtie *****.Ukishamwaga mtu nyege tena za nini?Habari zenu wanajukwaa,
Kumekuwa na trend ya kudharau sana single mothers wakidai kuwa lazima aliwe na aliyemzalisha. Hii ni dhana potofu na nafikiri inatengenezwa na hawa waliozaa na wanawake hawa.
Mimi ni single mother niliolewa kabisa tukashindwana tukaachana na mwenzangu kashaoa na ana watoto wengine. Mwaka jana alipiga kimya kwenye ada na matumizi ya watoto wake nikahustle mwenyewe hadi mwaka ukaisha.
Mwaka huu alinicheck kuwa anataka kuwaona wanae nikamwambia ruksa waone. Akaniuliza kuhusu ada nkampa mkeka, akadai hayuko vizuri. Nikamwambia nitamsaidia kukopa ila atakapolipa alipe na riba yake akakubali.
Nikapewa Tshs. 50,000 ya kununua vifaa sikulalamika, nikasema hayupo vizuri kwa sasa. Nashangaa anaanza kusema kamiss misosi yangu nkamwambia siwezi mpikia tena, akasema amemiss mbususu na show kali nkamwambia tushaachana haitakuja kutokea.
Nyie watu; imefika muda wa kulipa (technically nilikadiria sababu ada nishalipa baada ya kusota mwaka jana sikutaka ijirudie nkajipanga). Napiga simu haipokelewi wala message sijibiwi tena.
Kisa nimekataa kutoa show mtu kagoma kuhudumia wanae?? he he.
Nawasihi single mothers wenzangu usikubali kutumika kwa majukumu ya mtu. Kama anafanya afanye hataki pambana.
Nawapenda
Fahamu kuachana kwa amani na kwa shari, wanawake huwajui ipo siku utalishwa sumu.Jamaa yako anapigo za kishamba tu, lakini mimi ukishanizalia na tukaachana, amini kwamba nitakuwa nakula anytime ninapojisikia na mbinu mojawapo ya kukufanya uwe unakileta mwenyewe ni kama alivyosema mkuu Carlos hapo juu.
Hiyo ni mbinu mojawapo tu ya kivita, lakini zipo nyingi sana za kukufanya uwe unaileta mbunye mwenyewe bila bugza yoyote.
Akili ni nywele wengine wana vipara na rasta.Mkuu unaelewa maana ya talaka?
Thus why nikasema kuna zipo mbinu nyingi sana kumfanya akilete mwenyewe, sijasema nitamforce.Fahamu kuachana kwa amani na kwa shari, wanawake huwajui ipo siku utalishwa sumu.
MATAPISHI YAKIOSHWA YANALIKA..!! Unakumbuka mambo ya regurgitation..?All in all kuna wanaume hawana misimamo... Kama ulishatapika/tapikwa yanini kutaka kuyalamba matapishi?
Kukuomba mbususu hakukosea kwani mbhsusu yeyote ili iliwe lazima iombwe na wewe kumnyima mbususu sio kosa ni kawaida mwana.mke akiombwa aidha zkubali au akatae. Nashangaa unamsuta kwa hilo na wanaume humu wanakusapoti.Habari zenu wanajukwaa,
Kumekuwa na trend ya kudharau sana single mothers wakidai kuwa lazima aliwe na aliyemzalisha. Hii ni dhana potofu na nafikiri inatengenezwa na hawa waliozaa na wanawake hawa.
Mimi ni single mother niliolewa kabisa tukashindwana tukaachana na mwenzangu kashaoa na ana watoto wengine. Mwaka jana alipiga kimya kwenye ada na matumizi ya watoto wake nikahustle mwenyewe hadi mwaka ukaisha.
Mwaka huu alinicheck kuwa anataka kuwaona wanae nikamwambia ruksa waone. Akaniuliza kuhusu ada nkampa mkeka, akadai hayuko vizuri. Nikamwambia nitamsaidia kukopa ila atakapolipa alipe na riba yake akakubali.
Nikapewa Tshs. 50,000 ya kununua vifaa sikulalamika, nikasema hayupo vizuri kwa sasa. Nashangaa anaanza kusema kamiss misosi yangu nkamwambia siwezi mpikia tena, akasema amemiss mbususu na show kali nkamwambia tushaachana haitakuja kutokea.
Nyie watu; imefika muda wa kulipa (technically nilikadiria sababu ada nishalipa baada ya kusota mwaka jana sikutaka ijirudie nkajipanga). Napiga simu haipokelewi wala message sijibiwi tena.
Kisa nimekataa kutoa show mtu kagoma kuhudumia wanae?? he he.
Nawasihi single mothers wenzangu usikubali kutumika kwa majukumu ya mtu. Kama anafanya afanye hataki pambana.
Nawapenda
Habari zenu wanajukwaa,

Sijashangaa, mbinu ziende na kutimiza majukumu.ni bora watu wakaheshimu viungo ambavyo wao hawana.utu ni mhimu.Thus why nikasema kuna zipo mbinu nyingi sana kumfanya akilete mwenyewe, sijasema nitamforce.
sisi waislam mkuu, na nmesuta sababu kabla alkua anahudumia, ila toka atake mbususu nmekataa ndo kaachaKukuomba mbususu hakukosea kwani mbhsusu yeyote ili iliwe lazima iombwe na wewe kumnyima mbususu sio kosa ni kawaida mwana.mke akiombwa aidha zkubali au akatae. Nashangaa unamsuta kwa hilo na wanaume humu wanakusapoti.
Kosa lake ni moja tu kugoma kuhudumia wanawe kulingana na uwezo wake.
Kuachana sio hoja kama yeye ndio alikuwa mkosaji inawezekana ametambua na hata anajutia makosa yake ndio maana anakufuata. Kila jambo unatakiwa ulipime kwa busara. Kama nyinyi ni wakristo bado mbinguni mnatambulika kama mume na mke halali hivyo hakuna dhambi mkipeana. Na mnaweza hata kurudiana kama mke na mume.
Mambo ya mapenzi hayataki siasa
Kumpa ni kujitumikisha na kujidharaulisha ntafute tumhanthi.THIS IS SERIOUS.sisi waislam mkuu, na nmesuta sababu kabla alkua anahudumia, ila toka atake mbususu nmekataa ndo kaacha
hakikaKumpa ni kujitumikisha na kujidharaulisha ntafute tumhanthi.THIS IS SERIOUS.
Ila wewe sio single mother wewe ni mtalaka,sisi waislam mkuu, na nmesuta sababu kabla alkua anahudumia, ila toka atake mbususu nmekataa ndo kaacha